Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

hii zaburi iishi sana.. kuna sehemu niliwasomea ndugu wajumbe, aisee kama hongera na sifa zingekuwa zinageuka kuwa pesa, basi ile siku ningetajirika.
Hii ukisimama madhabahuni umejaa nguvu za Mungu a.k.a upako ni tamu kama nini😂
 
Kwa haya mabandiko mfululizo ya bi Donatila kuna uwezekano hata yeye chumbani pa moto kipindi hiki, pole ndio maisha..ups and downs!

Hata hivyo, kazini, nyumbani, kanisani na (jf🤣🤣🤣) sio mahali salama kwa kuanzisha mahusiano.
Hahahahahaha,watu mshamsoma mleta mada ,si kwa mada hizi za December
 
Tatizo wanapendeza wakiwa kazini zaidi kuliko nyumbani.

Nyumbani wanakaa ki kazi kazi na kazini wanakaa kimvuto mvuto. Mvuto kwa boss, mvuto kwa wafanyakazi wenzake na mvuto kwa wateja.

Hapo lazima kupishana tu.
Ukweli mtupu...
 
Kuna maza mmoja alikuwa workmate kabla hajaamishwa kikazi.

Mume wake alikuwa ana kisukari na kama ujuavyo kisukari kinafanya mwanamume ashindwe kutimiza vizuri huduma za kitandani

Basi akaanza kuliwa na mfanyakazi mwenzetu. Yule maza alikuwa ni mtu wa dini sana baadaye dhambi ya usaliti ikamuuma ikabidi aende kuungama.

Kiongozi wa dini akamwambia ili asemehewe lazima akaongee na mume wake kwanza amuombe msamaha

Mpaka anaondoka pale job hakuwa na furaha kabisa yule maza
Duuu! Bonge la mtego
 
Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…

Ww ni wale few smarts, even the same kwangu. Lazima watz wajifunze ku twin mind zao kutokuwaza ngono muda wote. Uko pale kufanya kazi fanya kazi that it
 
Back
Top Bottom