Hii ukisimama madhabahuni umejaa nguvu za Mungu a.k.a upako ni tamu kama nini😂hii zaburi iishi sana.. kuna sehemu niliwasomea ndugu wajumbe, aisee kama hongera na sifa zingekuwa zinageuka kuwa pesa, basi ile siku ningetajirika.
Hahahahahaha,watu mshamsoma mleta mada ,si kwa mada hizi za DecemberKwa haya mabandiko mfululizo ya bi Donatila kuna uwezekano hata yeye chumbani pa moto kipindi hiki, pole ndio maisha..ups and downs!
Hata hivyo, kazini, nyumbani, kanisani na (jf🤣🤣🤣) sio mahali salama kwa kuanzisha mahusiano.
😂😂😂😂Tunakumbushana tu kuwa saivi mkeo) mmeo anakunywa chai na yule beb wa ofisini...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaha;hujaendq tu[emoji23][emoji23] watu mnagoogle mpaka ndoa yangu...
Niacheni nikahesabiwe Mimi...
Kama kulivyo mtaani, kuna mengi ya kawaida na yasiyo ya kawaida mkuu.Kwamba humu kuna nini?
Anachoongea mtu ndicho kilichoujaza moyo wake, kuna wakati wa kupanda na kushuka, vumilia yatapita.[emoji23][emoji23] watu mnagoogle mpaka ndoa yangu...
Niacheni nikahesabiwe Mimi...
Unachoongea ndicho kilicho moyoni mwako, huwezi kujiongelesha tu for no reasons.Si kweli...
Hahahahaa ,anajaribu kuficha lkn huo ndio ukweli unamwambiaUnachoongea ndicho kilicho moyoni mwako, huwezi kujiongelesha tu for no reasons.
HahahahahhaSi kweli...
Hahahahahahaha,dahTunakumbushana tu kuwa saivi mkeo) mmeo anakunywa chai na yule beb wa ofisini...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu! Bonge la mtegoKuna maza mmoja alikuwa workmate kabla hajaamishwa kikazi.
Mume wake alikuwa ana kisukari na kama ujuavyo kisukari kinafanya mwanamume ashindwe kutimiza vizuri huduma za kitandani
Basi akaanza kuliwa na mfanyakazi mwenzetu. Yule maza alikuwa ni mtu wa dini sana baadaye dhambi ya usaliti ikamuuma ikabidi aende kuungama.
Kiongozi wa dini akamwambia ili asemehewe lazima akaongee na mume wake kwanza amuombe msamaha
Mpaka anaondoka pale job hakuwa na furaha kabisa yule maza
Hiyo ni uongooo 😆😆 ilaaaTunakumbushana tu kuwa saivi mkeo) mmeo anakunywa chai na yule beb wa ofisini...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…