Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Wilaya ya Sengerema 3,162 square km
Nchi ya Zanzibar 2,461 square km

Hawa jamaa wakizaliana sana UROJO na MAPEMBE (mchele wa kitumbo) VITAISHA watakuja kujazana kuishi huku kwetu bara kwa wanaotuita machogo!! tuanze kurekebisha sheria za umiliki ardhi nao wasipewe huku bara. Waziri wa ardhi asiseme hatujamwambia!
wakati ni huu

niliishi Zenj miezi sita ubaguzi niliofanyiwa kule si wa dunia hii wala sikufukuzwa niliondoka mwenyewe bila kuaga mtu na kazi nikaacha!hata chumba cha kupanga tu hupewi mbara inabidi akodi mshkaji wako mzenji halafu mwenye nyumba anashangaa umetimba hapo unakaa wanakuhesabia miezi ukibaki mmoja wanakwambia hama kodi ikiisha!!

mara washkaji zako wazenj wachukue namba yako ya cm na kuwapa wenzao wanakupigia cm ukipokea tu unakutana na mvua ya matusi mazito ya nguoni wakati nawewe unaandaa majibu ya matusi toka bara wanakata cm na kuizima!!

samahani wazenj mimi mbara chogo mlinibagua na siwapendi kinoma!

wanakuahidi salary kubwa ukianza kazi mwisho wa mwezi wanakupa nusu mshahara sababu we mbara huli urojo na mapembe!

mtu mwenye elimu kubwa mitaani ni form six!!

watu wa mjini Unguja wale wajanja tu ikifika jioni eti tunakusanyika forodhani kula urojo na kuangalia vijana wakiruka sarakasi na kuangukia baharini ili kufurahisha watalii wa kizungu! wenye akili Zenj unahesabu!
Mimi huo uhuni wa kuitwa chogo niliukataa kitambo sana. Kuna mwarabu yupo kimara jina naliweka kapuni mpaka nikanywe kwanza gongo.. Yule mwarabu nilikuwa naishi nae tukiwa tunafanya kazi kwenye kampuni yake akawa ameoa mpemba lakini yule mwanamke wa kipemba akawa ananitenga na kunibagua huku akifanya upuuzi wa kubagaza dini yangu iliyoletwa na wazungu. Nikasema haina shida siku nilimnywea konyagi manina matusi niliyompa hata Kuja sahau mpaka Leo, akisikia jina langu siku imeharibika maana nilimuonyesha mpaka mapicha yake ya utupu alipokuwa anahara chooni akasahau kufunga mlango nikapiga picha yeye akiwa ameinamia sinki. Nilimwambiaga ukisema tu "nyo" haya mapicha na release huku nikawa nampasua na matusi magumu akiwa na tumbo kubwa na domo la ubwabwa wa chukuchuku.
 
Tuanzie hapa. Kwani Katiba kuhusu umiliki wa ardhi JMT inasemaje?
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walichoahidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu ardhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata ardhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama Yohana hupewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu", alisema askofu Shao.

Aliiomba Serikali ifikirie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "Katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa, haiwezekani ukienda bara unachukua ardhi ila ukija Zanzibar hupewi, ifike mahali tuangalie usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako"hapo ndipo hoja ilipo ishia
 
Hizi ndizo faida za muungano kwa Tanganyika?

Elewa swali kwanza halafu lijibu kwa mujibu. Ni wewe uliyetoa hoja kwamba Tanganyika inafaidika

Sijasema Tanganyika wanafaidika, Nimesema Tanganyika ndio wanaouhitaji mana wao ndio wanaoung'ang'ania.
 
  • Historia inaeleza wazi kuwa wao ndio waliouomba.
  • Wao ndio wamekua wakitumia nguvu nyingi kuulinda kwa muda mrefu sana.
  • Kila aliejaribu kuukosoa wao walifika haraka kupambana nae (Jumbe, Maalim Seif, Wale jamaa wa Uamsho,)
  • Waemkua wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha kuwa Upinzani hauishiki madaraka Zanzibar mana wanaamini kabisa Maalim Seif angelivunja Muungano.
  • Inafika mpaka hatua pale viongozi wa Zanzibar wanatoa maneno yasiyo na maadili lakini wanaishia kuvumilia (Refer walipotaka kuwazimia umeme Zanzibar kutokana kuwa na deni kubwa la Umeme Dr. Shein alijibu na wazime tutawasha vibatari, JUst imagine hiki kilikua kipindi cha Jiwe na aliufyata, Na hata Karume aliwahi kutoa kauli ya kuwa Muungano ni koti tukihisi linatubana tutalivua)
Dr. Salmin Amour Juma. "Hakuna cha baba wa Taifa wala babu wa Taifa" Nyerere alipomtaka wafanyanye muafaka na CUF ili waunde Serikali ya mseto baada ya sintofahamu ya Uchaguzi Mkuu 1995.
Dr. Salmin Amour Juma.
Hakuna cha Serikali mbili kuelekea moja hapa, wakitaka labda waje watawale miti.
 
