Suala la bandari tuwape muda wabunge

Suala la bandari tuwape muda wabunge

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..

tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
 
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kuhusu bandari,nyingi ni tetesi.
 
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..

tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Suala zima la bandari kupewa kampuni ya Dubai ni vita ya kisiasa ya 2025 na sio suala jingine lolote. Wameanza kuparurana wakiutafuta urais wa miaka miwili ijayo.
 
Muda kiasi gani?

Wabunge

Wabunge Hawa wa CCM unazungumzia au wengine!? Maana hao ndio wanaotupeleka shimoni tu. Hakuna la Maana wanalofanya.
 
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..

tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Hakuna wabunge pale kila mmoja anavizia kukaa kimya ili mwaka 2025 jina lake liteuliwe akipinga tu hata kwa sababu zenye mashiko na kuzingatia maslahi ya taifa atafyekelewa mbali....ccm na serikali yake ni wabaya sana
 
Suala zima la bandari kupewa kampuni ya Dubai ni vita ya kisiasa ya 2025 na sio suala jingine lolote. Wameanza kuparurana wakiutafuta urais wa miaka miwili ijayo.
Bandari ni zaidi ya Urais Bwashee!

Kuwa Rais kwenye Dunia ya sasa ni Mateso wala siyo Fahari

Hapo Kenya mke wa Ruto macho yamevimba kwa kukesha na kuomba

Sasa watamani Urais wa Bongo wote wameolea Machame hadi Dr Kigwa, patamu hapo!
 
Eti mke wa Ruto kafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada hv unadhani bunge letu ni team fulani maalum sana eeh
Nakuhakikishia huku mtaani kuna wajuvi wa mambo kuliko hao jamaa...wale wametuzidi kuvaa suti tuu!.
 
Bandari ni zaidi ya Urais Bwashee!

Kuwa Rais kwenye Dunia ya sasa ni Mateso wala siyo Fahari

Hapo Kenya mke wa Ruto macho yamevimba kwa kukesha na kuomba

Sasa watamani Urais wa Bongo wote wameolea Machame hadi Dr Kigwa, patamu hapo!
Hizi siasa za bandari zinatoka sehemu moja na zile za kudai ndege ya mazigo imeharibika wakati ilikuwa hata haijafika nchini!.

Hivi sasa Mkurugenzi wa mamlaka ya anga yupo Ujerumani akiwafungulia kesi hawa waliotaka kutuchafua, ni siasa zile zile kama za wote wenye nia ya kuwania urais 2025.
 
Back
Top Bottom