Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hizi ulizoweka hapa sahau ndg,second wave hakuna hata inayofua dafu hapo.Covidol
Panadol
Sheladol
.......iol
Loh.....
You made my dayUpumbavu. Ugonjwa unaumwa wewe unataka wanaume wenzio wakitafutie dawa na unadai kama ni haki yako. Huku wewe umekarisha tu Makalio yako.....
Wewe ndo ulikuwa unalalamika kuwa shemeji yako hakuachii pesa ya matumizi. Unataka amwachie dada yako na wewe pia. Kawaoa nyote? Mwanaume huwezi dai utendewe mambo ya kipumbavu. Wewe unasumbuliwa na malaria unataka mzungu akutengenezee Chanjo. We una akili? Kwa nini sasa asikuoe na wewe? Unaumwa Corona unasema chanjo yake huiamini. Wakati huo dawa zilizojaa Hosp yako ni kutoka kwake. Panadol,Asprin,Alu n.kCovid 29 na HIV aids vyote ni virus.
Siku zote HIV aka Ngoma inakwanyua Waafrika hakuna pupa wala uharaka wa kutafuta chanjo.
Hapa kamdudu kamewagusa na wao basi wako bize kutafuta chanjo wanaumiza vicha hadi wanapata vipara.
Hii inaonyesha Covid ingekuwa afrika tungeachwa tupambane tujifie tu. Kama walivyofanya kwa Mipira ya ngono wangetuambia kinga na chanjo ya Covid ni Barakoa na Sanitizer, haina chanjo wala dawa. Au wangetutengenezea ARV za Covid.
Ningekuwa nina uwezo wa kumshawishi Mola kama yule Musa wa kwenye Biblia ningeomba Covid Afrika iwe kama kwikwi tu unakunywa maji inaenda alafu kwa wazungu na wachina Iwe kama ile Ngoma ya miaka ya 90 isiue haraka haraka. Ihakikishe wazungu wanapandisha hadi kenchi angalau mwaka mmoja hivi ili tuheshimiane.
Ila hakuna namna ngoja tupige dua tu kadudu na mapepo ya Covid yarudi Wuhan na ulaya huko yalikotoka sisi tuendelee na maisha.
Naelewa sana mtu akisema tujitegemee
Kwani hiyo chanjo ya Corona wanayolazimisha kutupa msaada ni haki yetu?Upumbavu. Ugonjwa unaumwa wewe unataka wanaume wenzio wakitafutie dawa na unadai kama ni haki yako. Huku wewe umekarisha tu Makalio yako.....
Kwa nini unataka watu wengine wakutengenezee chanjo wewe?Covid 29 na HIV aids vyote ni virus.
Siku zote HIV aka Ngoma inakwanyua Waafrika hakuna pupa wala uharaka wa kutafuta chanjo.
Hapa kamdudu kamewagusa na wao basi wako bize kutafuta chanjo wanaumiza vicha hadi wanapata vipara.
Hii inaonyesha Covid ingekuwa afrika tungeachwa tupambane tujifie tu. Kama walivyofanya kwa Mipira ya ngono wangetuambia kinga na chanjo ya Covid ni Barakoa na Sanitizer, haina chanjo wala dawa. Au wangetutengenezea ARV za Covid.
Ningekuwa nina uwezo wa kumshawishi Mola kama yule Musa wa kwenye Biblia ningeomba Covid Afrika iwe kama kwikwi tu unakunywa maji inaenda alafu kwa wazungu na wachina Iwe kama ile Ngoma ya miaka ya 90 isiue haraka haraka. Ihakikishe wazungu wanapandisha hadi kenchi angalau mwaka mmoja hivi ili tuheshimiane.
Ila hakuna namna ngoja tupige dua tu kadudu na mapepo ya Covid yarudi Wuhan na ulaya huko yalikotoka sisi tuendelee na maisha.
Naelewa sana mtu akisema tujitegemee
Syllabus ya biology form one wanasema kirusi hafi.Mliosoma syllabus za zamani za ujamaa chuki itakuuweni.
Ndui,ebola,zika, malaria nk mbona wamepambana nazo Hadi kuzizibiti na Hali wao sio waathirika.
