Karume hakuwa mbaguzi....
Wote walioyakubali mapinduzi walipatiwa ardhi hizo......
#Mapinduzi Daima
Naona unajikanyaga, Ndio ukaambiwa wana ASP tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karume hakuwa mbaguzi....
Wote walioyakubali mapinduzi walipatiwa ardhi hizo......
#Mapinduzi Daima
kwa hiyo ikiisha inaenda wapi? acha watu wanunue mbona mpaka sasa haijaisha lakini kutwa wazenji wanakuja bara kununua?Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Moyoni gani chuki tu zimemjaa, hivi anazani kwa ardhi ya znz wanaweza kugawa mahekari kwa makanisa kama huku bara?Umri alioishi Zanzibar ni mkubwa kuliko umri wako ulioishi duniani.Amepitia mengi na anaongea kutoka moyoni wewe unaleta propaganda
Itapendeza.Kuna haja kuwazuia wanzanzibar kumuliki ardhi bara, au tuanze kuwanyang'anya.
Pole sana chotara wa kihafidhina, kwa bahati mbaya hujui historia nami siwezi kushindana nawe!, Asante.Ukristo uliletwa na wareno na hakuna mzanzibari yeyote aliingia dini hiyo ? kanisa lilijengwa baada ya kuja wahamiaji na kuombwa kiwanja ambacho walipewa na mfalme.
hakuna Mzanzibari halisi mkristo, usilete uda hapa , mnatumia mabavu kuueneza ukristo.
Yule imani petro alipojaribu kuwahubiria na kuwasilimisha wakristo , haraka polisi ikaleta helicopter na kumpeleka Morogoro ambako hata sio kwao.
Serikali ni yenu na mnalalamika au mirija inaanza kukatwa mnaropokwa ovyo ??
Niliipenda sana hii na nikweli kabisa huku bara wanajinafasi kama sebuleni kwao.Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.
Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.
Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.
"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shao.
Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.
Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Unaumiza mnooMuungano unatuumiza sana watu wa Bara na kuwanifaisha Wazanzibar.
Toa nyongo yote ukimaliza tuliza pembeni.Haya mnayotufanyia kila uchaguzi hamyaoni ya kutuulia ndugu zetu na kunajisi watu au damu ya muislamu ni maji tu kwenu mnamwaga mtakavyo ??
Akakoke moto wake huko, wao mpaka ufipani huko wanalima vitunguu wenyeji wala hawana shida nao ila wao wakute huko utazani walishuka nayo kutoka mbinguniHuu muungano kila siku ninauombea mabaya uvunjike tuu kila mmoja achukue mbao zake[emoji124][emoji124][emoji124]
Kasome history ndiyo utaelewa vizuri!Ukristo uliletwa na wareno na hakuna mzanzibari yeyote aliingia dini hiyo ? kanisa lilijengwa baada ya kuja wahamiaji na kuombwa kiwanja ambacho walipewa na mfalme.
hakuna Mzanzibari halisi mkristo, usilete uda hapa , mnatumia mabavu kuueneza ukristo.
Yule imani petro alipojaribu kuwahubiria na kuwasilimisha wakristo , haraka polisi ikaleta helicopter na kumpeleka Morogoro ambako hata sio kwao.
Serikali ni yenu na mnalalamika au mirija inaanza kukatwa mnaropokwa ovyo ??
Kwa nondo hizi sijui kama hawakumuua huyu. ALLAHU Yaalam.Of course Mimi ni punguani , ukweli
Unachoma
Ałlah ndiye mjuziKwa nondo hizi sijui kama hawakumuua huyu. ALLAHU Yaalam.
Unataka nikasome historia ya Kanisa?Kasome history ndiyo utaelewa vizuri!
Si mlituvamia wenyewe? Si kila nchi ilikuwa huru?Akakoke moto wake huko, wao mpaka ufipani huko wanalima vitunguu wenyeji wala hawana shida nao ila wao wakute huko utazani walishuka nayo kutoka mbinguni
Toa nyongo yote ukimaliza tuliza pembeni.
