Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Aanze kule kwao moshi mbona wageni hawamiliki ardhi Kwa ubinafsi anaropoka tu hao na wazanzibar akili zinafanana Wacha wamalizane .wachaga na wazanzibar hawataki watu wamiliki ardhi maeneo ya kwao
 
..Ni suala la demand vs supply.

..Sio suala la sera au mkakati rasmi wa serikali kunyima watu ardhi.

Cc Nguruvi3, Ngongo
Thank you, thank you , thank you
Mkuu, sijui watu wana reason kwa namna gani.

Naomba nifafanue, ukienda K.njaro au 'Moshi' hakuna sera ya ardhi ila demand na supply ndizo zita determine unapataje ardhi. Ukiweza kununua kiwanja cha Ndesamburo RIP utapata tu! pesa yako

Ukienda Zanzibar kitakachokukwaza ni sera, kwamba, hupati kwasababu wewe ni CHOGO

Nashukuru sana watu wameanza kutuelewa hadi Maaskofu.

Hili la Zanzibar tumelipigia sana kelele watu wakisema tuna chuki, tuliwaambia Watanganyika kuna ubaguzi mkubwa na kuna kuibeba Zanzibar kwa gharama Tanganyika

Mfano Watu wanalalamika bei ya mafuta Bara ni kubwa kuliko Zanzibar kwasababu ya kodi na tozo. Ni kweli, Zanzibar hawana kodi wala tozo kwasababu hawana sababu za kuwa nazo

Tanganyika tunalipa 4.5% ya pato Zanzibar eti ni washirika wa BoT.
Tanganyika tunalipia wizara zote za muungano na Taasisi zake

Taarifa ya CAG inaonyesha kwa mwaka Zbar wamekusanya Bilioni 200, yaani hata robo ya Trilion hawajafika.

Kiasi hicho wakitoa chote hakiwezi kuendesha IDARA moja ya Wizara ya Ulinzi kwa mwezi au Wizara ya ndani au ya nje.

Jiulize pia mapato yao ni less than 0.5T bajeti yao ni takribani 1.4T tofauti ya Bilioni 900 inatoka wapi kama si Tanganyika. Kumbuka mikopo ni zigo la Tanganyika

Zanzibar mafuta yakiuza lita Tshs 1000 ni sawa kabisa hawana wajibu wowote, wanachota kutoka hazina Dar es Salaam ndio maana tuna kodi za gharama zetu na za Zanzibar.
 
Tunatumia mipaka iliyowekwa na wakoloni so acha kutuletea historia za alinacha eti kigamboni ilikuwa zanzibar! Ko tuchore mipaka upya?
Mkolon ndio aliechora na kugawa alipofika zanzibar akaoneshwa kua mipaka yao ilienda mpaka eneo lote la kigambon akatumia ubabe kwa kujigawia sababu pwan yote ilikua chin ya mwarabu mjeruman akachora kiroho mbaya akala kigambon ya wapemba yote kwa maslai yake
 
Hilo swala la 1780 mimi na wewe hatukuwepo wala hatuna ushahidi wa hilo swala. hesabu za kawaida kama walikua ni wenyeji toka 1780 - 2022 ilitakiwa wawe wengi kigamboni lakini mambo ni kinyume. waendelee kula tende huko pemba na unguja huku bara ni kwetu sisi asijetokea mpuuzi hata mmoja kuleta hoja mfu kua baadhi ya sehemu za bara ni mali ya Zanzibar hilo swala halipo. Kuhusu kuchimba mafuta wakitaka wachimbe kwani bara tuna rasilimali mara milioni kuzidi huko visiwani na kubwa zaidi kwapamoja hatuna ujuzi wa kuchimba mafuta na wakileta upuuzi watakuta mafuta ni ya bara.
Mafuta wanataka kuchimba bara wanawakataza
 
Thank you, thank you , thank you
Mkuu, sijui watu wana reason kwa namna gani.

Naomba nifafanue, ukienda K.njaro au 'Moshi' hakuna sera ya ardhi ila demand na supply ndizo zita determine unapataje ardhi. Ukiweza kununua kiwanja cha Ndesamburo RIP utapata tu! pesa yako

Ukienda Zanzibar kitakachokukwaza ni sera, kwamba, hupati kwasababu wewe ni CHOGO

Nashukuru sana watu wameanza kutuelewa hadi Maaskofu.

Hili la Zanzibar tumelipigia sana kelele watu wakisema tuna chuki, tuliwaambia Watanganyika kuna ubaguzi mkubwa na kuna kuibeba Zanzibar kwa gharama Tanganyika

Mfano Watu wanalalamika bei ya mafuta Bara ni kubwa kuliko Zanzibar kwasababu ya kodi na tozo. Ni kweli, Zanzibar hawana kodi wala tozo kwasababu hawana sababu za kuwa nazo

Tanganyika tunalipa 4.5% ya pato Zanzibar eti ni washirika wa BoT.
Tanganyika tunalipia wizara zote za muungano na Taasisi zake

Taarifa ya CAG inaonyesha kwa mwaka Zbar wamekusanya Bilioni 200, yaani hata robo ya Trilion hawajafika.

