Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Mimi ni Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).

Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.

Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).

Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.

Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
 
Mradi mkubwa kama ule hauwezi kukosa project plan yani activities zote huwa zimeainishwa na tarehe,malighafi na vitendea kazi vitavyo hitajika kauli ya "kwa bahati mbaya ilichelewa kuagizwa na kusafirishwa" ni kauli ya kuhalalisha uongo/uzembe au ubabaishaji mahali.
Ungemuuliza Kalemani Mkuu
 
Wakati wanaanza kujenga hawakuwa na mpango kamili wa ujenzi tangu mwanzo hadi mwisho? Au kila ukifika wakati wa kulala usiku ndio wanafikiria nini kitafuta kesho yake??

Nakumbuka kwenye ripoti moja ya CAG Mussa Asad ilisema hilo bwawa linajengwa kwa uholela mkubwa, na kuna hatari kubwa huko mbeleni. Haukupita muda kingo za hilo bwawa zilipasuka na kupelekea mafuriko makubwa mikoa ya Lindi. Lakini chini ya Magufuli ilikuwa ni hatari kubwa vyombo vya habari kuripoti janve hilo. Ripoti hii ni sehemu iliyosababisha chuki kubwa sana ya Magufuli kwa CAG Assad, na kazi hiyo ya kumnyoosha Assad alipewa Ndugai.

Kinachomtesa Makamba Sasa ni kuficha ukweli wa changamoto za hilo bwawa. Hakuna chochote Makamba ataongea aeleweke, maana kuna uongo mkubwa sana wananchi walilishwa enzi za Magufuli kuhusu hilo bwawa. Na akina Januari nao inabidi waongee uongo wao mwingine kwa sababu ya sifa za kisiasa. Hakuna anayethubutu kusema ukweli kuhusu huo mradi maana utakuwa na madhara makubwa kwa chama Chao na serikali. Magufuli alivuruga uchaguzi na kujaza wanaccm kwenye chaguzi zote, ili kuficha ukweli wa mambo haya aliyokuwa ameyafanya.y
 
Bora ungekaa kimya Mkuu, miradi ya ujenzi huwa haiendeshwi kienyeji.
Mimi ni Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).

Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.

Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).

Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.

Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).p
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Unaonyesha umburula wako! Hivi hakuna action plan ya kutekeleza mradi huo? Na kama ipo walisahau kuweka ununuzi wa hiyo crane?

Sasa ndiyo umeamua kumpaka mavi kabisa huyo Makamba.
 
Mimi ni Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).

Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.

Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).

Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.

Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).p
Asante sana kwa ufafanuzi,Mhandisi.
 
shida ya hapa sio hata uzito huo wa tani 26 - ni special capabilities za hiyo crane. S
Sasa uzito na special capabilities unaona ni vitu viwili tofauti wewe??!!! heee hizi shule sijui mnasomega wapi?
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.

Shida ni huyo waziri kutokufafanua hizo crane ni za aina gani, hakueleza kwamba hizo cranes ni sehemu ya hilo Bwawa. Hata mimi nilishangaa nilipomsikia kwani huku kwetu kuna crane inayoweza kubeba uzito wa Tani 35.
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.

Kwanini wasinge agiza mapema!
 
Mimi ni Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).

Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.

Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).

Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.

Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
Hii elimu inatakiwa kutolewa ujinga umekula meingi
 
Naona hili bandiko ndio linakuja kutoa ufafanuzi sasa. Maelezo ya January Makamba kama alivyosikika Bungeni hayakutoa ufafanuzi kama huu. 😳
 
Makamba ni mzee wa kamba kama dingiye!!
Unaweza hisi nimtu makini kumbe weeeeeh!! Makini kwenye kuvaa labda
 
Msimamizi wa mradi ndiye anapaswa kutoa taarifa za kiuhandisi ili kuepuka tafsiri chonganishi.
Makamba unaleta taharuki unapenda kutweet sana mitandaoni.Vitendo vitajibu.
Crain na Geti vitu 2 tofauti.

Jibu ni Geti litajengwa kwa kusaidiana crain ya kudumu.

Huo mradi wanasiasa mmeutembelea wengi mno na maagizo juu as if ninyi wahandisi.
Crane ni winchi inayoinua vitu vizito.
Gate ni lango kubwa.
Mfereji wa Suezi ulijengwa miaka mingi sana na unatumia mfumo wa milango mikubwa kuwezesha maji yapandishe au yashushe meli kama ngazi ya maji! Kwa wengine watakuwa kama wanaota ndoto.
 
Mimi ni Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).

Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.

Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).

Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.

Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
Tufundishe kunyamaza, wabongo kila mtu ni mhandisi, kocha,teacher,master, na wataalamu wengine wa kola nyanja, mm niliona vision ya makamba kipindi tu alipoteuliwa kuwa kiongozi wa wizara hii
Sema wabongo shemeji, ongeeni, mshuteni, msimangeni but this dude January makamba is the best among them, he is the first among none
 
Hv crane s zinatumika kunyanyua vitu au iweje tena ijengwe iwe ya kidumu??
Hiyo crane itakayojengwa ya kudumu inaitwa tower crane na gharama za ujenzi wa tower crane hiyo ipo upande wa kampuni ya Sinohydro ya china pia kampuni hii ndiyo sub-contractor iliuziwa kazi ya ujenzi wa bwawa kwa 75% na main contractor ambae ni Arab contractor.
Engineer kingachee details.
 
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka mingi awe hajaona cranes za kunyanyua uzito wa tani 26?

Kwa nafasi yake, weledi na uzoefu wake kwanini usijione kuwa wewe ndio labda hujamuelewa Mhe. Makamba? Waziri mwenye staha kama yake anapotoa taarifa ya jambo nyeti kama hilo lazima ajiandae vyema with all the material facts on the ground.

Ukweli ni kuwa kreni la kunyanyua hilo geti la maji pindi bwawa likijaa ni sehemu ya ujenzi wa hilo bwawa. Kreni hizo zitajengwa hapo kwa kudumu (permanently). Alichokisema Mhe.

Makamba kuwa nchini hazipo, ni kuwa ''duka'' linalouza hizo kreni MPYA (zenye uzito wa tani 26 ) hapa nchini halipo lazima ziagizwe nje. Wangekuwa wanafunga za mitumba ingekuwa haina shida labda zingeweza kutafutwa na kupatikana hapa nchini ili turudi tena kwa Dowans na Richmond kuhusu mitumba.

Watu wamerusha mapicha ya movable cranes kama hawana akili nzuri.
Hapa nimeelewa Ila kwani si walipaswa ziwe zimeshatolewa order waanze kuziunda toka muda au kilichosababisha mpaka zichelewe wakati schedule inaonyesha muda huu zilipaswa kuwa tayari na wameshaziweka na maji yanaanza kukaa tatizo nini?

Hilo bado kuna swali although nimeelewa, aliyesababisha zicheleweshwe ni Nani? Kwa nini? He mtamchukulia hatua gani maana tayari tumeshapata monetary loss ukipoteza muda wa miezi minne ni hela nyingi tunaipoteza kwa kuchelewa kuanza kuuza umeme that means Nani anacompansate?
 
Back
Top Bottom