Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

All in all, hii ni excuse....sisi tumeahidiwa pilao, tunataka pilao na sio maneno ya chumvi imeisha tumemtuma mtu dukani. Hayatuhusu.wakati unatuahidi pilao tena kwa kujiapiza kwa ishara ya msalaba hukujua kwamba ingredients za kupika pilao hazipo zote jikoni? Ulituahidi au Ulituhadaa?
Ulituonaje sisi yani...Mazuzi kama wewe au?
CcM ni wezi, waongo na wanafiki
 
Kwanini azungumzie crane tu, kwenye huo ujenzi materials nyingi zimeagizwa na bado zingine zitaagizwa, na kwakuwa ujenzi haujakamilika yeye angekaa kimya bada ya kuzungumza mambo ya ujenzi unaoendelea in small bits tena kwa harufu ya kukatisha watu tamaa
Ana pepo mchafu anamsumbua
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Tatizo la mawaziri wetu ni kutaka kuchanganya technical affairs na siasa za matumbo ya watu, hayo mambo yanapaswa kumalizwa na ma-engineers kama walivyotumia calculus na mahesabu mengine kufikia hapo walipo bila kelele za hovyo.
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Misukule ya dikteta hawana akili,nikuwasamehe tu
 
Nimezoea kuona watu wakiulizwa wamelipwa sh ngapi ili kumsafisha bwana mwezi wa kwanza? Na wewe nakuuliza umelipwash ngapi ili kumsafisha huyo huyo bwana mwezi wa pili?
Dikteta alikuwa anawalipa sh ngapi mumsifie mitandaoni
 
Suala la kujaza maji Ni P1; na zoezi la kujaza maji Ni process ya miezi kadhaa,a miaka!! Kwanini isitumike movable crain kuokoa Muda wakikamilisha plan ya kudumu ambapo uhitaji wa ku drain bwawa sio wa miaka ya karibu, unless Kuna dharula kubwa ama ajali kingo kupasuka.
Umeambiwa crain zitakuwa za kudumu sio kukodishwa
 
Mradi mkubwa kama ule hauwezi kukosa project plan yani activities zote huwa zimeainishwa na tarehe,malighafi na vitendea kazi vitavyo hitajika kauli ya "kwa bahati mbaya ilichelewa kuagizwa na kusafirishwa" ni kauli ya kuhalalisha uongo/uzembe au ubabaishaji mahali.
Umesahau kuna muda gan nchi ilisimama
 
Wasukuma hii vita mnayoianzisha itswakost ukitoka kazini shukuru kuna leo na kesho izo ofsn sio mali yenu n mali ya Umma endeleeni kusambaza chuki malipo ni hapa hapa naona miaka mi tano hamjatosheka pia hamjajifunza
Kwani yeye au wewe makamba mwenyewe ulisema lolote kuhusu aina ya Cranes zinazotakiwa pale?

Je kama kuna crane zinazopaswa kuwa pale permanently, sio sehemu ya vifaa vilivyoko kwenye orodha ya kuagizwa ndani ya budget ya gharama za mradi?

Je ulishindwa nini kuongea na kutoa ufafanuzi wa kueleweka?

Mbona uliongea kwa body language iliyoonyesha kabisa unasema jambo ambalo sio kweli?

Hapo chini nimeambatanisha live,msemakweli toka site. View attachment 2010006
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Tunajadiri mambo ya hovyo sana, hivi huyo mkandarasi hakujua kwamba Crane itahitajka na ya uzito gani ? Mbona ni kama vile hii project inakwenda bila mpangilio kama designers walivyo kusudia?
 
Kwani yeye au wewe makamba mwenyewe ulisema lolote kuhusu aina ya Cranes zinazotakiwa pale?

Je kama kuna crane zinazopaswa kuwa pale permanently, sio sehemu ya vifaa vilivyoko kwenye orodha ya kuagizwa ndani ya budget ya gharama za mradi?

Je ulishindwa nini kuongea na kutoa ufafanuzi wa kueleweka?

Mbona uliongea kwa body language iliyoonyesha kabisa unasema jambo ambalo sio kweli?

Hapo chini nimeambatanisha live,msemakweli toka site. View attachment 2010006

Kwa kuwa anapotosha makusudi jambo lenye masilahi mazito na mapana ya nchi. Anapaswa kujiuzulu. Apishe mwingine aendelee.
Ndiyo maana anakimbizana na wale wanyonyaji wa Gesi.
 
Mradi mkubwa kama ule hauwezi kukosa project plan yani activities zote huwa zimeainishwa na tarehe,malighafi na vitendea kazi vitavyo hitajika kauli ya "kwa bahati mbaya ilichelewa kuagizwa na kusafirishwa" ni kauli ya kuhalalisha uongo/uzembe au ubabaishaji mahali.

Hapo si uongo bro. Ni hujuma dhidi ya masilahi mazito na mapana ya nchi.
 
Cranes zinazoongelewa ni part and parcel ya hydro power plant ambazo zinatumika kufunga na kufungua mageti ya kupitisha maji. Kutokuwepo cranes lawama inawaangukia procument / project management . Ama somo la CPA na PERT ( critical path analysis/performance review technique)halijazingatiwa au upigaji njiani.
 
Ni punguani peke yake na watu wenye utindio wa ubongo ndiyo wanaweza kuziamini kauli za viongozi wa Tanzania.
109_20210706_190119.jpg
rq-1.jpg
 
Hiyo milango ikifikaje site?
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Kwa akili hizi acha tu jua liwe kali.
 
Makamba ataibuka kidedea kwenye hii issue
 
Hv crane s zinatumika kunyanyua vitu au iweje tena ijengwe iwe ya kidumu??
 
Bora ungekaa kimya Mkuu, miradi ya ujenzi huwa haiendeshwi kienyeji.
 
Back
Top Bottom