Ubaguzi na chuki dhidi ya wazungu utakuuweni.
Usipanic bro. Naona unagombana na keyboard Kisa Mzungu utadhani uko kwenye payroll yake.Wewe ndo ulikuwa unalalamika kuwa shemeji yako hakuachii pesa ya matumizi. Unataka amwachie dada yako na wewe pia. Kawaoa nyote? Mwanaume huwezi dai utendewe mambo ya kipumbavu. Wewe unasumbuliwa na malaria unataka mzungu akutengenezee Chanjo. We una akili? Kwa nini sasa asikuoe na wewe? Unaumwa Corona unasema chanjo yake huiamini. Wakati huo dawa zilizojaa Hosp yako ni kutoka kwake. Panadol,Asprin,Alu n.k
Unataka akutengenezee dawa ya HIV wakati unaesumbuliwa ni wewe. ARV unatumia za kwake na condoms pia . Wewe unachoweza ni majungu na uvivu tu. Na kulia lia unalilia kufanyiwa mambo na mzungu. Huo upumbavu achaneni nao. Mjitegemee kiukweli. Siyo kuchagua sehemu ambazo mnaona mtapiga deal ndo mnadai mnashtukia Wazungu.
Sitaki watu wengine wanitengenezee chanjo.Kwa nini unataka watu wengine wakutengenezee chanjo wewe?
Anapambana kwakua anajua asipopambana kukutibu wewe utamuambukiza wakati anakuhitaji uendelee kumlindia rasilimali wakati akija kuzivuna azikute salama.Sitaki watu wengine wanitengenezee chanjo.
Nataka uelewe ukiona Mzungu anapambana mwafrika apate nafuu flani usikurupuke, ujue tu anataka kuonekana mwema lakini hana huo wema kama anavyosifia na kuabudiwa kwa ARV,Panadol sijui Ndui.
Anajua kunafaida anapata na ingekuwa utu basi angepambana kwa level hizo hizo za pandemic ya corona.
Hiki ndicho nimejifunza. Sisi tumejisaidia Mkuu na tunapambana kwa njia zetu. Asilazimishe basi option zake ndio ziwe SI Unit ya utatuzi. Hata sisi tukikubakiana kujifukiza au Miti Shamba atuache, maana hata yeye chanzo zake wanabishana hakuna ambayo ni universal isiyokosoleka.
Sasa Kuna mtu aliyewazuia na nyinyi kutafuta hizo chanjo za hayo magonjwa yanayowasumbua? Au ndiyo ndugu llawama
Of course kuna geopolitics na soft power politics.Sitaki watu wengine wanitengenezee chanjo.
Nataka uelewe ukiona Mzungu anapambana mwafrika apate nafuu flani usikurupuke, ujue tu anataka kuonekana mwema lakini hana huo wema kama anavyosifia na kuabudiwa kwa ARV,Panadol sijui Ndui.
Anajua kunafaida anapata na ingekuwa utu basi angepambana kwa level hizo hizo za pandemic ya corona.
Hiki ndicho nimejifunza. Sisi tumejisaidia Mkuu na tunapambana kwa njia zetu. Asilazimishe basi option zake ndio ziwe SI Unit ya utatuzi. Hata sisi tukikubakiana kujifukiza au Miti Shamba atuache, maana hata yeye chanzo zake wanabishana hakuna ambayo ni universal isiyokosoleka.
Tuachane nayo na kwao tusiende. Tutumie chanjo zetu. Wala wasitulazimishe na sisi tusiwalazimishe chochote na hata kwao tusiende na wao wasije kwetu.Kwani hiyo chanjo ya Corona wanayolazimisha kutupa msaada ni haki yetu?
Asante sana, umenena vyema.Hapa ndo utaona waafrika ilivyo jaza wapumbavu wengi .
Kwani ni ni sheria ipi au andiko gani kwenye Qruan au biblia linalo warazimisha wazungu kutatua matatizo ya waafirika?
Yaan badala ya kuwalaumu na kuwawajibisha viongozi wenu wanao tumia kodi zenu kununua magari ya million 450 kwa ajili ya kutembelea badala wangezitumia kuwekeza kwenye tafiti ya sayansi ya tiba .
Badala yake una taka wazungu watumie kodi za raia wao kutatua matatizo yenu ambayo kimsingi viongozi wetu ndo chazo cha hayo matatizo.
Sasa mkuu unataka akuangaikie wewe kama nani yake!!!, wamefanya sehemu yao ingawa wakati mwingine pia wana maslahi yao. Wewe mwenye tatizo umefanya nini kulitatua? Mangapi wametusaidia na kama kutumaliza tungeishaisha. Leo Stone kwa maslahi anayojua yeye anasema chanjo haiaminiki na wakati imethibitishwa na shirika la afya duniani na imeonyesha ufanisi wa juu huko ilikotumika. Ni nani anayepambana na HIV/AIDS, TB, Malaria, Ukoma na magonjwa lukuki tuliyonayo na ambayo mengine huko kwao imebaki historia tu.Syllabus ya biology form one wanasema kirusi hafi.
Usipanic bro. Naona unagombana na keyboard Kisa Mzungu utadhani uko kwenye payroll yake.
Usilete mambo ya panado kwenye mjadala wa chanjo ya kirusi. Sitaki asaidie ila najadili consistency ya mahusiano yake na matatizo ya Jamii ya mwanadamu. Kuna kipindi AIDS ilikuwa kama hii Pandemic. Huko Bukoba hadi Nyumba zinafungwa lakni hakukuwa na hamasa yoyote. Ila uzoefu umeonyesha Mzungu anahangaika na mambo yake kuliko ya wengine kama ulivyokuwa brainwashed kwa hizo panadol sijui ARV.
Kwa maana nyingine kwa roho hii ameonyesha yeye hicho unachodhani ni msaada kwa wafrika ni chambo tu na hana nia kihivyo ya kusaidia mwafrika
Hapa tunapiga stori au una ushahidi au umefanya kautafiti kidogo utuwekee hicho ulichogundua. Kuanza mjadala kwa kutumia tu hisia zako bila takwimu kwa haya msuala ya kisayansi si sahihi sana.Usome kwa utulivu.
Hapa anataka uelewe sio kila juhudi ya Mzungu na presha ya kutaka kumsaidia mwafrika huwa ni njema.anaweza kukusaidia 1% akakuaminisha ni 100% alafu yeye anajua 99% kabaki nayo ili akutumie baadae kwa Faida yake.
Hata hizo chanjo hujiulizi kwa nini hata Kabla corona haijafika afrika Bill gate na mkewe anatabiri vifo hadi watu washindwe kuzikana afrika ili kutafuta uhalali wa kuleta chanjo yake huku. Sasa uhalaka huo na utabiri uliofeli ulisukumwa kwa sema au kuwafanya waafrika specimen za kutestia chanjo
Ndo unapoonesha upumbavu. Yaani pandemic iwe Bukoba halafu ahangaike mzungu kukusaidia. We una akili? Wewe n mkeo au mumeo au na familia yako mnaumwa kaswende halafu jirani ambaye haumwi unamlaumu kwa nini hakutengenezei dawa. Wewe una akili?Syllabus ya biology form one wanasema kirusi hafi.
Usipanic bro. Naona unagombana na keyboard Kisa Mzungu utadhani uko kwenye payroll yake.
Usilete mambo ya panado kwenye mjadala wa chanjo ya kirusi. Sitaki asaidie ila najadili consistency ya mahusiano yake na matatizo ya Jamii ya mwanadamu. Kuna kipindi AIDS ilikuwa kama hii Pandemic. Huko Bukoba hadi Nyumba zinafungwa lakni hakukuwa na hamasa yoyote. Ila uzoefu umeonyesha Mzungu anahangaika na mambo yake kuliko ya wengine kama ulivyokuwa brainwashed kwa hizo panadol sijui ARV.
Kwa maana nyingine kwa roho hii ameonyesha yeye hicho unachodhani ni msaada kwa wafrika ni chambo tu na hana nia kihivyo ya kusaidia mwafrika
Mbona wewe ndo una roho mbaya mkuu.yani tatizo la kwao mimi ndo nikupambanie wakati wote tupo sawa?Covid 29 na HIV aids vyote ni virus.