MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Kwani Zanzibar nchi ya kiislam? Ifanyeni nchi ya kiislam tujue moja.Ndivyo ulivyoambiwa Kanisani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Zanzibar nchi ya kiislam? Ifanyeni nchi ya kiislam tujue moja.Ndivyo ulivyoambiwa Kanisani?
Hamna kwanza Zanzibar wote wakuja hakuna mzaliwa wa asili wa asili kutokea Zanzibar ndo unataka kusema hakuna wakristo wazawa. Wapo wengi wana ardhi Nawamejenga.Maeka hayo ni ya ngawira walipewa Na wavamizi
Kuna mtu anapenda kuishi kisiwani kwa nini asiruhusiwe. Zenj ikijaa si bara ipo? Mbona Kilimanjaro imejaa laini Wachagga wametapakaa TZ nzima? Mbona ardhi ya mifugo imeisha Usukumani, lakini Wasukuma sasa wako LIndi, Songea, Mtwara, Rukwa n.k. na makundi yao makubwa ya ng'ombe. Wamasai nao sasa wako kila kona. Zanzibar ikijaa Wazanzibar wanakaribishwa bara, na tayari wako maelfu tu huku bara. Wao wakibaguwa wakubali kubaguliwa. Kumbuka serkali hubadilika na mawazo ya watu kubadilika, kuna siku labda muungano utaterereka, mjue wakati huo Bara itakuwa shubiri wa Wazanzibar waliyo huko. Ni bora tuanze siasa za give and take na siyo take only.Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Kwanza tuwacheni tupumuwe, mambo ya kidini wananchi wenyewe wataamuaKwani Zanzibar nchi ya kiislam? Ifanyeni nchi ya kiislam tujue moja.
Hakuna cha shubiri wala sukari , mbona tunapotaka kuamua hatimar yetu mnatuletea vifaru Na kuuwa watu?Kuna mtu anapenda kuishi kisiwani kwa nini asiruhusiwe. Zenj ikijaa si bara ipo? Mbona Kilimanjaro imejaa laini Wachagga wametapakaa TZ nzima? Mbona ardhi ya mifugo imeisha Usukumani, lakini Wasukuma sasa wako LIndi, Songea, Mtwara, Rukwa n.k. na makundi yao makubwa ya ng'ombe. Wamasai nao sasa wako kila kona. Zanzibar ikijaa Wazanzibar wanakaribishwa bara, na tayari wako maelfu tu huku bara. Wao wakibaguwa wakubali kubaguliwa. Kumbuka serkali hubadilika na mawazo ya watu kubadilika, kuna siku labda muungano utaterereka, mjue wakati huo Bara itakuwa shubiri wa Wazanzibar waliyo huko. Ni bora tuanze siasa za give and take na siyo take only.
Hamna kwanza Zanzibar wote wakuja hakuna mzaliwa wa asili wa asili kutokea Zanzibar ndo unataka kusema hakuna wakristo wazawa. Wapo wengi wana ardhi Nawamejenga.
Zanzibar ni nchi si mkoaKuna mtu anapenda kuishi kisiwani kwa nini asiruhusiwe. Zenj ikijaa si bara ipo? Mbona Kilimanjaro imejaa laini Wachagga wametapakaa TZ nzima? Mbona ardhi ya mifugo imeisha Usukumani, lakini Wasukuma sasa wako LIndi, Songea, Mtwara, Rukwa n.k. na makundi yao makubwa ya ng'ombe. Wamasai nao sasa wako kila kona. Zanzibar ikijaa Wazanzibar wanakaribishwa bara, na tayari wako maelfu tu huku bara. Wao wakibaguwa wakubali kubaguliwa. Kumbuka serkali hubadilika na mawazo ya watu kubadilika, kuna siku labda muungano utaterereka, mjue wakati huo Bara itakuwa shubiri wa Wazanzibar waliyo huko. Ni bora tuanze siasa za give and take na siyo take only.
Vishaliwa Sana na vinaendelea kuliwa,Uhuru wetu umeliwa Sana na Uhuru si Jambo dogoukikubali kula vya wengine na wewe kubali kuliwa vyako (hata kama ni kidogo)
Kwa hiyo unataka hiyo misikiti na makanisa yapewe heka 30 yakajenge huko katika hivyo visiwa vidogodogo vya watalii ?!!!😲😲🤣🤣Zanzibar hawana udogo wa ardhi, majuzi wameuza visiwa kwa wawekezaji !
Ooohoo laana ipi mkuu wangu ?!!Aligawa mashamba ya watu ekari tatu Na imekuwa ni laana , dhulma haidumu inaangamiza
Ooohoo laana ipi mkuu wangu ?!!
Missed a pointKwa hiyo unataka hiyo misikiti na makanisa yapewe heka 30 yakajenge huko katika hivyo visiwa vidogodogo vya watalii ?!!!😲😲🤣🤣
Tanganyika IPO imepoa na koti lake jipya wanaloliita Tanzania
Kwa hiyo huku ni Tanzania halafu kule ni Zanzibar?
Wala hatutoelewa....Missed a point
Siongelei makanisa naongelea kauli ya '' Watanganyika kuwa target' na kufanywa wageni
Sina tatizo na Zanzibar kuuza visiwa au kukataa Machogo yasimiliki ardhi
Nina tatizo na Watanganyika wanaoshindwa kufanya kama Zanzibar.
Hawa wawe wageni kama tulivyo wageni kwao, wapewe ardhi kama Kenya au Uganda.
Wanaomiliki wafanyiwe tathmini tena kama Wageni.
Unachokiona na hasira za Watanganyika kuanza kutoka vifuani! ipo siku mtaelewa
Sawa....
Kwa udogo wa ardhi ya Zanzibar...ikitokea misikiti 10 inataka kupewa ardhi heka 30 tu basi ujue litakuwa ni tatizo.....
Hivi ni ardhi hiyohiyo ya Zanzibar ama ni nyingine ambayo hayati mh.Karume aligawa heka 2 kwa kila familia?!!!
Aligawa mashamba ya watu ekari tatu Na imekuwa ni laana , dhulma haidumu inaangamiza
Karume hakuwa mbaguzi....Mkuu Masihihisho kidogo, Karume hakugawa heka 2 kwa kila familia, Bali aligawa hizo heka kwa kila familia ya wana ASP (CCM)
Kioo cha nini na uharo wako upo hapa!Nenda katazame kioo,utamuona mjinga,nakuhakikishia hutoniona mimi