Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
kwa hiyo ikiisha inaenda wapi? acha watu wanunue mbona mpaka sasa haijaisha lakini kutwa wazenji wanakuja bara kununua?
 
Huu muungano kila siku ninauombea mabaya uvunjike tuu kila mmoja achukue mbao zake🚶🚶🚶
 
Umri alioishi Zanzibar ni mkubwa kuliko umri wako ulioishi duniani.Amepitia mengi na anaongea kutoka moyoni wewe unaleta propaganda
Moyoni gani chuki tu zimemjaa, hivi anazani kwa ardhi ya znz wanaweza kugawa mahekari kwa makanisa kama huku bara?
 
Pole sana chotara wa kihafidhina, kwa bahati mbaya hujui historia nami siwezi kushindana nawe!, Asante.
 
Niliipenda sana hii na nikweli kabisa huku bara wanajinafasi kama sebuleni kwao.
 
Haya mnayotufanyia kila uchaguzi hamyaoni ya kutuulia ndugu zetu na kunajisi watu au damu ya muislamu ni maji tu kwenu mnamwaga mtakavyo ??
Toa nyongo yote ukimaliza tuliza pembeni.

Mada ipo wazi ila mwenzetu ulikuwa unatafuta sehemu ya kuitolea 🤗
 
Huu muungano kila siku ninauombea mabaya uvunjike tuu kila mmoja achukue mbao zake[emoji124][emoji124][emoji124]
Akakoke moto wake huko, wao mpaka ufipani huko wanalima vitunguu wenyeji wala hawana shida nao ila wao wakute huko utazani walishuka nayo kutoka mbinguni
 
Kasome history ndiyo utaelewa vizuri!
 
Akakoke moto wake huko, wao mpaka ufipani huko wanalima vitunguu wenyeji wala hawana shida nao ila wao wakute huko utazani walishuka nayo kutoka mbinguni
Si mlituvamia wenyewe? Si kila nchi ilikuwa huru?
 
Toa nyongo yote ukimaliza tuliza pembeni.

Mada ipo wazi ila mwenzetu ulikuwa unatafuta sehemu ya kuitolea 🤗

Ita, nyongo, maini ,mbavu, lakini ukweli ndio Huo , tumevamiwa Na kila uchaguzi huuliwa watu mpate kuweka vibaraka wenu
 
Huna unachojua kazi kuwaongopea machogo wenzako wa dot.com
Hiyo inayoitwa passport iliondolewa mwaka 1993 baada ya mtifuano wa kadhia ya OIC.

Rais wa Zanzibar wa wakati huo Dr.Salmin Amour alisema wazi kwenye hutoba yake kwamba wamekubali kuondoa hiyo kero ya Muungano pamoja na kujitoa kwenye OIC na kabla ya hapo kukubali kuanzisha vyama vingi kwa sababu ya kulinda Muungano.
Kero moja aliikataa wazi na hadharani ya kutakiwa kukubali Muungano wa Serikali 2 kuelekea 1 alisema hiyo labda waje watawale miti.

OIC ilijitoa kwa makubaliano kwamba Tanzania ndio ijiunge kwa sababu kikatiba Zanzibar haikuwa na sifa.

Hiyo kusema ukienda Zanzibar ilikuwa ni lazima kwa passport ila ukija Bara silazima ni uzushi uliotungwa sijui kwa maslahi ya nani.
Ukweli ni kwamba ilikuwa ukienda Zanzibar huku Bara huulizwi chochote, ukifika kule Zanzibar unaulizwa hati/kibali cha kusafiria ( hakukuwa na ulazima wa passport hata barua ya mjumbe wa nyumba kumi inatosha na ndio walio wengi walikuwa wanatumia hizi kwa huku Bara, kule Zanzibar walikuwa wanatoka Uhamiaji Ni karatasi ya ukurasa mmoja yenye heading ya "HATI YA KUSAFIRIA" ilikuwa ina muda wa matumizi ya miezi kati ya 6 na mwaka (wenye kukumbuka vizuri wanaweza kunisahihisha) wenye kujiweza na passport ndio walikuwa wanatumia hizo passport). Na ukitoka Zanzibar unaulizwa tena ukifika Bara huulizwi. Na hii ilikuwa inawahusu wote uwe Mzanzibari, Mzanzibara au Mtanganyika. Aliekuwa kwenye ulazima wa passport ni mgeni ambae si Mtanzania na walikuwa wanashangaa sana inakuwaje nchi moja lakini ukifika Zanzibar unadaiwa tena passport.
 
Hayati Karume aligawa heka 3 kwa kila familia ya Zanzibar ...unataka kila mbara mwenye uwezo wa kununua hata heka 1000 aruhusiwe tu ?!!! huh 😲🤣
Hapana! Wazanzibar wana haki ya kuwaona Watanganyika sawa na Wa Nigeria , Kenya au Warusi
Wazanzibar wana haki ya kuitetea ardhi yao kwa uchungu sana na upendo.
Hata kama wanauza maeneo kwa Waarabu na Waitalia hiyo ni hiari yao

Tunachosema hapa ni kwa Watanganyika ndio wenye matatizo wasiwalaumu Wazanzibar
Uwepo wa Tananyika ungesaidia tatizo hilo
Watanganyika (machogo) wakatae na Kuzuia Wazanzibar kumiliki ardhi kama wanavyofanya wao
Watanganyika wabatilishe hati za Wazanzibar ili nao wawe na uchungu na nchi yao kama Wzbar

Watanganyika wanaanza kuelewa somo, matter of time
 
Kwani G55 na OIC wanahusiana vipi?
Hati ya kusafiri na passport! unajua unachoongelea hapa?

Tatizo la wenzetu ni lile lile kutojishughulisha kutafiti au kusoma.

OK tuendelee na hadithi '' Zanzibar ni nchi ya kwanza kuwa na TV''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…