Hii issue imedhihirisha chuki waliokua nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya Kwa nini
Tulitegemea unge dadavuliwa Mkataba na mapungufu yake lkn la ajabu matusi Kwa MAMA ndio ilikua pumulio la watanganyika dhidi ya Mkataba haikutukanwa Serikali halikutukanwa Bunge matusi yoooote Kwa mama na Uzanzibar wake
Watanganyika wamesahau kama uraisi NI TAASISI wamesahau kwamba kuna Baraza la mawaziri wamesahau kwamba issue ilienda Bungeni na Bunge limeamua Kwa mujibu WA Sheria
Lkn tujiulize Mama hakuna Jambo aliowafanyia watanganyika? Mbona mama aliwakita taabani Kwa kila kitu si kiuchumi kisiasa kijamii nk hata wale aloelewana NAO wameropokwa na wakatishia kuingia mabarabarani
Watanganyika mtachelewa Sana kuendelea akili hamna NDIO Maana pamoja na utajiri mlonao kila Leo Kwa maelfu mnakimbilia ZANZIBAR kuja kuuza shanga kahawa magazeti na kufanya ukahaba hivi wamasai na rasilimali zote walizonaxo NI wakija kuuza ugoro ZANZIBAR??
Dhahabu yenu inafanya nini?
Almasi mwaifanya nini?
Gesi jee mwaipeleka wapi?
Tanzanait IPO wapi?
Makaa ya mawe hamna?
Mbuga zenu mnazifanyia nini
Mapori ya hakiba jee?
Maziwa ?
Mito ?
Ngombe nasikia Kwa Afrika hampo nambari ya mbali
Nini milchokua hamna?
Jee vyote hivyo mbona vimeshindwa kuwatoa ktk umasikini ?
Huko bandarini si miaka yote kunaneemesha matumbo ya wachache tuonesheni manufaa mliyopata katika kuendesha bandari zenu,?
Mwacheni MAMA awakombowe na hamtojkuja msahau mshasahau mlivyokuwa mkitumbwikizwa ktk Mto msimbaz ?
Au mumemiss kuibiwa fedha zenu kwenye akaunti zenu?
Au mumemiss kutekwa?
WAZANZIBAR NI AKILI KUBWA
Tanganyika ina watu milioni 55, Zanj mpo milioni 6, kama idadi ya watu wa Dar, hao wanaokuja kuuza ugoro na shanga, hawafiki hata 1000, asilimia 0.000018! Sasa cheki wazenj waliojaa Tanganyika, mnapewa mpaka kuongoza wilaya zetu.
Kwa ufupi tunachukiana, nyie akili kubwa mbona mnakwepa kumpa Mwarabu bandari zenu?
Kitu usichokijua, Rais wa Zanj anateuliwa Dodoma na Watanganyika, Zanj inakaliwa kimabavu na vibaraka wa Tanganyika.
Juzi mtoto wa Karume amekili, kwa uchaguzi wa haki, CCM haishindi Zanj.
Adui yenu sio Watanganyika, ni CCM.
Kindani ndani sana, huu muungano hautavunjika, utadumu kwa lazima, Zanj kwa TZ ni sawa na Hong Kong kwa China, au Catalonia kwa Spain, mtabaki kwa lazima, hata ilibidi Jwatz iue watu wote.