Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama ww sio Mwanamke,na kama ikitokea basi jua huyo Mwanamke labda ni mlemavu au ana sura mbaya zaidi ya Binadam wa kawaida.Sio kweli
Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?
Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?
Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Kwahiyo we mitongozo yote uwa unakubali? Hauna machaguzi?Labda kama ww sio Mwanamke,na kama ikitokea basi jua huyo Mwanamke labda ni mlemavu au ana sura mbaya zaidi ya Binadam wa kawaida.
But kwa Upande wa Wanaume wengi hawana kwa kuwa makazini Wanawake ni Wachache kuliko wanaume.
Unaweza usiwe naye katika ofisi yako but akawa nae katika Ofisi XMaisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Mie sio KE,na una manisha kuna mitongozo mingine huwa unakubali.Kwahiyo we mitongozo yote uwa unakubali? Hauna machaguzi?
Mnachanganya tabia binafsi za mtu na kazi.Jamani ukweli utabaki kuwa ukweli tu,Walio na wake wafanyakazi kwa vyovyote ile jua fika Mkeo lazima ana Mwanaume mwingine ambaye ni Mfanyakazi mwenzako mahali hapo au katika Ofisi nyingine.
Tena wale ambao Wame zao sio Wafanyakazi ndio wake zao wanaongoza kwa kuliwa.
Nyie Wanawake ni delicate sana,kama Bible inavyosema kuwa mpo weak na ukweli kuwa mpo weak.Hata ukiwa na akili au mjanja kiasi gani bado utarudia asili yako.Kwahiyo we mitongozo yote uwa unakubali? Hauna machaguzi?
Wanasema wanafuata utaratibu wa BibliaHivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?
Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?
Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Mkuu kama unabisha wewe bisha but huo ndio ukweli.Mnachanganya tabia binafsi za mtu na kazi.
Malaya ni Malaya Tu, kuolewa hakumaanishi siyo Malaya, Malaya hatabaki kuwa Malaya Tu huko makazini ni kisingizio Tu.
Naenda bungeni wabunge wote wanalipwa posho sawa lakini wabunge Malaya wanakazwa kama kawaida, hii ni hulka ya mtu.
Kuna wanawake wameshaacha kazi Kwa kutaja kutowa rushwa ya ngono, hii ni tabia ya mtu binafsi haiwezi kumvulia tupu wake mwanaume ambaye si mume wake, hili Nina ushahidi nalo, wapo wanawake wengi Tu Wana misimamo thabiti.
Siwezi kuwaongelea wanaume Kwa sababu nature iko wazi mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume, achilia mbali tamaa za wanaume lakini ukweli uko hivyo.
Mitongozo ya ofisini yote inachomolewaMie sio KE,na una manisha kuna mitongozo mingine huwa unakubali.
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe [emoji1787][emoji1787]Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Kila mtu na mipangilio yake.. eneo la kazi sio eneo la kudate.Nyie Wanawake ni delicate sana,kama Bible inavyosema kuwa mpo weak na ukweli kuwa mpo weak.Hata ukiwa na akili au mjanja kiasi gani bado utarudia asili yako.
Hapa wengi watabisha but ni ukweli kuwa Wanawake wafanyakazi wanaliwa sana na Wafanyazi wenzao hata kama sio wa Ofisi aliyopo yeye ataliwa na Mfanyakazi mwenzie wa Ofisi nyingine.
Unamkula mteja 😂Wenye ofis mmefikiwa sie wauza Bagia
ni kesho😀😀😀
Yani nimwambia mchungaji Jana nimemkula Donatila? Big no.Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...
Kuna watu wapewa mamlaka na Mungu na ni wanadamu kama sisi...
Ila wapo karibu zaidi na Mungu...
Bagia zenyew wanakopa tu si tutakulana na njaa😀😀😀Unamkula mteja 😂