dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini.
Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake, lakini la ajabu, matusi kwa mama ndio ilikuwa pumulio la Watanganyika dhidi ya mkataba. Haikutukanwa Serikali, halikutukanwa Bunge. Matusi yote kwa mama na Uzanzibar wake.
Watanganyika wamesahau kama uraisi ni taasisi. Wamesahau kwamba kuna Baraza la Mawaziri. Wamesahau kwamba issue ilienda Bungeni na Bunge limeamua kwa mujibu wa sheria.
Lakini tujiulize, mama hakuna jambo aliowafanyia Watanganyika? Mbona mama aliwakita taabani kwa kila kitu, si kiuchumi, kisiasa, kijamii, na kadhalika. Hata wale waloelewana naye wameropokwa na wakatishia kuingia mabarabarani.
Watanganyika mtachelewa sana kuendelea, akili hamna, ndio maana pamoja na utajiri mnaonao, kila leo kwa maelfu mnakimbilia Zanzibar kuja kuuza shanga, kahawa, magazeti, na kufanya ukahaba. Hivi wamasai na rasilimali zote walizonazo ni wakija kuuza ugoro Zanzibar?
Dhahabu yenu inafanya nini?
Almasi mnaifanya nini?
Gesi, je, mnaipeleka wapi?
Tanzanait ipo wapi?
Makaa ya mawe hamna?
Mbuga zenu mnazifanyia nini?
Mapori ya hakiba, je?
Maziwa?
Mito?
Ng'ombe, nasikia kwa Afrika hampo nambari ya mbali.
Nini ambacho hamna?
Je, vyote hivyo mbona vimeshindwa kuwatoa katika umasikini?
Huko bandarini, si miaka yote kunaneemesha matumbo ya wachache? Tuonesheni manufaa mliyopata katika kuendesha bandari zenu.
Mwacheni mama awakomboe, na hamtokuja msahau. Mmewasahau mlivyokuwa mkitumbukizwa katika Mto Msimbazi?
Au mumemiss kuibiwa fedha zenu kwenye akaunti zenu?
Au mumemiss kutekwa?
Wazanzibar ni akili kubwa.