Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Kaka unaijua moto, usipo uzima unahamia Kwa majirani, zinge Waka nyumba nyingine angeweza lipa fidia?Majirani wanaotakiwa kushukuriwa wameokoa nini?
Kaka unaijua moto, usipo uzima unahamia Kwa majirani, zinge Waka nyumba nyingine angeweza lipa fidia?Majirani wanaotakiwa kushukuriwa wameokoa nini?
Ana stress mkuu, hayo mambo ni ya kuacha, sikia tu Kwa watuHilo andiko lake haeleweki hata ameandika Nini, huyu mtu ni dume au jike?
Jielimishe kidogo.Kaka unaijua moto, usipo uzima unahamia Kwa majirani, zinge Waka nyumba nyingine angeweza lipa fidia?
Usha wahi kuishi uswahilini? Ulisha wahi shuhudia janga likateketeza mali za wengine? Uliza yalio wakuta, watakusimulia mkuuJielimishe kidogo.
Moto ukianza nyumbani kwako ukahamia kwa majirani au hata kuchoma mtaa mzima haulipi fidia kama sio arson.
Ana stress mkuu, hayo mambo ni ya kuacha, sikia tu Kwa watu
Makonda atampa hela akaufungue upyaSijafahamu mkuu
Achana na ujinga wa uswahilini, moto ukianza kuwaka katika nyumba ukahamia nyumba nyingine hulipi chochote kama hukuichoma nyumba yako kwa makusudi ambalo ni kosa la jinai linaloitwa arson.Usha wahi kuishi uswahilini? Ulisha wahi shuhudia janga likateketeza mali za wengine? Uliza yalio wakuta, watakusimulia mkuu
Kaka uswahili hawana hiyo elimu, mtatafutana kurogana mpaka utakimbia mjiAchana na ujinga wa uswahilini, moto ukianza kuwaka katika nyumba ukahamia nyumba nyingine hulipi chochote kama hukuichoma nyumba yako kwa makusudi ambalo ni kosa la jinai linaloitwa arson.
Chanzo kiwe cha umeme yeye analipia fidia watu kama nani wakati hao Tanesco wenyewe hata pole hawatoi..Kaka unaijua moto, usipo uzima unahamia Kwa majirani, zinge Waka nyumba nyingine angeweza lipa fidia?
yule waziri mkubwa husema ni michezo yaoMichezo?
japo it doesn't make sense kushukuru kwa vyote lakini angesema hata anashukuru kwa janga la moto sio baraka ya moto.Ndio hivo tunashukuru Kwa yote
Kaka ni kweli shida uswahili hawana hiyo elimu, vita itayo pigwa acha tuChanzo kiwe cha umeme yeye analipia fidia watu kama nani wakati hao Tanesco wenyewe hata pole hawatoi..
Kaka ni kweli shida uswahili hawana hiyo elimu, vita itayo pigwaChanzo kiwe cha umeme yeye analipia fidia watu kama nani wakati hao Tanesco wenyewe hata pole hawatoi..
Na picha iliyowekwa hapo, ni ya wengi mkuu?Ukiandika barnaba, barnaba wako wengi, mwandishi anadika mwanamuziki barnaba boy utaeleweka vema
Mzee acha Nongwa, kijana ameumiaMajirani wanaotakiwa kushukuriwa wameokoa nini?
fire wa bongo hawajawahi kuokoa hata siku moja, huja mwishoni tayari moto umeteketeza maliFire wa bongo ni matapeli.
Duuh pole Barnaba!Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka.
Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho ripotiwa.
Mungu amjalie katika wakati huu ngumu.
==========
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Barnaba amechapisha video zinazoonyesha tukio hilo la ajali ya moto, kisha akaweka ujumbe usemao: “Uchungu mkubwa sana ninaoupata kutoa taarifa kwamba studio zangu za (High Table Sound Entertainment Company Ltd zimeungua moto usiku huu ulioanza saa 2:30 kamili, nilitoka kwenye shoo yangu ya Malkia wa Nguvu Arusha na baada ya kufika nilipitia ofisini kwangu na kusalimia, kisha nikaenda nyumbani kwa takribani dakika 15.
Nikiwa huko ndipo nilipopigiwa simu kuwa kuna moto unawaka”“Mungu wangu wa mbinguni, nakushukuru kwa hili, naamini unanipitisha kwenye njia sahihi daima, nimetoka kufanya renovation wiki mbili zilizopita kwa gharama kubwa na muziki ndiyo kazi yangu, sehemu hii inategemewa na Vijana wengi, moyo wangu unaumia, nimelia sana kwa uchungu na nimepoteza nguvu kabisa”“Nasikitika kusema HQ yetu imekuwa majivu, asante Mungu kwa baraka zote ambazo nimezipokea na nitaanza upya, najua kazi yetu ni ngumu, lakini maisha yanatufundisha na nimepokea hili kama funzo.