Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

Kaka unaijua moto, usipo uzima unahamia Kwa majirani, zinge Waka nyumba nyingine angeweza lipa fidia?
Jielimishe kidogo.
Moto ukianza nyumbani kwako ukahamia kwa majirani au hata kuchoma mtaa mzima haulipi fidia kama sio arson.
 
Usha wahi kuishi uswahilini? Ulisha wahi shuhudia janga likateketeza mali za wengine? Uliza yalio wakuta, watakusimulia mkuu
Achana na ujinga wa uswahilini, moto ukianza kuwaka katika nyumba ukahamia nyumba nyingine hulipi chochote kama hukuichoma nyumba yako kwa makusudi ambalo ni kosa la jinai linaloitwa arson.
 
Chanzo kiwe cha umeme yeye analipia fidia watu kama nani wakati hao Tanesco wenyewe hata pole hawatoi..
Kaka ni kweli shida uswahili hawana hiyo elimu, vita itayo pigwa
Ukiandika barnaba, barnaba wako wengi, mwandishi anadika mwanamuziki barnaba boy utaeleweka vema
Na picha iliyowekwa hapo, ni ya wengi mkuu?
 
Duuh pole Barnaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…