Kiasi hicho wakitoa chote hakiwezi kuendesha IDARA moja ya Wizara ya Ulinzi kwa mwezi au Wizara ya ndani au ya nje.

Jiulize pia mapato yao ni less than 0.5T bajeti yao ni takribani 1.4T tofauti ya Bilioni 900 inatoka wapi kama si Tanganyika. Kumbuka mikopo ni zigo la Tanganyika

Zanzibar mafuta yakiuza lita Tshs 1000 ni sawa kabisa hawana wajibu wowote, wanachota kutoka hazina Dar es Salaam ndio maana tuna kodi za gharama zetu na za Zanzibar.

Tatizo ni kuwa huu si muungano ni uvamizi,
 
Mimi siwezi kuchangia kwa sababu amesema ukweli kuwa Mtanganyika ukiwa Zanzibari hutambuliwa kama mgeni kutoka nje ya nchi (zamani ilikuwa ni lazima uwe na passport) ila mzenji akija Tanganyika anajulikana kuwa ni Mtanzania mwenzetu.

Ni mkweli kuwa wakristu Zanzibar huonekama kama ni mashetani ingawa siyo kwa wazi wazi sana, lakini swala la utanganyika na Uzanzibari liko wazi sana.
Mkuu kwa wale wa Zamani kidogo wataelewa

Kulikuwa na sharti la kwenda Zanzibar kwa Passport miaka ya 80 kurudi Nyuma.

Watu wakahoji kwanini Mzanzibar aje bara kama Mtanzania na Mtanganyika aende Zanzibar kama mgeni.

Watanganyika wakasema hakuna shida, Wazanzibar waje kwa passport pia

Kilichotokea , Wazanzibar wakaondoa sharti hilo usiku mmoja.

Kwa hili la ardhi ni sawa na la passport. Wazanzibar wanalinda ardhi yao kwa uchungu na upendo sana , Watanganyika hawapaswi kulalamika. Ni haki ya Zanzibar kulinda nchi yao

Watanganyika wanapaswa kulinda nchi yao pia na kwa hili ardhi Wazanzibar wawe wageni.

Hakuna mzanzibar kupewa ardhi bara, wawe sawa na Wakenya ,Waganda au Warundi.
Na wale wenye ardhi wanyang'anywe!

Msiwalaumu Wazanzibar , mjilaumu ninyi mlioacha kila kitu kwao . Si ardhi tu hata rasilimali zenu

JokaKuu Ngongo
 
Makanisa au taasisi yoyote hata msikiti kupewa/kununua ardhi kubwa inategemea na maono ya wanataasisi. Makanisa hasa ya madhehebu makubwa kama Catholic na Lutheran wananunua maeneo makubwa kwa ajili ya kujenga makanisa, shule, vyuo, zahanati, maduka n.k kwenye eneo moja.

Wapo pia waislamu wananunua maeneo makubwa na kuweka mskiti, madrasa, zahanati mfano hapo mikumi.
Na sidhani kama ardhi ya Zanzibar ni ndogo kwamba makanisa yakinunua ardhi basi inaisha.

Tatizo kubwa ni uvamizi wa Tanganyika
 
Mkuu kwa wale wa Zamani kidogo wataelewa

Kulikuwa na sharti la kwenda Zanzibar kwa Passport miaka ya 80 kurudi Nyuma.
Watu wakahoji kwanini Mzanzibar aje bara kama Mtanzania na Mtanganyika aende Zanzibar kama mgeni. Watanganyika wakasema hakuna shida, Wazanzibar waje kwa passport pia
Kilichotokea Wazanzibar wakaondoa sharti hilo usiku mmoja.

Kwa hili la ardhi ni sawa na la passport. Kwavile Wazanzibar wanalinda ardhi yao kwa uchungu na upendo sana , Watanaganyika hawapaswi kulalamika. Ni haki ya Zanzibar kulinda nchi yao

Watanganyika wanapaswa kulinda nchi yao pia na kwa hili ardhi Wazanzibar wawe wageni.
Hakuna mzanzibar kupewa ardhi bara, wawe sawa na Wakenya ,Waganda au Warundi.

Msiwalaumu Wazanzibar , mjilaumu ninyi mlioacha kila kitu kwao . Si ardhi tu hata rasilimali zenu

JokaKuu Ngongo

Umesahau, hata sisi tukija bara kwa passport tukiziita passport Za Mchele . Nyerere mvamizi ndiye aliziondosha kwani ZNZ haina immigration toka siku ilipovamiwa.
 
Mtoto mdogo weewe kaa kimya! unakumbuka G55
 
Ukiwa bara na hujawahi kufika zanzibar unawwza kufikiri zanzibar ni padogo ila ni kubwa sana na yenye mapori mengi na makubwa
 
Makanisa au taasisi yoyote hata msikiti kupewa/kununua ardhi kubwa inategemea na maono ya wanataasisi. Makanisa hasa ya madhehebu makubwa kama Catholic na Lutheran wananunua maeneo makubwa kwa ajili ya kujenga makanisa, shule, vyuo, zahanati, maduka n.k kwenye eneo moja.

