Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Hakuna mdada wa bara ambaye ni mjinga wa kuolewa na nyie wavivu kazi kuzunguka kwenye mabao na uswahili swahili mwingi

Hv haujui kuwa wadada wa bara watukubali sna hasa rangi zetu na nywele wnatmn kuzaa watt wazur [emoji23][emoji23] btw am just kddng dnt tak it seriously na sina ubaguz n yyt we love eachothr
 
Hakuna mdada wa bara ambaye ni mjinga wa kuolewa na nyie wavivu kazi kuzunguka kwenye mabao na uswahili swahili mwingi
Mkuu, unajua ya kwamba mke wa raisi Mwinyi katokea Iringa ? ila sasa nenda wewe huko Zenji kajaribu kuoa uone mziki wake
 
Kwanini atoke Zanzibar na wakati siyo nchi yenu? mbona mmejazana bungeni na kwenye uwaziri?
Usibangaize na kujitoa akili jibu suali .
(Hukupata uzoefu wa masuala na majibu kwenye kesi ya Mwenyekiti Mbowe) .
Jibu suali kama lilivyo ulizwa sio unajibu kwa kuuliza .
Nitasubiri sana jawabu.
 
Post hii ina ujumbe uliofana na >>huuURL], lakini humu jukwaa la siasa nimeona iwepo kwasababu hili ni jambo linalogusia siasa baina ya Zanzibar na bara na kumekuwa na post nyingi kuhusu hili swala humu jukwaa la siasa.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shayo kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar amezungumzia mambo mbalimbali likiwemo la tatizo la wabara kumiliki ardhi Zanzibar.

Ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama ni mkristo upewi.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".

Maoni ya ziada

Achilia mbali taasisi za Znzibar, yani hata kwa raia wa kawaida wa kizanzibar, ukienda dsm, kigamboni, kuna wazanzibar wanamiliki ardhi wapendavyo, ukienda mikoani kuna wazanzibar wananunua maeneo wapendavyo. ila sisi tukienda kule mhhhh, .......,

kwenye kuoa hapa napo huwa pana ubaguzi, yani ukifahamika ni mtu wa bara tu hapo sahau kupata binti, ila huku bara haya mambo hayapo.

kingine ni kila ramadan ikifika wakristo inabidi tujifungie vyumbani kupika na kula lasivyo utachapwa viboko kama mtoto mdogo ama kufungwa jela kwenye mateso makali mno....ni jambo ambalo linaumiza sana maana katiba ina uhuru wa imani ila nchi inaendeshwa utadhani ina katiba ya kidini.

kingine pia ni udhalilishaji wa wazi wazi, ni kawaida sana kusikia ukiitwa "kichogo" kisa tu ni mtu wa Tanganyika na kichwa chako hakipo flat kama wazanzibar wengi, hiki si kitu kigeni hata kwa wale ambao wamejiunga ama wamewai kupiga chabo kwenye magrup ya kizanzibari ya fb na whatsapp.
Harafu kuna mpumbavu anadai katatua kero za muungano kumbe katatua kero za wazanzibar dhidi ya wabara
 
Mkuu, unajua ya kwamba mke wa raisi Mwinyi katokea Iringa ? ila sasa nenda wewe huko Zenji kajaribu kuoa uone mziki wake
Sasa Mwinyi kwani anatokea wapi ?
Ndio ukasikia wazenji wanaimba na kucheza...Tunataka nchi yetu sasa tumechoka.
 
WATANGANYIKA MUWE NA HURUMA , NYIE MUKO MILIONI 60 MKIRUHUSIWA KUNUNUA ARDHI HUKU AMBAYO NI SAWA NA WILAYA YA TEMEKE TU , ITABAKIA KWELI? KWANI HUKO KWENU ARDHI IMEKWISHA ? SI NUNUENI HUKO.
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.


Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.

Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Kwa namna hii itafika time wazanzibar wote wenye ardhi Tanganyika watanyanganywa hata iwe miaka 1000 maana maandishi yapi kuwa hakuna usawa katika kumiliki ardhi ukiwa Zanzibar mTanganyika! Zanzibar Ni nchi, Tanganyika Ni nchi, tukiungana, Basi bara wafaidi Zanzibar na Zanzibar wafaidi bara equally
 
Usibangaize na kujitoa akili jibu suali .
(Hukupata uzoefu wa masuala na majibu kwenye kesi ya Mwenyekiti Mbowe) .
Jibu suali kama lilivyo ulizwa sio unajibu kwa kuuliza .
Nitasubiri sana jawabu.
Hawezi kutoka Zanzibar sababu hatuwezi kuuza usalama wa nchi yetu
 
Katika mambo ambayo wazanzibari hawapendi kabisa kusikia ni hilo la mbara kumiliki ardhi Zanzibar....
Hiyo kitu jamani ni kwamba haiwezekaniii tuambiane ukweli tuu..
 
Wapemba na wanzanzibar ndio wakaz wenyeji wa kigambon tangu 1780 kama vile wazaramo kwa dar mkolon akaja kugawa sehem ile kwa bara haya rais wao jumbe alikua na kiwanja cha urais tangu kale alichorith kutoka kwa babu yake na babu yake hapo ndio nyerere alipomuweka kizuizin kiukwel tunawaonea wanzanzibar sanaa kutokana na udogo wao na kuna kisima cha mafuta kimejulikana ila wanzanzibar wamegoma kuchimbwa mafuta na kuletwa bara na bara haitok kuchimba mafuta na kuuzwa kutokea zanzibar swala liko pending
Tunatumia mipaka iliyowekwa na wakoloni so acha kutuletea historia za alinacha eti kigamboni ilikuwa zanzibar! Ko tuchore mipaka upya?
 
Ahhhhh mbona mudi alikua anashindia tende jangwani huku kavaa mashuka na vipedo akiwalaghai kwa adithi za uongo ile ale tende zaidi.
Yaani mudy na yesu tamaduni zao ni zilezile,kanzu,kobazi,tende,kondoo,ngamia,farasi...hawakuwa wakivaa suti na mokasini,hayo ni mavazi ya nchi za baridi
 
Katika mambo ambayo wazanzibari hawapendi kabisa kusikia ni hilo la mbara kumiliki ardhi Zanzibar....
Hiyo kitu jamani ni kwamba haiwezekaniii tuambiane ukweli tuu..
wabara wanaotaka kumiliki ardhi Zanziba ni wezi ,mbona kama ardhi tanganyika ni kubwa sana imejaa wanyama mpaka raia wanafanana nao.
Siku hizi hata tabia zao ni kama wanyama wanabakana mala baba mla mtoto mala mama mala mtoto ,punguzeni wanyama ili mludi kitabia.
Au nasema uwongo ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom