Kipengele gani cha katiba au sheria gani inasema Raisi anawajibu wa kukutafutia kazi?
Kuzaa azae mama yako, kusoma usomeshwe na serikali, tena ikukopeshe pesa ya kujikimu shule, ukitoka shule tena serikali ikutafutie ajira. Mwishowe mtataka serikali iwaolee na kuwazalia.
Hivi wazazi wenu majukumuu yao ni kustarehe tu kukuzaa? Au raisi ndo alimdunga mimba mama yako?
Vijana mlioenda shule, mnazidiwa na akina Zuckerberg ambao hata shule hawakumaliza? Mnashindwa kutafsiri mliyokariri darasani kuwa nadharia?
Mnashindwa hata kuwa inspired na akina Kishimba, Laizer, etc walioshindwa hata kufika darasa la 7?
Kaazi kwelikweli.