Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

GUSSIE hiyo ada ya elfu ishirini iliishia 2015. Kuanzia mwaka 2016 elimu ya msingi na O-Level ni BURE!!!!!!!!!!
 
PUMBA
 
Una kataa kulipa ada hao waalimu wana familia pia, wazazi, watoto nk wale nini? Tufikirie mara mbili juu kwenye kila jambo
 
Hujatumia busara mkuu, kumbuka hiyo shule ni biashara ya mtu. Na biashara kipindi hiki zimepata pigo kubwa, na ukumbuke pia wanahitaji nao kulipa mishahara.

Kumbuka, IF YOU ASK THE PRICE, YOU CAN NOT AFFORD IT

Wewe hizo shule sio class yako

Kufanya biashara maana yake sio kumdai mtu bila kumpa huduma boss. Huo ni wizi kama wizi mwingine.
 
Hujatumia busara mkuu, kumbuka hiyo shule ni biashara ya mtu. Na biashara kipindi hiki zimepata pigo kubwa, na ukumbuke pia wanahitaji nao kulipa mishahara.

Kumbuka, IF YOU ASK THE PRICE, YOU CAN NOT AFFORD IT

Wewe hizo shule sio class yako

"YOU ASK THE PRICE, YOU CAN NOT AFFORD IT"

Misemo ya motivational speakers hio pale wanapotaka kumpiga mtu.
 

Mbona ni serikali hio hio ilipanga bei ya korosho mpk ikabuma?
 
Naoana imeanza huku ...na wenye nyumba watataka kodi wakati mambo hayaendi, wafanyakazi wa private wakishindwa kulipwa ..itakua ni shida kwa sababu kama ninyi mnagoma kulipa ada mnafikiri ao walimu watalipwa nini, kodi zao nyumbani walipeje ? Nyie kama mnaela lipeni watoto waendelee kusoma whatsapp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mleta mada unachekesha,mkataba ni kulipa ada kwa tem mbili kwa mwaka.Sasa hii term haijaisha lazima ulipe ada ya watu.June lazima siku zitafiidiwa je hilo haujiulizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…