Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

Kuna basi kila likikaribia kizuizi abiria saba waliokuwa wamezidi muhudumu alikuwa akiwaelekeza waingie chooni, na abiria tulikuwa tunawaona wenye basi ni wajanja.
 
Ni kampuni zisizoeleweka tu ndio wanafanya hivyo, tena dereva na konda wanafanya hivyo ili wapate maokoto bila boss kujua.

Kampuni zinazojielewa hazifanyi hivyo
Abood Dar Moro hiyo kwao kusimamisha abiria ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…