Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

Mama atamzawadia fungu la mzigo wa umma tu, walichangia sana kuvuta umati wa kampeni
 
Nafikiri alibadili dini na kuwa muislam, kwenye uislam unatakiwa ushukuru kwa heri na shari maana vyote ni kudra ya Allah sw
YESU ambaye ndiye Mungu Mkuu anachotaka tufanye kwenye hii miaka 70 80 michache aliyotupa, mbali na kumuamini, ni kushukuru kwa kila jambo.

Hapo tunakuwa tunamjibu yule anayeshitaki watoto wa Mungu mchana na usiku:

"kuwa na shukrani katika kila hali. Hayo ndiyo anayotaka Mungu kwenu katika kuungana kwenu na Kristo Yesu.
1Wathesalonike.5.18.NENO2025




"....Maana yule aliyewashtaki ndugu zetu mbele ya Mungu ametupwa chini. Naam, ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana."
Ufunuo.12.10.BHN
 
Mungu hawezi kuwa na govi,hawezi sulubiwa na aliowaumba,tumia ubongo wako vizuri,siyo unapelekwa tu kama ng'ombe
 
Mungu hawezi kuwa na govi,hawezi sulubiwa na aliowaumba,tumia ubongo wako vizuri,siyo unapelekwa tu kama ng'ombe
Mungu hawezi? TOKA kwa huyo mungu wako ambaye hawezi.


MUNGU wetu ni Muweza Yote, na Anakuja πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mungu hawezi? TOKA kwa huyo mungu wako ambaye hawezi.


MUNGU wetu ni Muweza Yote, na Anakuja πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mungu muweza wa yote ni sifa moja,sifa zake zingine zinaonesha hawezi kuwa na govi,kupigwa na binadam,kushikwa njaa
Mungu hawezi kuwa na Mungu wake
Tumia akili
 
Itakuwa bado ana vibes za Kigalatia, bado hajazoea Allah Akbaru.
 
Kwa nini ushukuru kwa kila jambo?
Yani mtoto wako kwa mfano anabakwa au anachinjwa kama Temba halafu unashukuru huo si uzwazwa
 
Ni mwanaume wa Dar anayependa sana kulia. Hata kwenye msiba wa Boss Ruge (ambaye alimkuza na kumlea kwenye kituo chake cha THT) alilia mpaka akaishiwa nguvu za kutembea.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…