Mada ipo wazi ila mwenzetu ulikuwa unatafuta sehemu ya kuitolea 🤗
Huna unachojua kazi kuwaongopea machogo wenzako wa dot.comMkuu kwa wale wa Zamani kidogo wataelewa
Kulikuwa na sharti la kwenda Zanzibar kwa Passport miaka ya 80 kurudi Nyuma.
Watu wakahoji kwanini Mzanzibar aje bara kama Mtanzania na Mtanganyika aende Zanzibar kama mgeni.
Watanganyika wakasema hakuna shida, Wazanzibar waje kwa passport pia
Kilichotokea , Wazanzibar wakaondoa sharti hilo usiku mmoja.
Kwa hili la ardhi ni sawa na la passport. Wazanzibar wanalinda ardhi yao kwa uchungu na upendo sana , Watanganyika hawapaswi kulalamika. Ni haki ya Zanzibar kulinda nchi yao
Watanganyika wanapaswa kulinda nchi yao pia na kwa hili ardhi Wazanzibar wawe wageni.
Hakuna mzanzibar kupewa ardhi bara, wawe sawa na Wakenya ,Waganda au Warundi.
Na wale wenye ardhi wanyang'anywe!
Msiwalaumu Wazanzibar , mjilaumu ninyi mlioacha kila kitu kwao . Si ardhi tu hata rasilimali zenu
JokaKuu Ngongo
Hapana! Wazanzibar wana haki ya kuwaona Watanganyika sawa na Wa Nigeria , Kenya au WarusiHayati Karume aligawa heka 3 kwa kila familia ya Zanzibar ...unataka kila mbara mwenye uwezo wa kununua hata heka 1000 aruhusiwe tu ?!!! huh 😲🤣
Kwani G55 na OIC wanahusiana vipi?Huna unachojua kazi kuwaongopea machogo wenzako wa dot.com
Hiyo inayoitwa passport iliondolewa mwaka 1993 baada ya mtifuano wa kadhia ya OIC.
Rais wa Zanzibar wa wakati huo Dr.Salmin Amour alisema wazi kwenye hutoba yake kwamba wamekubali kuondoa hiyo kero ya Muungano pamoja na kujitoa kwenye OIC na kabla ya hapo kukubali kuanzisha vyama vingi kwa sababu ya kulinda Muungano.
Kero moja aliikataa wazi na hadharani ya kutakiwa kukubali Muungano wa Serikali 2 kuelekea 1 alisema hiyo labda waje watawale miti.
OIC ilijitoa kwa makubaliano kwamba Tanzania ndio ijiunge kwa sababu kikatiba Zanzibar haikuwa na sifa.
Hiyo kusema ukienda Zanzibar ilikuwa ni lazima kwa passport ila ukija Bara silazima ni uzushi uliotungwa sijui kwa maslahi ya nani.
Ukweli ni kwamba ilikuwa ukienda Zanzibar huku Bara huulizwi chochote, ukifika kule Zanzibar unaulizwa hati/kibali cha kusafiria ( hakukuwa na ulazima wa passport hata barua ya mjumbe wa nyumba kumi inatosha na ndio walio wengi walikuwa wanatumia hizi kwa huku Bara, kule Zanzibar walikuwa wanatoka Uhamiaji Ni karatasi ya ukurasa mmoja yenye heading ya "HATI YA KUSAFIRIA" ilikuwa ina muda wa matumizi ya miezi kati ya 6 na mwaka (wenye kukumbuka vizuri wanaweza kunisahihisha) wenye kujiweza na passport ndio walikuwa wanatumia hizo passport). Na ukitoka Zanzibar unaulizwa tena ukifika Bara huulizwi. Na hii ilikuwa inawahusu wote uwe Mzanzibari, Mzanzibara au Mtanganyika. Aliekuwa kwenye ulazima wa passport ni mgeni ambae si Mtanzania na walikuwa wanashangaa sana inakuwaje nchi moja lakini ukifika Zanzibar unadaiwa tena passport.