Suala la Covid19, nimegundua Wachina, Wazungu wana roho mbaya

Suala la Covid19, nimegundua Wachina, Wazungu wana roho mbaya

Mliosoma syllabus za zamani za ujamaa chuki itakuuweni.

Ndui,ebola,zika, malaria nk mbona wamepambana nazo Hadi kuzizibiti na Hali wao sio waathirika.

Ubaguzi na chuki dhidi ya wazungu utakuuweni.
Wajinga wachache mliobaki mnaona ili pia ubaguzi,,, jitahid usome historia ya negro and white... Mzungu hana jema ata kidogo kwa mtu mweusi ata milele
 
Wajinga wachache mliobaki mnaona ili pia ubaguzi,,, jitahid usome historia ya negro and white... Mzungu hana jema ata kidogo kwa mtu mweusi ata milele
Hizo ni old history hazina nafasi ktk kizazi cha sasa sisi ni global village thus tunawaoa Hadi wazungu japo ilikuwa nadra enzi za history.Kuleta history mfu kwenye ulimwengu wa Sasa wa global vision ni utopolo mtupu.,tunaishi kwa kutegemeana Jamii zote duniani.Watu wema na watu waovu wapo Jamii zote.
 
Wewe mtanzania kushindana na Mzungu Wapi na Wapi, Kama kweli hawatupendi hao kutumaliza ni Mara moja tu, Maana bidhaa zao tunatumia Sisi, hadi mbegu wanatutengenezea, kiujumla muogope mtu aliyekutawala, akakutesa kisha bado akarudi kutalii kwenye nchi hiyo hiyo ,adui wa mwafrica ni mwafrica mwenzake, hao Hata time hawana
 
Somo la historia a Tanzania ndilo nitakuja kuifanya Tanzania kuwa Nchi ya pekee Duniani....mazuri yanakuja.
 
Back
Top Bottom