Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Aende wapi na keshafikaHivi atatoka kweli?? 😰😰 kijasho kitatutoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende wapi na keshafikaHivi atatoka kweli?? 😰😰 kijasho kitatutoka
Ataondoka tu mkuu!!Hivi atatoka kweli?? 😰😰 kijasho kitatutoka
Vijana mlinde heshima yenu, mmedhalilika mno, msidanganywe na yeyote, mjiandikishe kupiga kura za kumondoa anayewaletea mateso.
Kwa imani Daudi alimwua Goliath wacha tupige campaign lakini tukimwomba Mungu atuepushie hiki kikombe kukinywa kwa ngwe ifuatayoAtaondoka tu mkuu!!
Nani kakudangaya kuwa box la kura ndio litakaloamua?Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
Wagombea wengi wanasema wataondoa tatizo la ajira,lkn hawaelezi watafanyaje fanyaje kuondoa tatizo la ajira na je hilo tatizo wataliondoa kwa mda gani,manake kila mwaka kuna vijana wapya wanaingia mtaani.Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
Bara bara amejenga ipi?Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba anajinasibu na Rais wa wanyonge wakati wanyonge ndio hawa. Vijana wanafurika mtaani hawaijui kesho yao halafu hawa wana wazazi na ndugu wanaowategemea na wameuza mashamba na rasilimali zote ili kuwasomesha. Hata ajira zinatoka sasa hivi ni za kujitolea tu mfano manispaa ya temeke walimu wanajitolea ipmplying kwamba walimu hawatoshi kabisa ila ajira siyo kipaumbele cha bwana mkubwa yeye anatafuta international pride tu.
Hata sector binafsi inapumulia mashine ambapo ndio iliajiri sana pia kipindi cha JK. Mtu alikuwa anakataa ajira ya serikali akijua atapata ajira private sector and it was easy. Vijana mkimpigia Rais Magufuli kura mtakuwa hamna akiri na kwa sababu hiyo sidhani kama Rais Magufuli atapita kihalali labda aibe.
Vijana wamechachamaa haswa liwalo na liwe.
Aseee tupo pamoja katika hili na haitakaa itokee maisha mwangu...watu wa nchi za mwenzetu yaani kura kwao ndio tiketi ya kumchagua kiongozi bora mwenye kuwatumikia wananchi wake lakini sio hapa nchini mara box ya kura feki yanaletwa vituo kupitia polis mara mabox yale ya kura yanaibiwa,huku wasimamizi wamekosa viapo,vurugu mtindo mmoja ya nn nipige kura...Sitawahi kupiga kura ktk maisha yangu yoteeeeh.
Topic closedHakuna uchaguzi ambao CCM umewahi kushinda kihalali tangu kuanza mfumo wa vyama vingi. Na hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao umewahi kufanywa. umusuntiwawe
HAHAAAANa ATAKE ASITAKE 2025 Tutamuongezea muda tu.
Watu wameshasahau hata jinsi ya kuandika barua za kuomba kazi
...aiseeh TUAMKEVijana wa Tanzania wanakula matunda ya uzwazwa wao.
Nabado
Bila kwanza kupiga chini sisiemu hizo zitabakia ndoto za alinachaChangamoto ya ajira kwa vijana ni mtambuka na suluhisho yake haitegemei njia moja tu ya ajira serikalini au makampuni binafsi. Kwanza lipo tatizo la mitizamo ya vijana - mindset- kuhusu kupenda ajira rasmi hususani waliomaliza vyuo na elimu ya sekondari. Hivyo hushindwa kufanya ubunifu wa kujiingiza kwenye ajira ya kujitegemea au niseme kujiajiri. Pili kuna haja ya kuangalia upya na kwa kina kuhusu sylabus na progam za masomo ngazi mbalimbali za elimu ili ziakisi hali halisi ya mazingira ya nchi kwa kumtayarisha kijana kujiajiri pia. Mkazo uwe kwenye elimu ya ufundi,ujasiriamali,teknolojia,kilimo,uvuvi, ufugaji,viwanda vidogo,utaalam wa fani mbalimbali nk. Mikopo yenye riba nafuu,kuhamasisha vikundi vya uzalishaji nk.
Hata hivyo niseme kuwa si kwamba serikali haijfanya chochote kuhusu ajira kwa kipindi hiki - mnyongeni haki yake mpeni -miradi ya kitaifa ya kielelezo na mingineyo imeajri watanzania wengi na bado tuna vijana wengi wamejiajiri wenyewe i.e bodaboda. Changamoto ya ajira kwa vijana ni duniani kote. It is phenomenonal case. Wakati tukiwa kwenye uchumi wa kati changamoto hii itapungua sambamba na kuongzeka kwa viwanda,utalii, biashara.Huu ni mchakato na siyo suala la siku moja kuona impact yake.Muhimu kila mmoja alipo afanye kazi kwa bidii na maarifa.