Suala zima la bandari kupewa kampuni ya Dubai ni vita ya kisiasa ya 2025 na sio suala jingine lolote. Wameanza kuparurana wakiutafuta urais wa miaka miwili ijayo.Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..
tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..
tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Wabunge Hawa wa CCM unazungumzia au wengine!? Maana hao ndio wanaotupeleka shimoni tu. Hakuna la Maana wanalofanya.Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..
tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Hakuna wabunge pale kila mmoja anavizia kukaa kimya ili mwaka 2025 jina lake liteuliwe akipinga tu hata kwa sababu zenye mashiko na kuzingatia maslahi ya taifa atafyekelewa mbali....ccm na serikali yake ni wabaya sanaSuala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu..
tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
Bandari ni zaidi ya Urais Bwashee!Suala zima la bandari kupewa kampuni ya Dubai ni vita ya kisiasa ya 2025 na sio suala jingine lolote. Wameanza kuparurana wakiutafuta urais wa miaka miwili ijayo.
Eti mke wa Ruto kafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23]Bandari ni zaidi ya Urais Bwashee!
Kuwa Rais kwenye Dunia ya sasa ni Mateso wala siyo Fahari
Hapo Kenya mke wa Ruto macho yamevimba kwa kukesha na kuomba
Sasa watamani Urais wa Bongo wote wameolea Machame hadi Dr Kigwa, patamu hapo!
Kenya inaongozwa na Walokole lakini jasho linawatoka!Eti mke wa Ruto kafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi siasa za bandari zinatoka sehemu moja na zile za kudai ndege ya mazigo imeharibika wakati ilikuwa hata haijafika nchini!.Bandari ni zaidi ya Urais Bwashee!
Kuwa Rais kwenye Dunia ya sasa ni Mateso wala siyo Fahari
Hapo Kenya mke wa Ruto macho yamevimba kwa kukesha na kuomba
Sasa watamani Urais wa Bongo wote wameolea Machame hadi Dr Kigwa, patamu hapo!