Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

Kwa nini ushukuru kwa kila jambo?
Yani mtoto wako kwa mfano anabakwa au anachinjwa kama Temba halafu unashukuru huo si uzwazwa
Tunashukuru kwa kila jambo kwasababu Mungu wetu Anayejua yote na mwenye Hekima yote ameagiza hivyo.

Mtoto anayelialia nyonyo wakati mama yake yuko washroom haelewi kwanini hapewi chakula mara moja, au mama katoka kaenda dukani haelewi kwanini mama kamuacha anachojua yeye kaachwa jumla!

Ukifuata kile Mungu ameagiza kuna Hekima unakuwa nayo unaepuka mabalaa mengi, wewe na uzao wako.

Wengi mnalalamikia matokeo tu chanzo hamuangalii!

Na mabalaa yakitokea ambayo huelewi sababu tumepewa Hekima ya Kimungu ya kukabiliana nayo, ikiwemo Kushukuru kwa yote.

Mtu mlalamishi lalamishi hana hekima yoyote, ni anajimaliza nguvu na nguvu za wanaomsikia akilalamika.

Hau solve chochote kwa kumlalamikia zaidi ya kujichelewesha kupata Amani na kujijaza sumu na kujaza wengine sumu, consequently unajizolea tena mabalaa mapya wewe na uzao wako na jamii nzima, sijui unaelewa bro? ? ?

Barabanas will move on quickly from this, ataenda next level, you will stay here for days months years complaining about a dot in a line of eternity! ! !
 
Mungu muweza wa yote ni sifa moja,sifa zake zingine zinaonesha hawezi kuwa na govi,kupigwa na binadam,kushikwa njaa
Mungu hawezi kuwa na Mungu wake
Tumia akili
Bro TOKA kwa huyo Mungu wako ambaye hawezi. Ameshindwa huyo.

Njoo kwa Mungu Mkuu anayeweza yote: YESU!

1000055429.jpg
 
Yesu hajawahi sema yeye Mungu, again tumia ubongo wako vizuri
Nilishasema na narudia:

Waislamu mkitaka kumuelewa YESU kwanza mkubali alikufa na alifufuliwa Siku ya 3.

Je unakubali kuwa Bwana YESU aliteswa, akauawa na Siku ya Tatu Alifufuka ? Na kutokea mamia ya watu kwa siku 40?
 
Dhana ya kufufuka ina mushkeli, maana bible inasema atakufa kwa michana mitatu na miusiku mitatu,three days and nights,alikufa ijumaa mchana kwa mujibu wa maandiko,akafufuka jumapili alfajiri,hiyo ni michana miwili (2days) na miusiku miwili tu yaani ijumaa na jumamosi,so whole thing ni uwongo
 
Kwahiyo nikikuonyesha leo kuwa YESU alikufa Alhamis, utakubali kuwa YESU NI BWANA?

Basi nakwambia leo hii YESU alikufa Alhamis, kama alivyotabiri:

"for as Jonas was three days and three nights in the whale's belly; so shall the Son of man be three days and three nights in the heart of the earth."
Matthew.12.40.KJV

1) Yesu aliuawa kabla ya Sabato Kuu (High Day).

"The Jews therefore, because it was the preparation, that the bodies should not remain upon the cross on the sabbath day, (for that sabbath day was an high day,) besought Pilate that their legs might be broken, and that they might be taken away."
John.19.31.KJV

"Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."
Yohana.19.31.SUV

Hii si Sabato ya kawaida ya kila wiki, bali Sabato maalum ya sikukuu ya Pasaka (kama walivyoagizwa kwenye Walawi 23:5-15)

Wiki aliyouawa Yesu kulikuwa na:
- Sabato maalum ya Pasaka (Sabato Kuu, Ijumaa).

- Sabato ya kawaida ya kila wiki (Jumamosi).

Kwahiyo:
i) Alhamisi mchana: Yesu anasulubiwa na kuzikwa kabla ya jua kutua.

ii) Ijumaa: Sabato maalum ya Pasaka (Yohana 19:31).

iii) Jumamosi: Sabato ya kawaida ya kila wiki.

iv) Jumamosi jioni au kabla ya mapambazuko ya Jumapili: Yesu anafufuka.

v) Jumapili asubuhi: Wanawake wanakuta kaburi liko wazi.

2) Kingine kuonyesha kuwa kulikuwa na hii Sabato Kuu wiki ambayo Yesu alikufa ni Mathayo 28:1.

Tafsiri nyingi za Biblia kwa Kiingereza hutafsiri neno Sabato katika mstari huu kama umoja, lakini neno la Kigiriki, σαββάτων (sabbatōn), liko katika wingi. Mathayo anaeleza kwamba baada ya "Sabato
hizo" (wingi
), Maria Magdalene na Maria mwingine walikwenda kaburini.

Matumizi ya umbo la wingi yanaonyesha kulikuwa na Sabato mbili zilizofuatana: Sabato Kuu (ya sikukuu) siku ya Ijumaa na Sabato ya kawaida ya kila wiki siku ya Jumamosi. .

Is this explanation good enough for you?

Kwahiyo nikikuonyesha leo kuwa YESU alikufa Alhamis, utakubali kuwa YESU NI BWANA?

Basi nakwambia leo hii YESU alikufa Alhamis, kama alivyotabiri:

"for as Jonas was three days and three nights in the whale's belly; so shall the Son of man be three days and three nights in the heart of the earth."
Matthew.12.40.KJV

1) Yesu aliuawa kabla ya Sabato Kuu (High Day).

"The Jews therefore, because it was the preparation, that the bodies should not remain upon the cross on the sabbath day, (for that sabbath day was an high day,) besought Pilate that their legs might be broken, and that they might be taken away."
John.19.31.KJV

"Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."
Yohana.19.31.SUV

Hii si Sabato ya kawaida ya kila wiki, bali Sabato maalum ya sikukuu ya Pasaka (kama walivyoagizwa kwenye Walawi 23:5-15)

Wiki aliyouawa Yesu kulikuwa na:
- Sabato maalum ya Pasaka (Sabato Kuu, Ijumaa).

- Sabato ya kawaida ya kila wiki (Jumamosi).

Kwahiyo:
i) Alhamisi mchana: Yesu anasulubiwa na kuzikwa kabla ya jua kutua.

ii) Ijumaa: Sabato maalum ya Pasaka (Yohana 19:31).

iii) Jumamosi: Sabato ya kawaida ya kila wiki.

iv) Jumamosi jioni au kabla ya mapambazuko ya Jumapili: Yesu anafufuka.

v) Jumapili asubuhi: Wanawake wanakuta kaburi liko wazi.

2) Kingine kuonyesha kuwa kulikuwa na hii Sabato Kuu wiki ambayo Yesu alikufa ni Mathayo 28:1.

Tafsiri nyingi za Biblia kwa Kiingereza hutafsiri neno Sabato katika mstari huu kama umoja, lakini neno la Kigiriki, σαββάτων (sabbatōn), liko katika wingi. Mathayo anaeleza kwamba baada ya “Sabato” hizo (wingi), Maria Magdalene na Maria mwingine walikwenda kaburini.

Matumizi ya umbo la wingi yanaonyesha kulikuwa na Sabato mbili zilizofuatana: Sabato Kuu (ya sikukuu) siku ya Ijumaa na Sabato ya kawaida ya kila wiki siku ya Jumamosi. .

Is this explanation good enough for you?

And whether alikufa Jumatano, Alhamis, Ijumaa (kuna wanaosema alikufa j5), hii inabadilisha ukweli kuwa alifufuka? ?

Post in thread 'Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?' Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?
 
Back
Top Bottom