hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike