Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

CcM ni wezi, waongo na wanafiki
 
Ana pepo mchafu anamsumbua
 
Tatizo la mawaziri wetu ni kutaka kuchanganya technical affairs na siasa za matumbo ya watu, hayo mambo yanapaswa kumalizwa na ma-engineers kama walivyotumia calculus na mahesabu mengine kufikia hapo walipo bila kelele za hovyo.
 
Misukule ya dikteta hawana akili,nikuwasamehe tu
 
Nimezoea kuona watu wakiulizwa wamelipwa sh ngapi ili kumsafisha bwana mwezi wa kwanza? Na wewe nakuuliza umelipwash ngapi ili kumsafisha huyo huyo bwana mwezi wa pili?
Dikteta alikuwa anawalipa sh ngapi mumsifie mitandaoni
 
Umeambiwa crain zitakuwa za kudumu sio kukodishwa
 
Umeambiwa crain zitakuwa za kudumu sio kukodishwa
Umesahau kuna muda gan nchi ilisimama
 
Wasukuma hii vita mnayoianzisha itswakost ukitoka kazini shukuru kuna leo na kesho izo ofsn sio mali yenu n mali ya Umma endeleeni kusambaza chuki malipo ni hapa hapa naona miaka mi tano hamjatosheka pia hamjajifunza
 
Tunajadiri mambo ya hovyo sana, hivi huyo mkandarasi hakujua kwamba Crane itahitajka na ya uzito gani ? Mbona ni kama vile hii project inakwenda bila mpangilio kama designers walivyo kusudia?
 

Kwa kuwa anapotosha makusudi jambo lenye masilahi mazito na mapana ya nchi. Anapaswa kujiuzulu. Apishe mwingine aendelee.
Ndiyo maana anakimbizana na wale wanyonyaji wa Gesi.
 

Hapo si uongo bro. Ni hujuma dhidi ya masilahi mazito na mapana ya nchi.
 
Cranes zinazoongelewa ni part and parcel ya hydro power plant ambazo zinatumika kufunga na kufungua mageti ya kupitisha maji. Kutokuwepo cranes lawama inawaangukia procument / project management . Ama somo la CPA na PERT ( critical path analysis/performance review technique)halijazingatiwa au upigaji njiani.
 
Ni punguani peke yake na watu wenye utindio wa ubongo ndiyo wanaweza kuziamini kauli za viongozi wa Tanzania.
 
Hiyo milango ikifikaje site?
 
Kwa akili hizi acha tu jua liwe kali.
 
Makamba ataibuka kidedea kwenye hii issue
 
Hv crane s zinatumika kunyanyua vitu au iweje tena ijengwe iwe ya kidumu??
 
Bora ungekaa kimya Mkuu, miradi ya ujenzi huwa haiendeshwi kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…