SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

CHUO KIBOVU,MIUNDOMBINU MIBOVU,WAALIMU WABOVU,KOZI MBOVU,TAFITI MBOVU.
 
Hizo kila nchi inavumbua, chanjo za kuku sio ishu tena kwa Dunia ya sasa,
 
Hizo kila nchi inavumbua, chanjo za kuku sio ishu tena kwa Dunia ya sasa,
Kwa mfugaji yoyote. Au aliyejaribu kufuga na kuishia kuokota vibudu vya mizoga lazima ataishangaa hii comment.
Chanjo 3, za magonjwa hataree katika ufugaji kuku, huchomi sindano unawawekea matone kwenye macho.
Kwangu mkulima na mfugaji ni kitu kikubwa mno, halafu siisubiri ije na ndege tokea uholanzi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 100, ulichokiongea kina mantiki kubwa sana sisi hapa vitu tunavyoona ni ugunduzi vilifanywa ni zaidi ya miaka 60 iliyopita sisi hapa ndio tunaona ni ugunduzi baadala ya kuendana na kasi ya sayansi na teknolojia ya wenzetu duniani, tafiti zetu nyingine zinazofanyika haziendani na hali halisi ya sasa na hazina mashiko,
 
mimi nijuavyo kwa zama zetu kufanya tafiti za panya tena kwa kiwango kile ni uelewa mdogo wa mambo au kutaka kutafuta funds tu kujipa miradi,tuache uongo chuo kikuu kufanya utafiti wa aina ile kwenye wanyama ni kukwepa majukumu yake;
Muwe mnatafuta habari! Kwani umesikia wanafanya tafiti za panya peke yake?! Halafu nyie watu mnashindwa hata kutumia common sense... SUA ni multi-displinary university! Pale kuna wataalamu wa mimea, misitu, wanyama. n.k!

Sasa unamtarajia mtu aliysema Veterinary Medicine kwa mfano afanye utafiti wa mbegu bora ya mahindi?! Unamtarajia mtu aliyesomea Forestry aje kufanya utafiti kuhusu wadudu wanashambulia mtama?!

Sasa kama kuna watu waliosomea jambo linaloendana na utafiti wa panya, shida ipo wapi wakitumia elimu yao kufanya hilo jambo?!

Au kwa akili yenu mnadhani watu wa BVM or Animal Science kwa mfano, wakiwa wanafanya tafiti kuhusu panya basi watu wa Crop Science hawafanyi utafiti zinazoendana na taaluma yao?

Kwa mujibu wa taasisi ya Apopo ambao wanafanya kazi na SUA wanasema kwamba:-
Impact - TB Detection
A HeroRAT can check 100 sputum samples for tuberculosis just 20 minutes, a job that would take a lab technician using conventional microscopy up to 4 days
Sasa angalia hiyo tofauti kisha linganisha na hayo mavifaa mnayoyasifia! Je, wanatumika hao panya? Again, Apopo hawa hapa:-


Pia soma kipande hiki cha habari kutoka Gazeti la Mwananchi:-
Just imagine, within 5 minutes, panya wameweza kupima 60 samples from which 6 samples zikagundulika kuwa na ugonjwa, na nyie bado mnakejeli?!

Mwananchi wanaendelea:-
Kisha gazeti linamnukuhu Professor Makubi kwamba:-
Are you guys serious?!

Thadei Ole Mushi anaponda lengo la sasa la kutaka kutumia hao panya kupima COVID-19, na hapo Professor Makubi anasema teknolojia hii inaweza kutumika kwenye mass screening!

Hivi mlishapata kujiuliza hilo la COVID-19 likifanikiwa litakuwa na impact kiasi gani kutokana na huo uwezo wa kufanya mass screening?
 
Sikutarajia hao mabeberu wangeipa credit sua, in fact hiyo project ime fadhiliwa na hao mabeberu.

Hivi serikali yetu sijui ina kwama wapi?? Kwann wasiwe wanatenga fungu kwa ajili ya tafiti?
Upo sahihi kwa 1000%... wakati serikali imelala, credit zinaenda kwa Apopo ambao nao wanatumia hiyo research kuombea pesa ughaibuni!

Na hiyo ya corona kama itafanikiwa, jamaa itawapa mileage kubwa sana kwa sababu hata huko kwenye TB, hawa panya wameonekana wapo efficient na wana uwezo wa kufanya mass screening kuliko vifaa ya wazungu!!
 
Umefanya utafiti kuangalia impact ya hao panya, au unaunga mkono tu?!
 
Khaaa!!! Unadhani nina interests na hayo yanayoendelea?! Sipo SUA mzee, hapa ninajaribu kuweka rekodi sawa kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa mambo mbalimbali!!!
 
WEWE NI MSHENZI MZOEFU
 
Umefanya utafiti kuangalia impact ya hao panya, au unaunga mkono tu?!
Jamaa umetokwa povu sio la nchi hii au ndio unawalisha hao panya hapo SUA unaona kama tunakusagia kunguni.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... tuambie wewe unaowalisha hiyo impact maana tunapokwenda kutest COVID 19 hatuwaoni hao panya wako tunatumia testing kits kutoka abroad
 
TOO LOW to argue with.
 
Kama sniffing dogs wanatumika kwanini iwe ajabu panya kutumika?
Tunaona ni ajabu kwa sababu hata kama tafiti itaonyesha kweli panya hao wanaweza kugundua kitu fulani hawana Msaada mwishoni. Kwa mfano walisema wanao panya wanaogundua makohozi yenye vimelea vya TB, ok niambie Sasa ni hospitali gan Tanzania hii wanatumia hao panya kwenye maabara zao kupima TB? Fanyia tafiti Jambo ambalo litakuwa applicable iwapo utafiti huo utakamilika ili kuwa Msaada kwa Watanzania lkn sio utafiti ambao ukifanikiwa unakuwa hauna faida kwa taifa. Ndio mtoa mada anasema tuachane na tafiti za Aina hiyo na wawekeze nguvu kwenye tafiti nyigine ambazo najua zipo wanazifanya na zinafaida km ilivyo chanjo ya mifugo
 
Kwa kweli hata mimi wamenichosha,wanaacha kutafiti mbegu bora za Mazao ya kilimo na ufugaji,na teknolojia rahisi wanakomaa na vitu vya kijinga miaka na miaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…