Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Unaongea kwa uchungu sana, kwa nini usiwe na article yako kila week ili kupunguza jazba yako!.

Ukristo umekuwepo zanzibar miaka mingi hata kabla ya babu zako, historia inaweza kukupa picha nzuri kuliko kupambana mitandaoni.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa kuna kiongozi wa dhehebu hili aliwahi kumwagiwa tindikali hapa zanzibar
Mhashamu Shao alisema mengi sana hata hilo aliliongelea na kuna zaidi wakristo wanayofanyiwa hapa Zanzibari ila serikali inakaa kimya but viongozi walipewa taarifa huwa wanaongea kisiasa kwa kupuliza.
 
Unaongea kwa uchungu sana, kwa nini usiwe na article yako kila week ili kupunguza jazba yako!.

Ukristo umekuwepo zanzibar miaka mingi hata kabla ya babu zako, historia inaweza kukupa picha nzuri kuliko kupambana mitandaoni.

Ukristo uliletwa na wareno na hakuna mzanzibari yeyote aliingia dini hiyo ? kanisa lilijengwa baada ya kuja wahamiaji na kuombwa kiwanja ambacho walipewa na mfalme.

hakuna Mzanzibari halisi mkristo, usilete uda hapa , mnatumia mabavu kuueneza ukristo.

Yule imani petro alipojaribu kuwahubiria na kuwasilimisha wakristo , haraka polisi ikaleta helicopter na kumpeleka Morogoro ambako hata sio kwao.

Serikali ni yenu na mnalalamika au mirija inaanza kukatwa mnaropokwa ovyo ??
 
Mhashamu Shao alisema mengi sana hata hilo aliliongelea na kuna zaidi wakristo wanafanyiwa Zanzibar ila serikali inakaa kimya but viongozi walipewa taarifa huwa wanaongea kisiasa kwa kupuliza.

Haya mnayotufanyia kila uchaguzi hamyaoni ya kutuulia ndugu zetu na kunajisi watu au damu ya muislamu ni maji tu kwenu mnamwaga mtakavyo ??
 
Askofu Shayo wa Mamsera-Rombo Jimbo katoliki la Moshi, barikiwa sana meeku!
 
Pia asingekuwa muoga ,angemwambia Mwinyi kuwa zanzibar si nchi ya kidini hata kama asilimia 90 wana dini aina fulani,mambo ya kutulazimisha wakristu tufuate sheria za kiislamu ni kutotutendea haki,, Zanzibar sio Saudi arabia au Oman!
 
Darubini ya dhahabu ikoje!!?..kwa hila zenu wakiristo Hilo likiwa ruksa Basi mtatafuta wafadhili,mnunue ardhi,mjenge makanisa mengi hata Kama hayajai watu,Kisha mfurahi muone mmeibatiza zenji,hatuuzi kwa machogo ardhi yetu,hupendi vunja muungano
Mkuu, niseme tu, kiwango chako cha ujinga bado ni kikubwa sana. Ninachoweza kukushauri ni jaribu kufanya jitihada kupunguza ujinga huu.
 
Pia asingekuwa muoga ,angemwambia Mwinyi kuwa zanzibar si nchi ya kidini hata kama asilimia 90 wana dini aina fulani,mambo ya kutulazimisha wakristu tufuate sheria za kiislamu ni kutotutendea haki,, Zanzibar sio Saudi arabia au Oman!

Lengo la Kanisa ni kuifanya Zanzibar iwe nchi ya kikristo . Vitabu vya Kanisa vipo vinavyosema hayo.
Sasa unataka waislamu walale ? Kutuuwa mtuuwe Na ardhi muichukuwe , mukajenge Baharini huko Chumbe Hakuna wa kuwakataza
 
Punguani wahed
 
Ukiajiriwa kule kuna ubaguzi sana sana. Muda mwingi wewe mgeni ndio unahitaji kuwa na busara kubwa ili kwenda nao. Kama ni Mkristo na spiritually dead kule hutoboi unaweza kurudi sio yule tena.

Upande wa bara kuchanganyana nao imefanikiwa sana na huku ni ndugu zetu kabisa ila ukweli usemwe kule kwao wakijua wewe ni kutoka bara ni tatizo.

Huku bara ukiwa mgeni mkoa mwingine utajisikia mgeni lakini mwenye haki zote, na pia wenyeji watakupokea vizuri! Mijini ndio kabisa huwezi kujua nani ni nani ila wenzetu upande wa pili ni tatizo, ni muhimu iundwe mikakati ya kuondoa hili jicho walilonalo wenzetu. Muungano una umri mrefu tunapaswa kuwa nchi moja kwelikweli.
 
Lengo la Kanisa ni kuifanya Zanzibar iwe nchi ya kikristo . Vitabu vya Kanisa vipo vinavyosema hayo.
Sasa unataka waislamu walale ? Kutuuwa mtuuwe Na ardhi muichukuwe , mukajenge Baharini huko Chumbe Hakuna wa kuwakataza
Huku bara tayari ni nchi ya Kikristo?
 
Mkuu, niseme tu, kiwango chako cha ujinga bado ni kikubwa sana. Ninachoweza kukushauri ni jaribu kufanya jitihada kupunguza ujinga huu.
Nenda katazame kioo,utamuona mjinga,nakuhakikishia hutoniona mimi
 
Makanisa au taasisi yoyote hata msikiti kupewa/kununua ardhi kubwa inategemea na maono ya wanataasisi. Makanisa hasa ya madhehebu makubwa kama Catholic na Lutheran wananunua maeneo makubwa kwa ajili ya kujenga makanisa, shule, vyuo, zahanati, maduka n.k kwenye eneo moja.

Wapo pia waislamu wananunua maeneo makubwa na kuweka mskiti, madrasa, zahanati mfano hapo mikumi.
Na sidhani kama ardhi ya Zanzibar ni ndogo kwamba makanisa yakinunua ardhi basi inaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…