Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini.

Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake, lakini la ajabu, matusi kwa mama ndio ilikuwa pumulio la Watanganyika dhidi ya mkataba. Haikutukanwa Serikali, halikutukanwa Bunge. Matusi yote kwa mama na Uzanzibar wake.

Watanganyika wamesahau kama uraisi ni taasisi. Wamesahau kwamba kuna Baraza la Mawaziri. Wamesahau kwamba issue ilienda Bungeni na Bunge limeamua kwa mujibu wa sheria.

Lakini tujiulize, mama hakuna jambo aliowafanyia Watanganyika? Mbona mama aliwakita taabani kwa kila kitu, si kiuchumi, kisiasa, kijamii, na kadhalika. Hata wale waloelewana naye wameropokwa na wakatishia kuingia mabarabarani.

Watanganyika mtachelewa sana kuendelea, akili hamna, ndio maana pamoja na utajiri mnaonao, kila leo kwa maelfu mnakimbilia Zanzibar kuja kuuza shanga, kahawa, magazeti, na kufanya ukahaba. Hivi wamasai na rasilimali zote walizonazo ni wakija kuuza ugoro Zanzibar?

Dhahabu yenu inafanya nini?
Almasi mnaifanya nini?
Gesi, je, mnaipeleka wapi?
Tanzanait ipo wapi?
Makaa ya mawe hamna?
Mbuga zenu mnazifanyia nini?
Mapori ya hakiba, je?
Maziwa?
Mito?
Ng'ombe, nasikia kwa Afrika hampo nambari ya mbali.
Nini ambacho hamna?

Je, vyote hivyo mbona vimeshindwa kuwatoa katika umasikini?

Huko bandarini, si miaka yote kunaneemesha matumbo ya wachache? Tuonesheni manufaa mliyopata katika kuendesha bandari zenu.

Mwacheni mama awakomboe, na hamtokuja msahau. Mmewasahau mlivyokuwa mkitumbukizwa katika Mto Msimbazi?

Au mumemiss kuibiwa fedha zenu kwenye akaunti zenu?

Au mumemiss kutekwa?

Wazanzibar ni akili kubwa.
 
Aiseeee! Kumbe ulitaka sie tudadavue makosa na kasoro kwenye mkataba? Halafu wahusika wanasheria wenye dhamana, wabunge, viongozi, wasimamizi, wao wafanye nini? Kodi zetu wale wao, kazi yao tuwafanyie sie?

Mpaka kasoro ziwemo kwenye mkataba huoni tayari hilo ni kosa kubwa linalohalalisha ^chuki^ unayoitaja?

Sie wazalendo tunasema hayo siyo makosa ya bahati mbaya; ni makusudi.
 
..Makame Mbarawa hapaswi kuongoza wizara isiyo ya muungano.

..Raisi Ssh ametukosea Watanganyika kumteua ktk wizara hiyo

..Pia kama Ssh anataka kuleta reconciliation, na reforms, basi arejeshe haraka azimio la kuanzisha SERIKALI YA TANGANYIKA, ili muungano uwe wa haki.

..Zanzibar wana SMZ kwanini Tanganyika hawana serikali?
 
Hii issue imedhihirisha chuki waliokua nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya Kwa nini...
Wabara hawawachukii Wazanzibari isipokuwa fact ni kwamba baadhi yetu wabara tuko NEGATIVE.
Mtu NEGATIVE huwa hawezi kuona kitu POSITIVE kilicho MBELE bali huwa anviaona vilivyo POSITIVE vile ambavyo tu tayari vipo au vilishatokea
 
Chizi wewe Magufuli alipokataa upuuzi wa Kikwete. Mbona taasisi ilikubali sababu Kikwete alikubali. Unapochangia kuwa na kumbukumbu. Zanzibar inayo bahari pia wapeni si waliwatawala hao waarabu.
 
Wabara hawawachukii Wazanzibari isipokuwa fact ni kwamba baadhi yetu wabara tuko NEGATIVE.
Mtu NEGATIVE huwa hawezi kuona kitu POSITIVE kilicho MBELE bali huwa anviaona vilivyo POSITIVE vile ambavyo tu tayari vipo au vilishatokea
Kwahiyo wabara kuona kuzuiliwa kumiliki ardhi Zanzibar Ni Negative siyo? Kuwa na akili Pana.
 
Hii issue imedhihirisha chuki waliokua nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya Kwa nini...
Tumbili abiria wa Jajazi la TIPPU TIPP nani kakupa huo uzanzibar kama sio Tanganyika walipokuja kumuondoa mmiliki wenu wacongo mliokosa soko?😂😂😂😂
 
Ulitegemea wamasai wauze shanga zao wapi wakati wameletewa figisu za kuwaondoa Ngororongo na Loliondo ambapo wangeendelea kuwauzia watalii. Ni jambo jema kama wamejua muelekeo mbadala wapi wakauze shanga zao.
 
Wenye dhamana kwa sasa Tanganyika ni Wazanzibar, na Wazanzibar ni Waarabu, ndio maana Mbuga anachukua Mwarabu Bandari Mwarabu, ipo siku na Tanganyika itakuwa chini ya Mwarabu kwa mara nyingine., Watanganyika tuamkeni hii ndio ile akili ndogo kutawala akili kubwa.
 
hivi wamasai na rasilimali zote walizonaxo NI wakija kuuza ugoro ZANZIBAR??


Wewe ugoro wa wamasai umekulevya ndio maana unaropoka, badala ya kunywa urojo wanywa mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…