Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Mkuu naona ushauri wako uko vizuri sana ila sijajua Aina gani ya huo mpira boss wangu .msaada pleaseTafuta mpiga chuku(acupuncture) ninae jamaa yangu alipata hio stroke alifanyiwa chuku sasahivi akikwambia kama alipata stroke utakataa.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]