Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

Anza wewe kutafuta mtu wa kukusaidia mkeo.

Bandari haijatushinda, KAZI ya viongozi ni kuhakikisha mtandao wa wizi unaondoka, ufanisi unaongezeka,

Kama wameshindwa, chama kingine kipewe hatamu, kije na mikakati thabiti.

Sa100 must go.
 
Haya kakipe iyo hatamu icho chama kingine
 
Kama tumefeli, basi tumuombe msamaha muingereza kwa kuomba kujitawala kisha tumkabidhi nchi tena tumuombe atufundishe kujitawala. Tukiweza ndo aturudishie nchi yetu.
Dp world inamilikiwa tu na Dubai ila haimaanishi wafanyakazi wake ni Watu wa Dubai, humo ni muunganiko wa makampuni kibao yanayohusika na Bandari. Ina Talents za Dunia Nzima, Wahindi, Wazungu, Walatino etc.

Wenzetu hawaangalii hayo mambo yenu ya Ki jamaa na uzalendo wa KINAFIKI, bali wanaoangalia uwezo wa mtu binafsi. Leo hii watu Wa Dubai wangesema Kampuni ni ya Dubai Na wasiajiriwe Wazungu na Wahindi pengine Dp world isingefika hapa lilipo.

Jamaa wana Track record ya kutosha, CV yao inajulikana na hawashindwi kitu, kama watu wapo serious waje, miaka 2 tu bandari ile Inabadilika mnasahau.
 
Kabisa
 
Kwanini miaka 100 lkn
Wageni wakija wanatupa ela ambayo Kwa sasa hatupati

Utendaji wote ni chini Yao, Ila mwisho wa mwezi wanatulipa ela yetu no matter wamepata hasara au faida

Sisi ela yetu Iko pale pale
 
Kama dhana yako ni kuwa sisi hatuwezi kila kitu, unasema tumeshindwa kila kitu,tubinafsishe kila kinachoongozwa na sisi,alafu mwishowe tuone ofisi ya mwisho kubinafsishwa itakuwa ipi?
 
Naunga ukono hoja kwa asilimia 💯

na naongeza tu stand zetu za mabasi hizi za kisasa zibinafsishwe zote au serikali ije na taasisi itayozisimamia zote.

tunatia aibu halmashauri zetu zinafail sana majengo ya thamani ya mabilioni yanaharibika kizembe kabisa.
 
Stendi za mwendokasi Leo tunalowa mvua kweli jamani?

Kuna mambo Sisi watanzania hatuwezi
 
Kama dhana yako ni kuwa sisi hatuwezi kila kitu, unasema tumeshindwa kila kitu,tubinafsishe kila kinachoongozwa na sisi,alafu mwishowe tuone ofisi ya mwisho kubinafsishwa itakuwa ipi?

Tuongee Kwa ukweli na uhalisia,

Sisi tuna mradi gani mkubwa ambao tumesimama Kwa manufaa?

Hatuwezi, hapo bandarini ni wizi Tu, scana kila siku mbovu, kila siku magari yapo pale hayaeleweki

Kila report ya CAG pale ni wizi Tu
 
True & Well Said, tukimaliza hiyo ya Bandari twende TRA na hata wakipenda tutawapa hata Chama cha Walimu Tanzania
 
True & Well Said, tukimaliza hiyo ya Bandari twende TRA na hata wakipenda tutawapa hata Chama cha Walimu Tanzania

We need help, Sisi hatuwezi, tumeshashindwa, lazima tukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…