Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?

Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?

Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...

Kuna watu wapewa mamlaka na Mungu na ni wanadamu kama sisi...

Ila wapo karibu zaidi na Mungu...
 
Labda kama ww sio Mwanamke,na kama ikitokea basi jua huyo Mwanamke labda ni mlemavu au ana sura mbaya zaidi ya Binadam wa kawaida.
But kwa Upande wa Wanaume wengi hawana kwa kuwa makazini Wanawake ni Wachache kuliko wanaume.
Kwahiyo we mitongozo yote uwa unakubali? Hauna machaguzi?
 
Jamani ukweli utabaki kuwa ukweli tu,Walio na wake wafanyakazi kwa vyovyote ile jua fika Mkeo lazima ana Mwanaume mwingine ambaye ni Mfanyakazi mwenzako mahali hapo au katika Ofisi nyingine.
Tena wale ambao Wame zao sio Wafanyakazi ndio wake zao wanaongoza kwa kuliwa.
Mnachanganya tabia binafsi za mtu na kazi.

Malaya ni Malaya Tu, kuolewa hakumaanishi siyo Malaya, Malaya hatabaki kuwa Malaya Tu huko makazini ni kisingizio Tu.

Naenda bungeni wabunge wote wanalipwa posho sawa lakini wabunge Malaya wanakazwa kama kawaida, hii ni hulka ya mtu.

Kuna wanawake wameshaacha kazi Kwa kutaja kutowa rushwa ya ngono, hii ni tabia ya mtu binafsi haiwezi kumvulia tupu wake mwanaume ambaye si mume wake, hili Nina ushahidi nalo, wapo wanawake wengi Tu Wana misimamo thabiti.

Siwezi kuwaongelea wanaume Kwa sababu nature iko wazi mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume, achilia mbali tamaa za wanaume lakini ukweli uko hivyo.
 
Kwahiyo we mitongozo yote uwa unakubali? Hauna machaguzi?
Nyie Wanawake ni delicate sana,kama Bible inavyosema kuwa mpo weak na ukweli kuwa mpo weak.Hata ukiwa na akili au mjanja kiasi gani bado utarudia asili yako.
Hapa wengi watabisha but ni ukweli kuwa Wanawake wafanyakazi wanaliwa sana na Wafanyazi wenzao hata kama sio wa Ofisi aliyopo yeye ataliwa na Mfanyakazi mwenzie wa Ofisi nyingine.
 
Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?

Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?

Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Wanasema wanafuata utaratibu wa Biblia
 
Mnachanganya tabia binafsi za mtu na kazi.

Malaya ni Malaya Tu, kuolewa hakumaanishi siyo Malaya, Malaya hatabaki kuwa Malaya Tu huko makazini ni kisingizio Tu.

Naenda bungeni wabunge wote wanalipwa posho sawa lakini wabunge Malaya wanakazwa kama kawaida, hii ni hulka ya mtu.

Kuna wanawake wameshaacha kazi Kwa kutaja kutowa rushwa ya ngono, hii ni tabia ya mtu binafsi haiwezi kumvulia tupu wake mwanaume ambaye si mume wake, hili Nina ushahidi nalo, wapo wanawake wengi Tu Wana misimamo thabiti.

Siwezi kuwaongelea wanaume Kwa sababu nature iko wazi mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume, achilia mbali tamaa za wanaume lakini ukweli uko hivyo.
Mkuu kama unabisha wewe bisha but huo ndio ukweli.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.

Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.

Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.

Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.

Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.

Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...

Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.

Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.

Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.

Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..

Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...

Donatila
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe [emoji1787][emoji1787]

Ukwl mchungu.
 
Nyie Wanawake ni delicate sana,kama Bible inavyosema kuwa mpo weak na ukweli kuwa mpo weak.Hata ukiwa na akili au mjanja kiasi gani bado utarudia asili yako.
Hapa wengi watabisha but ni ukweli kuwa Wanawake wafanyakazi wanaliwa sana na Wafanyazi wenzao hata kama sio wa Ofisi aliyopo yeye ataliwa na Mfanyakazi mwenzie wa Ofisi nyingine.
Kila mtu na mipangilio yake.. eneo la kazi sio eneo la kudate.
Kwani wameisha kitaa mpaka tubanane na wa kazini? Hapana, tufanye kazi tutawanyike
 
Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...

Kuna watu wapewa mamlaka na Mungu na ni wanadamu kama sisi...

Ila wapo karibu zaidi na Mungu...
Yani nimwambia mchungaji Jana nimemkula Donatila? Big no.

Jumapili kabla ya Ibada kuna maungamo ya pamoja siyo Kwa kumention dhambi zako, siwezi kuungama Kwa binadamu tena Mimi nimekulia church naijuwa litulujia vizuri.

Those Mafia from Vatican walikuwa wanatumia kitubio kucollect data.
 
Ukiona ndoa ndio ujanja wako basi oa chekechea mwenye kipaji cha kusoma na kuandika tu inamtosha kabisa ni sawa na house girl ila tu yeye ndiye utazaa nae hao watoto atakaokulelea na hautomlipa ila utamhudumia tu.
 
Back
Top Bottom