Namheshimu sana ...
Chetu chao na chao ni chao.

Bado kuna sheria kandamizi zanzibar ndg yangu, wale waarabu wa mwanzo wangekuwa ndiyo hawa sijui nini ningetokea.
 
Mi naona bara tuweke Sheria inayo kataza wazanzibari ama nchi nyingine zenye kanuni ya kibaguzi kuhusiana na umiliki wa ardhi, wasimiliki pia ardhi kwetu
 
99/% zanzibar ni waislamu halafu nyie mliokuwa na govi mnataka kujenga makanisa katika nchi ya waislamu wengi ni ni nchi ya kiislamu mnatafuta ugomvi
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walichoahidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu ardhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata ardhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama Yohana hupewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu", alisema askofu Shao.

Aliiomba Serikali ifikirie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "Katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa, haiwezekani ukienda bara unachukua ardhi ila ukija Zanzibar hupewi, ifike mahali tuangalie usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
MHASHAMU ASKOFU SHAO ANATAKA KUITEKA ZANZIBAR KWA JINA LA USAWA (RECIPROCITY) WA KUMIlIKI ARDHI.

Sasa hii ni hatari tena kubwa tena ilioekwa hadharani. Ni dalili ilio wazi ya kutapatapa na kumtisha hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi aridhie kile ambacho hakikuridhiwa na Maraisi wote wa Zanzibar waliopita.

Askofu Shao anaingiza hisia za kiroho ndani ya siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Zanzibar. Maudhui ya suala la ardhi ni suala la kisiasa na la Mamlaka Kamili ya Zanzibar na kwa hiyo lipo nje ya dini ya Ukristo na Uislamu.

Vipi utakuwepo usawa wa umiliki wa ardhi baina ya Wazanzibari milioni moja (1) na Watanganyika milioni arubaini na tano (45)?

Hii fitna mpya ya hadharani ya Askofu Shao imekusudiwa kujenga mifarakano ya kidini na ujinga wa kiitikadi baina ya dini mbili na pande mbili za Muungano ili Wazanzibari pamoja na Watanganyika wanaoidai Tanganyika yao, wapoteze Umoja wao katika kudai haki zao ndani ya Muungano.

Viongozi wa kidini na wa kisiasa wa Zanzibar na wa Tanganyika wanapaswa kuwa waangalifu imara na waangalifu SANA na kumshauri vizuri Rais wa Zanzibar. Dokta Hussein Ali Mwinyi, anatakiwa achukue tahadhari za makusudi za kuuona mtego wa Askofu Shai wa kujaribu kudhililishwa hadharani na mbele ya Wazanzibari ma Watanganyika, na kuiepusha Zanzibar na Tanganyika na mbegu za sumu mpya alizozimwaga Askofu Shao mchana kweupe kwenye uwanja wa Amani na mbele yako Rais Dokta Hussein Ali Mwinyi.

Watakaoumia katika jaribio la kupandisha mbegu za fujo za kisiasa kupitia udini wa Askofu Shao na jimbo la Katoliki la Zanzibar ni Wakristo na Waislam kwa pamoja.

Ni dhahir Askofu Shao na jimbo la Katoliki la Zanzibar anataka Watanganyika Wakristo (hakuwatetea Watanganyika Waislam) waruhusiwe kununua ardhi na nyumba Zanzibar kinyume na sheria za Zanzibar.

Askofu Shao katuamsha hadharani kwa kututangazia mkakati wa hatari mpya na mchafu. Sisi Wazanzibari, na zaidi Watanganyika wenye kuuona uovu wa Uongozi wa watu wachache wa Tanganyika juu ya Zanzibar, tutaendelea kufa kupona kudai Mamlaka Kamili (sovereignty) ya Zanzibar na Mamlaka Kamili ya Tanganyika (sovereignty) ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom