Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Maeka hayo ni ya ngawira walipewa Na wavamizi
Hamna kwanza Zanzibar wote wakuja hakuna mzaliwa wa asili wa asili kutokea Zanzibar ndo unataka kusema hakuna wakristo wazawa. Wapo wengi wana ardhi Nawamejenga.
 
Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Kuna mtu anapenda kuishi kisiwani kwa nini asiruhusiwe. Zenj ikijaa si bara ipo? Mbona Kilimanjaro imejaa laini Wachagga wametapakaa TZ nzima? Mbona ardhi ya mifugo imeisha Usukumani, lakini Wasukuma sasa wako LIndi, Songea, Mtwara, Rukwa n.k. na makundi yao makubwa ya ng'ombe. Wamasai nao sasa wako kila kona. Zanzibar ikijaa Wazanzibar wanakaribishwa bara, na tayari wako maelfu tu huku bara. Wao wakibaguwa wakubali kubaguliwa. Kumbuka serkali hubadilika na mawazo ya watu kubadilika, kuna siku labda muungano utaterereka, mjue wakati huo Bara itakuwa shubiri wa Wazanzibar waliyo huko. Ni bora tuanze siasa za give and take na siyo take only.
 
Hakuna cha shubiri wala sukari , mbona tunapotaka kuamua hatimar yetu mnatuletea vifaru Na kuuwa watu?
 
Hamna kwanza Zanzibar wote wakuja hakuna mzaliwa wa asili wa asili kutokea Zanzibar ndo unataka kusema hakuna wakristo wazawa. Wapo wengi wana ardhi Nawamejenga.

Labda mkristo wewe , niambie mmakunduchi au mkojani au mtumbatu gani ni mkristo??
 
Kuna mtu anapenda kuishi kisiwani kwa nini asiruhusiwe. Zenj ikijaa si bara ipo? Mbona Kilimanjaro imejaa laini Wachagga wametapakaa TZ nzima? Mbona ardhi ya mifugo imeisha Usukumani, lakini Wasukuma sasa wako LIndi, Songea, Mtwara, Rukwa n.k. na makundi yao makubwa ya ng'ombe. Wamasai nao sasa wako kila kona. Zanzibar ikijaa Wazanzibar wanakaribishwa bara, na tayari wako maelfu tu huku bara. Wao wakibaguwa wakubali kubaguliwa. Kumbuka serkali hubadilika na mawazo ya watu kubadilika, kuna siku labda muungano utaterereka, mjue wakati huo Bara itakuwa shubiri wa Wazanzibar waliyo huko. Ni bora tuanze siasa za give and take na siyo take only.
Zanzibar ni nchi si mkoa
 
Zanzibar hawana udogo wa ardhi, majuzi wameuza visiwa kwa wawekezaji !
Kwa hiyo unataka hiyo misikiti na makanisa yapewe heka 30 yakajenge huko katika hivyo visiwa vidogodogo vya watalii ?!!!😲😲🤣🤣
 
Ooohoo laana ipi mkuu wangu ?!!

Laana kwani kila mtu anaitaka mpaka Mtanganyika

Leo maeneo ya mikarafuu imekatwa Pato la nchi limeondoka, minazi ndiyo usiseme Zanzibar ikisafirisha mafuta ya nazi , mbata na kamba Za usumba vyote vimeenda arijijo. Nazi Leo inatoka Tanganyika,? mpaka mihogo ?
 
Nyie Watanganyika mmeanza kuwehuka, huu muungano ulikuwa mzuri wakati Magu yupo kitini sasa Mungu kafanya yake mnaanza matusi .

Watanganyika ndio mliokuwa mnawaona wazanzibari wamechanganyikiwa wanapodai kutokukubali aina hii ya Muungano, hivi sasa nyinyi ndio mualalamikie wao kuwa wanawabagua.

Wazanzibari hawajapata kukubali kuungana na Tanganyika tangu hapo kabla. Kinachofanyika ni siasa za uchama na ufisadi wa kikundi cha wanasiasa mahasidi ndio wanaosababisha yote haya kutokea.

Kama mna hamu na kuuvunja muungano huu, wakataeni kwa makusudi na wala msisubiri kura, wakataeni kuwa hamtaki kufanyiwa maamuzi nao, kataeni siasa za kijinga zinazoanzisha chuki na kuwapata watu kama lukuvi na Gwajima, ambao wanahamasisha ubaguzi wa wazi zidi ya imani za watu. Wazanzibari hawakuanza wao, mamwehu wenzenu ndio walioanza haya na ndio maana wao wanalipiza. NYANI HAONI KUNDULE.

TANGANYIKA kwa jina la Jamhuri ya muungano wa TANZANIA kila siku inakataa kata kata kukubali baadhi ya mambo katika Mtangamano wa kikanda wa Afrika Mashariki. Mlikat\ kuhusu ardhi, mlikataa kuhusu viza ya pamoja ya utalii, mnakataa kuhusu Political federation pamoja na mambo kadhaa wa kadhaa ambayo nchi wanachama wengine kama Kenya na Uganda wanawaona ni kikwazo wa kufanikisha kupiga hatua nyengine mbele hadi nao wanaanza kuanzisha makubaliano baina yao ‘coalition of the willing (CoW)’ yaliyojumuisha Kenya, Rwanda na Uganda. Haya yote yametokea kwa sababu Tanganyika haikukubali na haitakubali kukubaliana na nchi wanachama wengine kuruhusu wasichokitaka kiwe cha wote. KWAHIYO ZANZIBAR KUKATAA MNACHOHITAJI SIO VIBAYA WALA SIO DHAMBI kama mnavyojitia hamanazo kuwasema vibaya na kuwapa majina mabaya na sifa zisizowahusu kwa kuwa hawataki kutangamana na watanganyika katika baadhi ya mambo. MUWE NA ADABU MAHASIDI WAKUBWA.

China juu ya kuwa na UTAWALA MMOJA na Hongkong, Makao pamoja na Taiwan lakini bado hawaachiwi wachina kutoka Bara kuingia tuu katika visiwa hivi watakavyo. Kuna utaratibu maalum wa kuingia kule visiwani kwa wachina kutoka bara. Watanganyika nyinyi mmeachiwa mnaingia mpaka kwa majahazi Mkokotoni kule, hamdaiwi hata passport na hii ni mara baada ya yule mkavirondo mwenzenu kuwapa nafasi hiyo.

Watanganyika mnazidi sifa na mnaona ni haki yenu kumiliki mkitakacho visiwani zanzibar kisa MUUNGANO. kwahilo msahau.

Askofu wenu atasema mpaka apapuke, na hata itokee serikali kuwapa hicho mtakacho wazanzibari wenyewe ndio wenye kuishi zanzibar hawatawaachia muvuruge muamala wao wa maisha kisa muungano na mtangamano wa kisiasa. Wazanzibari wananamna nyingi za kuwakataa na kukataa fitna zenu mnazozipanga na kuzitekeleza.

Hamshangai, mumeenza miaka mingi kutekeleza mipango na mikakati ya kuiritadisha zanzibar. Kaani kitaalam mujaribu kupitie na kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati yenu. Linganisheni na rasilimali mnazozitumia, halafu jiulizeni je mmefanikiwa kwa kiasi gani.

Mnatumia nguvu nyingi na muda kudhoofisha watu ambao vuchwani mwao wanahangaika na kujitafutia rizki za halali wala hawana vita na nyinyi. Wazanzibari waliowengi wanaishi vyema bila ya kuwabagua watanganyika, iwe wakristu au waislamu. Ubaguzi unatokea na unaanza mara tuu baada ya nyinyi kuanza kuwatendea wasioyataka na kuyakubali, na jamii yoyote duniani ina mila na desturi zake. Ukiifanyia kinyume na matakwa yake itakubagua tuu kwasababu haikubali kufuata mnachowaingizia.

Mitaani wazanzibari wanaishi na wakristu vyema tuu, na hususan wakristu wetu waliozaliwa mkunazini, mbuzini, kwerekwe tunafahamiana lugha, tabia, utani na mengine mingi ila tunatofautiana imani. Tunaamiliana kwenye matendo kama biashara, Misibani, makazini na kwengineko. Nyinyi wakristu wakuletwa mje mjaze uwanja wa Aman kama juzi siku ya maazimisho na kuja kubadilisha mtazamo wa ukristu Zanzibar kwa wanaowapa misaada ya kiutu na kiimani kutoka makanisa ya ulaya, Amerika na Korea abadan hamtafahamu sura na mtazamo wa Wazanzibari dhidi ya ukristu katika iman zao. Mnachowafanyia ndio watakachokufanyieni.

HAMTAACHIWA MUVURUGE MTAKAVYO KWA SABABU ZA UTANZANIA NA MUUNGANO.

KILA JAMII INA TABIA, MILA NA DESTURI ZAKE, HATA IKIWA TUTAFANANA LUGHA NA IMANI, BADO TUTATOFAUTIANI MAADILI, MITAZAMO NA MENGINE MINGI.

NIMEELEZA FIKRA ZANGU BAADA YA KUSOMA FIKRA ZENU, NITAENDELEA KUSOMA FIKRA ZA WENGINE BILA YA CHUKI NA HASIRA. NILIPOTUMIA LUGHA ISIOPENDEZA MTANISAMEHE.

......... ILA HII NDIO DAWA YA NONGWA ZENU.
 
Kwa hiyo unataka hiyo misikiti na makanisa yapewe heka 30 yakajenge huko katika hivyo visiwa vidogodogo vya watalii ?!!!😲😲🤣🤣
Missed a point

Siongelei makanisa naongelea kauli ya '' Watanganyika kuwa target' na kufanywa wageni
Sina tatizo na Zanzibar kuuza visiwa au kukataa Machogo yasimiliki ardhi

Nina tatizo na Watanganyika wanaoshindwa kufanya kama Zanzibar.
Hawa wawe wageni kama tulivyo wageni kwao, wapewe ardhi kama Kenya au Uganda.
Wanaomiliki wafanyiwe tathmini tena kama Wageni.

Unachokiona na hasira za Watanganyika kuanza kutoka vifuani! ipo siku mtaelewa
 
Tanganyika IPO imepoa na koti lake jipya wanaloliita Tanzania

Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana, Bunge la Jamhuri ya Muungano wanasema ni lao, Serekali ya Muungano wanasema ni yao. Kwa kifupi wamejimilikisha Tanzania.
 
Missed a point

Siongelei makanisa naongelea kauli ya '' Watanganyika kuwa target' na kufanywa wageni
Sina tatizo na Zanzibar kuuza visiwa au kukataa Machogo yasimiliki ardhi

Nina tatizo na Watanganyika wanaoshindwa kufanya kama Zanzibar.
Hawa wawe wageni kama tulivyo wageni kwao, wapewe ardhi kama Kenya au Uganda.
Wanaomiliki wafanyiwe tathmini tena kama Wageni.

Unachokiona na hasira za Watanganyika kuanza kutoka vifuani! ipo siku mtaelewa
Wala hatutoelewa....

Kwani wewe hukusoma "commentaries" za hayati baba wa taifa juu ya muungano wetu wa kipekee?!!!!

Enheee aliogopa kuimeza Zanzibar.....marehemu halaumiwi na katu hatuwezi kumlaumu baba wa taifa.......

Hayati Karume aligawa heka 3 kwa kila familia ya Zanzibar ...unataka kila mbara mwenye uwezo wa kununua hata heka 1000 aruhusiwe tu ?!!! huh 😲🤣
 
Sawa....

Kwa udogo wa ardhi ya Zanzibar...ikitokea misikiti 10 inataka kupewa ardhi heka 30 tu basi ujue litakuwa ni tatizo.....

Hivi ni ardhi hiyohiyo ya Zanzibar ama ni nyingine ambayo hayati mh.Karume aligawa heka 2 kwa kila familia?!!!

Mkuu Masihihisho kidogo, Karume hakugawa heka 2 kwa kila familia, Bali aligawa hizo heka kwa kila familia ya wana ASP (CCM)
 
Mkuu Masihihisho kidogo, Karume hakugawa heka 2 kwa kila familia, Bali aligawa hizo heka kwa kila familia ya wana ASP (CCM)
Karume hakuwa mbaguzi....

Wote walioyakubali mapinduzi walipatiwa ardhi hizo......

#Mapinduzi Daima
 
Back
Top Bottom