makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ana BIMA YA CCM itamsaidia.Bima anayo ? Basi atalipwaa.
Kibinadamu namuonea huruma, ni janga zito sana, usiombee yakukute
Ana BIMA YA CCM itamsaidia.Bima anayo ? Basi atalipwaa.
Nyuzi zako unaforce watu wacomment unavyotaka wewe!Usha wahi kuishi uswahilini? Ulisha wahi shuhudia janga likateketeza mali za wengine? Uliza yalio wakuta, watakusimulia mkuu
Ni mwanaume wa Dar anayependa sana kulia. Hata kwenye msiba wa Boss Ruge (ambaye alimkuza na kumlea kwenye kituo chake cha THT) alilia mpaka akaishiwa nguvu za kutembea.Hilo andiko lake haeleweki hata ameandika Nini, huyu mtu ni dume au jike?
Hapana mkuu, na yeye ana force kila mtu asamehe kitu amabcho sio kweli, uswahilin hawana hiyo elimu, wao watajua wewe ndo chanzoNyuzi zako unaforce watu wacomment unavyotaka wewe!
Mungu akubariki una utu ndani Yako, wengine humu wanachukulia poa, wanashindwa kujua hiyo NYUMBA yeye ni mpangaji hivo hana hasara kivilePole yake.
Paliponiumiza ni hapo aliposema “Sehemu hii inategemewa na vijana wengi…”
Yeye kana yeye atakaa sawa, tayari yuko kwenye mifumo.
Mkuu watu wanachukulia poa hasara imewalamba wengi, hiyo NYUMBA ye mpangaji tu, unadhani we ndo unge kua mwenye NYUMBA ungejisikia vipi, haya vijana walio ajiriwaAna BIMA YA CCM itamsaidia.
Kibinadamu namuonea huruma, ni janga zito sana, usiombee yakukute
Mln 100 studio haha 😄Ni mwanaume wa Dar anayependa sana kulia. Hata kwenye msiba wa Boss Ruge (ambaye alimkuza na kumlea kwenye kituo chake cha THT) alilia mpaka akaishiwa nguvu za kutembea.
Ni mtihani mkubwa kwa kweli, ila akiwa na uchawa.. basi kuna kampeni zitazuka atachangiwa na siku zitaendaMkuu watu wanachukulia poa hasara imewalamba wengi, hiyo NYUMBA ye mpangaji tu, unadhani we ndo unge kua mwenye NYUMBA ungejisikia vipi, haya vijana walio ajiriwa
Atakuwa ameikatia bima juzikati huyu😅Studio anadai mln 100 😄
Ashaongeza sifuriiii
Ova
Thubutu yk hata bima wanaijuwa haoAtakuwa ameikatia bima juzikati huyu😅
Wasanii bongo si ombaombaNi mtihani mkubwa kwa kweli, ila akiwa na uchawa.. basi kuna kampeni zitazuka atachangiwa na siku zitaenda
kwa neena na baraka za Mungu, hili nalo litapita kwa amani.🤭Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka.
Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho ripotiwa.
Mungu amjalie katika wakati huu ngumu.
==========
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Barnaba amechapisha video zinazoonyesha tukio hilo la ajali ya moto, kisha akaweka ujumbe usemao: “Uchungu mkubwa sana ninaoupata kutoa taarifa kwamba studio zangu za (High Table Sound Entertainment Company Ltd zimeungua moto usiku huu ulioanza saa 2:30 kamili, nilitoka kwenye shoo yangu ya Malkia wa Nguvu Arusha na baada ya kufika nilipitia ofisini kwangu na kusalimia, kisha nikaenda nyumbani kwa takribani dakika 15.
Nikiwa huko ndipo nilipopigiwa simu kuwa kuna moto unawaka”“Mungu wangu wa mbinguni, nakushukuru kwa hili, naamini unanipitisha kwenye njia sahihi daima, nimetoka kufanya renovation wiki mbili zilizopita kwa gharama kubwa na muziki ndiyo kazi yangu, sehemu hii inategemewa na Vijana wengi, moyo wangu unaumia, nimelia sana kwa uchungu na nimepoteza nguvu kabisa”“Nasikitika kusema HQ yetu imekuwa majivu, asante Mungu kwa baraka zote ambazo nimezipokea na nitaanza upya, najua kazi yetu ni ngumu, lakini maisha yanatufundisha na nimepokea hili kama funzo.
Bima anayo ? Basi atalipwaa.
Alafu anasema "Mungu wangu wa Mbinguni, nashukuru kwa hili"Kwa nini anasema anamshukuru mungu kwa baraka? Kuunguliwa moto ni baraka?