Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.

Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.

Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
Muwe mnajifunza basi hata kuandika kiswahili akiri ndio kitu gani? by the way hata aje rais gani hawezi toa ajira kwa wahitimu wote kilichopo ni kuwa serikali ya sasa inatengeza mazingira ya raia wake kujiajiri ili kujenga uchumi wa kisasa. Hii miundombinu anayoitengeneza sasa JPM ndiyo itakayokuja kutengeza ajira nyingi sana siku za usoni tuombe uzima.
 
we hujui kitu kaa kimya! Mbona jk aliajiri na utawala huu msisitizo ni watu kujiajiri. Hii serikali ina manufaa gani sasa kwa vijana na watu wote kwa ujumla. Pili lina maisha huwa yanasimama ili kupisha miundombinu ijengwe kwanza! We hujitambui
 
Tatizo la ajira kwa nchi nyingi za ki Afrika hususani Tanzania, ni corona ambayo hairipotiwi vifo vyake.

Wazazi wengi walishindwa kuweka misingi imara na mizuri kwa watoto wao kwa sababu na wao pia hili limewasulubu.

Leo hii mimi na wewe ni wazazi/watarajiwa ambao ugonjwa huu(ajira) pia unatutesa.

Swali la muhimu nini afanye Magufuli ili hata km atapita ili aweze ku solve hili! Hata huyo mrithi wake?
Maana ushauri wa humu pia unachukuliwa
 
Mtamuongezea muda wewe na nani? Ili iweje? Vipi ikatokea akafa hata kabla ya hiyo 2025?
Atakufa pale aliyemuweka hapo atakaporidhika ameshatimiza kile alichompangia akifanye kwa watanzania.
 
Kwa suala la kupiga kura jamaa hawezi toka madara cha msingi ni kutumia nguvu
 
Muwe mnajifunza basi hata kuandika kiswahili akiri ndio kitu gani? by the way hata aje rais gani hawezi toa ajira kwa wahitimu wote kilichopo ni kuwa serikali ya sasa inatengeza mazingira ya raia wake kujiajiri ili kujenga uchumi wa kisasa. Hii miundombinu anayoitengeneza sasa JPM ndiyo itakayokuja kutengeza ajira nyingi sana siku za usoni tuombe uzima.
Hebu kabla ya kuandika ulicho andika fuatilia takwimu za wahitimu
 
Are you dreaming? if yes, Could you please stop day-dreaming and fight for independent NEC? without having the independent NEC your efforts will be ended in vain.
 
Mkuu huko shuleni ulienda kufanya nini? mbona unataka tuanze kukupa lecture tena hapa?
 
Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.

Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.

Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.

Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
Kipengele gani cha katiba au sheria gani inasema Raisi anawajibu wa kukutafutia kazi?

Kuzaa azae mama yako, kusoma usomeshwe na serikali, tena ikukopeshe pesa ya kujikimu shule, ukitoka shule tena serikali ikutafutie ajira. Mwishowe mtataka serikali iwaolee na kuwazalia.

Hivi wazazi wenu majukumuu yao ni kustarehe tu kukuzaa? Au raisi ndo alimdunga mimba mama yako?

Vijana mlioenda shule, mnazidiwa na akina Zuckerberg ambao hata shule hawakumaliza? Mnashindwa kutafsiri mliyokariri darasani kuwa nadharia?
Mnashindwa hata kuwa inspired na akina Kishimba, Laizer, etc walioshindwa hata kufika darasa la 7?

Kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom