imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mbona Migodi ni miaka 99?Ndo uumpe mtu miaka 100!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Migodi ni miaka 99?Ndo uumpe mtu miaka 100!!?
Anza wewe kutafuta mtu wa kukusaidia mkeo.Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Kufeli sio dhambiKama tumefeli, basi tumuombe msamaha muingereza kwa kuomba kujitawala kisha tumkabidhi nchi tena tumuombe atufundishe kujitawala. Tukiweza ndo aturudishie nchi yetu.
Haya kakipe iyo hatamu icho chama kingineAnza wewe kutafuta mtu wa kukusaidia mkeo.
Bandari haijatushinda, KAZI ya viongozi ni kuhakikisha mtandao wa wizi unaondoka, ufanisi unaongezeka,
Kama wameshindwa, chama kingine kipewe hatamu, kije na mikakati thabiti.
Sa100 must go.
Sio Bandari tu, hakuna Taasisi /Shirika la Umma linaloendeshwa kwa ufanisi bila magumashi.kushindwa kwa bandari ni uzuzu Wa viongozi Wa taifa hili
Dp world inamilikiwa tu na Dubai ila haimaanishi wafanyakazi wake ni Watu wa Dubai, humo ni muunganiko wa makampuni kibao yanayohusika na Bandari. Ina Talents za Dunia Nzima, Wahindi, Wazungu, Walatino etc.Kama tumefeli, basi tumuombe msamaha muingereza kwa kuomba kujitawala kisha tumkabidhi nchi tena tumuombe atufundishe kujitawala. Tukiweza ndo aturudishie nchi yetu.
ATUPISHE kwanza sa100.Haya kakipe iyo hatamu icho chama kingine
KabisaWabongo hapa haki ya mungu unatuonea, sie wabongo hatuteui wala kuajiri hao watu, walioko juu wenyewe kwa wenyewe ndio wanazingua. Hasira zinakuja wamejichagua wenyewe na mikono yao michafu sasa wanapambana wenyewe kwa wenyewe ndio ugomvi wenu ulipo.
Mpo nyie na wale sasa nyie mmeamua tukose wote na wale wa zamani hawataki mirija ikatike. Yote haya hayana manufaa kwa mtanzania mmojamoja zaidi ya magenge ya mafisadi.
Tumeshasema sana kuhusu Bandari, Mwendo Kasi, SGR na ATCL kwa tabia zenu za ulafi mnaenda kututwisha mideni mikubwa. Kwa mfano mihela yote iliyowekwa SGR ndio wameleta behewa 6 tu na tumeambiwa za ghorofa (mibugando) yaani nyie, lazima mkubari kushiba sasa mmeshashiba acheni na wengine waonyeshe ujuzi wao.
Some times tunatamani vita kichafuke tuwanyooshe wasio tusikia na kutudhiahaki.
Wageni wakija wanatupa ela ambayo Kwa sasa hatupati
Utendaji wote ni chini Yao, Ila mwisho wa mwezi wanatulipa ela yetu no matter wamepata hasara au faida
Sisi ela yetu Iko pale pale
Sijaona popote Hoja ya miaka 100, umeona wapi?Kwanini miaka 100 lkn
Kama dhana yako ni kuwa sisi hatuwezi kila kitu, unasema tumeshindwa kila kitu,tubinafsishe kila kinachoongozwa na sisi,alafu mwishowe tuone ofisi ya mwisho kubinafsishwa itakuwa ipi?Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Naunga ukono hoja kwa asilimia 💯Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Naunga ukono hoja kwa asilimia 💯
na naongeza tu stand zetu za mabasi hizi za kisasa zibinafsishwe zote au serikali ije na taasisi itayozisimamia zote.
tunatia aibu halmashauri zetu zinafail sana majengo ya thamani ya mabilioni yanaharibika kizembe kabisa.
Kama dhana yako ni kuwa sisi hatuwezi kila kitu, unasema tumeshindwa kila kitu,tubinafsishe kila kinachoongozwa na sisi,alafu mwishowe tuone ofisi ya mwisho kubinafsishwa itakuwa ipi?
Kushindwa kwa Wana CCM si kwa Watanzania wote....watupishe Akili kubwa iokoe Taifa letu...Ndugu yangu pale wote hatuwezi, tumeshindwa, tumefeli.
True & Well Said, tukimaliza hiyo ya Bandari twende TRA na hata wakipenda tutawapa hata Chama cha Walimu TanzaniaWandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari