Suala la bodaboda ni picha moja ya ukweli kuhusu udhaifu wa Serikali iliyokuwa madarakani kwenye kusimamia sheria na kujali Wananchi wake

Suala la bodaboda ni picha moja ya ukweli kuhusu udhaifu wa Serikali iliyokuwa madarakani kwenye kusimamia sheria na kujali Wananchi wake

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police hawasimamishi bodaboda ata kwa ukaguzi wa leseni,kwa kuendesha mwendo wa kupitiliza, kwa kutosimama zebra, kwa kutosimama taa nyekundu.
3. Bodaboda bado wanabeba mishikaki
4. Bodaboda wakisababisha ajali wao ndio wanaunganika kuchukua sheria mkononi na kumpiga waliemsababishia ajali.
5, Bodaboda wanaovateki kushoto bila kujali gari liliko mbele yake limeonyesha ishara gani
 
Back
Top Bottom