Wapo pia waislamu wananunua maeneo makubwa na kuweka mskiti, madrasa, zahanati mfano hapo mikumi.
Na sidhani kama ardhi ya Zanzibar ni ndogo kwamba makanisa yakinunua ardhi basi inaisha.
Sawa....

Kwa udogo wa ardhi ya Zanzibar...ikitokea misikiti 10 inataka kupewa ardhi heka 30 tu basi ujue litakuwa ni tatizo.....

Hivi ni ardhi hiyohiyo ya Zanzibar ama ni nyingine ambayo hayati mh.Karume aligawa heka 2 kwa kila familia?!!!
 
Aligawa mashamba ya watu ekari tatu Na imekuwa ni laana , dhulma haidumu inaangamiza
 
Na sidhani kama ardhi ya Zanzibar ni ndogo kwamba makanisa yakinunua ardhi basi inaisha.

Kuna hoja watu wanachanganya.

JokaKuu kasema ni suala la 'demand and supply''. Ukienda mkoa wa Kilimanjaro ardhi ni finyu na ugomvi wa ardhi katika mkoa huo ni wa karne. Hata hivyo, ukitaka ardhi utapata hakuna sera, sheria, kanuni au chochote kinachozuia mtu kupata.

Zanzibar wanaposema ardhi yao ni ndogo pengine wanahoja lakini pia majuzi wameuza kwa wawekezaji wa kiarabu , udogo upo wapi? Kwamba Mtanganyika akitaka ndipo kuna udogo

Kinachokera ni mambo mawili
Kwamba hiyo ni sera tena ikiwabagua ''specific' Tanganyika. Rais wa Zbar kahutubia na kuandika tweet akilenga Tanganyika bila kujali hii ni nchi moja.

Hakuzungumzia Kenya au Uganda, alilenga Tanganyika. Hili linaudhi na kukera sana

Pili, ikiwa hiyo ni sera basi kuwe na sera kama hiyo Tanganyika pia.

Haiwezekani Wazanzibar wakawa Watanzania penye mafao halafu wakawa nchi tofauti wanapohitaji kuwajibika.

Tatizo ni kufanya suala la ardhi SERA ya kuwalenga Watanganyika wasinunue wakati wao wana mapande huku bara.

Zanzibar wana haki ya SERA hiyo , ni wakati sasa Tanganyika walinde masilahi yao, wazuei Mzanzibar kumiliki ardhi na waliomiliki wanyang'anywe haraka na wapewe kama Wageni
 
Sawa....

Kwa udogo wa ardhi ya Zanzibar...ikitokea misikiti 10 inataka kupewa ardhi heka 30 tu basi ujue litakuwa ni tatizo.....

Hivi ni ardhi hiyohiyo ya Zanzibar ama ni nyingine ambayo hayati mh.Karume aligawa heka 2 kwa kila familia?!!!
Zanzibar hawana udogo wa ardhi, majuzi wameuza visiwa kwa wawekezaji !
 
Kuna hoja watu wanachanganya.

JokaKuu kasema ni suala la 'demand and supply''. Ukienda mkoa wa Kilimanjaro ardhi ni finyu na ugomvi wa ardhi katika mkoa huo ni wa karne. Hata hivyo, ukitaka ardhi utapata hakuna sera, sheria, kanuni au chochote kinachozuia mtu kupata.

Zanzibar wanaposema ardhi yao ni ndogo pengine wanahoja lakini pia majuzi wameuza kwa wawekezaji wa kiarabu , udogo upo wapi? Kwamba Mtanganyika akitaka ndipo kuna udogo

Kinachokera ni mambo mawili
Kwamba hiyo ni sera tena ikiwabagua ''specific' Tanganyika. Rais wa Zbar kahutubia na kuandika tweet akilenga Tanganyika bila kujali hii ni nchi moja.

Hakuzungumzia Kenya au Uganda, alilenga Tanganyika. Hili linaudhi na kukera sana

Pili, ikiwa hiyo ni sera basi kuwe na sera kama hiyo Tanganyika pia.

Haiwezekani Wazanzibar wakawa Watanzania penye mafao halafu wakawa nchi tofauti wanapohitaji kuwajibika.

Tatizo ni kufanya suala la ardhi SERA ya kuwalenga Watanganyika wasinunue wakati wao wana mapande huku bara.

Zanzibar wana haki ya SERA hiyo , ni wakati sasa Tanganyika walinde masilahi yao, wazuei Mzanzibar kumiliki ardhi na waliomiliki wanyang'anywe haraka na wapewe kama Wageni

Tatizo amewataja waTanganyika kwa sababu ndio chanzo cha matatizo ZNZ toka siku waliyoivamia
 
Back
Top Bottom