Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Haya majamaa tunayabeba kila kitu! Bili ya umeme tunayalipia hata tozo ya mafuta hayalipi! Ukraine haijaathiri uchumi wao hao wafalme.
Hangaya kutwa kuchwa anayajengea kwa kutumia kodi zetu
Tuyaanzilishie kwenye mali yanayomiliki huku tuone kama makuwadi wao hatatokelea!
 

MKuu sasa tatizo liko wapi? Mzenj ni Mtanzania lakini mbara si Mzanzibari. Hizo taratibu zipo kwa mujibu wa muundo wa Muungano wetu
 
Vipi kuhusu mkristo kuwa rais Zanzibar? Yaani Tanganyika inaweza kuwa na rais mzanzibari ila Zanzibar kuwa na rais kutoka bara ni marufuku( strictly prohibited)

TAnganyik haipo mkuu, Ilishakufa toka 1964
 

Wabara wanatengwa vipi mkuu? Asilimia 80% ya private sector Zanzibar waajiriwa ni Watanganyika.
 
Mimi naona kuwe na serikali moja ya tz na kuwe na majimbo yenye sheria zake turuhusu ku accommodate nchi zingine kama majimbo yaongozwe na magavana,sheria wajitungie wenyewe nsiyo tutawaweza wazanzibar,chukua Burundi Rwanda uganda n.k

Kenya ndio wakajitoa mapema kutoka East African Community , waliwajua watanganyika ni washenzi
 
Pamoja na zanzibar ni padogo. Wakazi wakristo wanabaguliwa kupata ardhi.
Ninavyojua raia mkazi zanzibar ni mtanzania yeyeto aliyeishi zanzibar mfululizo kwa miaka mitano. Huyu anakua na haki zote za raia mkazi wa zanzibar.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa kuna kiongozi wa dhehebu hili aliwahi kumwagiwa tindikali hapa zanzibar
 
Kwani wameshindwa kununua
 

Mbona mlituuwa kwa maelfu ili kuleta hali hii , mnalalamika kitu gani na jeshi lenu limemwagwa kila mtaa huku kuna kambi kulinda hayo unayolalamika ??
 
Muungano unatuumiza sana watu wa Bara na kuwanifaisha Wazanzibar.

Kama mtarudisha roho za watu kwa maelfu mlizozitoa kwa kutuvamia labda hicho mnachofikiri tunafaidika tunaweza kuwapa wenyewe
 
Mkoloni wa bara au visiwani? Kama mkoloni alikuwa muingereza, mapinduzi ya zanzibar walimpindua nani na akiwa kama nani huko zanzibar?
Mkoloni wa visiwani,walipindua serikali ya Mohammed shamte,walikua na mfumo wa uingereza,sultani alikua Kama malikia,serikali mkuu wake Waziri mkuu shamte
 
Hii fimbo ya moto tutaanza kuwanyanganya ardhi huku bara.

Mnachelewa , anzeni dakika hii , pia msisahau kuchukuwa majeshi yenu na kijana wenu wa Mkuranga mliyempa uraisi kwa kuuwa watu naye mchukuweni
 

Kuna visiwa vinakodishwa , nendeni mkakodi mjenge makanisa huko mkiabudu hakuna wa kuwakataza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…