TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #261
Unaongea kwa uchungu sana, kwa nini usiwe na article yako kila week ili kupunguza jazba yako!.Zanzibar hakuna wakristo , walioko ni magowa Na wengi wamesilimu waliobaki Kanisa la minara miwili linawatosha. Hao wavamizi kutoka Tanganyika wasituwekee fujo , mavamizi Yao Na roho Za watu walizozitowa imetosha , Sasa waondoke Na majeshi Yao watuwachie Nchi yetu
Ukristo umekuwepo zanzibar miaka mingi hata kabla ya babu zako, historia inaweza kukupa picha nzuri kuliko kupambana mitandaoni.