umusuntiwawe
Member
- Jul 9, 2020
- 52
- 125
Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.