Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi wewe magufuli alipokataa upuuzi wa kikwete.mbona taasisi ilikubali sababu kikwete alikubali. Unapochangia kuwa na kumbukumbu. Zanzibar inayo bahari pia wapeni si waliwatawala hao waarabu.
Wenye dhamana kwa sasa Tanganyika ni Wazanzibar, na Wazanzibar ni Waarabu, ndio maana Mbuga anachukua Mwarabu Bandari Mwarabu, ipo siku na Tanganyika itakuwa chini ya Mwarabu kwa mara nyingine., Watanganyika tuamkeni hii ndio ile akili ndogo kutawala akili kubwa.
Anae kudharau na kukutukana hakuchagulii Yudi!Hii issue imedhihirisha chuki waliokua nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya Kwa nini
Tulitegemea unge dadavuliwa Mkataba na mapungufu yake lkn la ajabu matusi Kwa MAMA ndio ilikua pumulio la watanganyika dhidi ya Mkataba haikutukanwa Serikali halikutukanwa Bunge matusi yoooote Kwa mama na Uzanzibar wake
Watanganyika wamesahau kama uraisi NI TAASISI wamesahau kwamba kuna Baraza la mawaziri wamesahau kwamba issue ilienda Bungeni na Bunge limeamua Kwa mujibu WA Sheria
Lkn tujiulize Mama hakuna Jambo aliowafanyia watanganyika? Mbona mama aliwakita taabani Kwa kila kitu si kiuchumi kisiasa kijamii nk hata wale aloelewana NAO wameropokwa na wakatishia kuingia mabarabarani
Watanganyika mtachelewa Sana kuendelea akili hamna NDIO Maana pamoja na utajiri mlonao kila Leo Kwa maelfu mnakimbilia ZANZIBAR kuja kuuza shanga kahawa magazeti na kufanya ukahaba hivi wamasai na rasilimali zote walizonaxo NI wakija kuuza ugoro ZANZIBAR??
Dhahabu yenu inafanya nini?
Almasi mwaifanya nini?
Gesi jee mwaipeleka wapi?
Tanzanait IPO wapi?
Makaa ya mawe hamna?
Mbuga zenu mnazifanyia nini
Mapori ya hakiba jee?
Maziwa ?
Mito ?
Ngombe nasikia Kwa Afrika hampo nambari ya mbali
Nini milchokua hamna?
Jee vyote hivyo mbona vimeshindwa kuwatoa ktk umasikini ?
Huko bandarini si miaka yote kunaneemesha matumbo ya wachache tuonesheni manufaa mliyopata katika kuendesha bandari zenu,?
Mwacheni MAMA awakombowe na hamtojkuja msahau mshasahau mlivyokuwa mkitumbwikizwa ktk Mto msimbaz ?
Au mumemiss kuibiwa fedha zenu kwenye akaunti zenu?
Au mumemiss kutekwa?
WAZANZIBAR NI AKILI KUBWA
Akili kubwa itoke madrasa??? Fanya masihara weye!.
Heri ya nusu Shari kilipo shari KamilaUvunjwe haraka bara tunaumia
Ondokeni hatuwataki mrudi kwenu Zanzibar
Chizi wewe magufuli alipokataa upuuzi wa kikwete.mbona taasisi ilikubali sababu kikwete alikubali. Unapochangia kuwa na kumbukumbu. Zanzibar inayo bahari pia wapeni si waliwatawala hao waarabu.
Tufanye Serkali Moja ili iwe Dalili na Ushahidi kwamba Nyinyi wa-zenj Sio wabaguziWewe kama nani uwaamrishe wenzio warudi kwao? Hivi kwa akili yako hii ardhi ya Mwenyezi Mungu ni yakwako peke yako! Pole sana, acha ubaguzi, acha chuki na roho mbaya, Mwenyezi Mungu hapendi
Tufanye Serkali Moja ili iwe Dalili na Ushahidi kwamba Nyinyi wa-zenj Sio wabaguzi
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Huo ni Mzani wa kupima nani mbaguzi Kati ya Mtg na mzenjMimi sio mzanzibari, ila nipo kwenye haki
Tena nyamaza uwe na adabu nakulipia umeme halafu unaleta kibesiAcha chuki fanya kazi lisha familia yako, mwanaume mzima unalalamika hata aibu huoni! Halafu unataka wanaowapenda waarabu wafuate nyayo zako!! Hivi fainali ya juzi kati ya Al ahly na Wydad casablanca uliifurahia kweli?
WanaumggMjinga ww hujui km wanyamwezi wenzio wanavuka maji kufata matibabu ya Bure ZANZIBAR?
Zanzibar hio ilikuwa ya Wareno, kipindi hicho babu zako walikuwa bado Nyani msituni Congo kabla hamjaletwa TZ na Tippu TippZanzibar IPO miaka Zaid ya 500 nyuma wakati nyinyi mnavaa ngozi tuu
Zanzibar IPO miaka Zaid ya 500 nyuma wakati nyinyi mnavaa ngozi tuu
Mpate kubonyezana kizenji nyie watumwa msio na kabila, eti wanajiita WASHIRAAZ.Waondoke wamakonde Kwanza
Mimi watanganyika nilisoma nao chuo mbwebwe nyingiiiii lkn ukifika Mtihani ni kuingia na vibomu Tu hawasomi KAZI ulevi na umalayaKati ya vilaza niliosoma nao chuo walikuwa ni wazanzi.
Walikuwa slow learners sana class.
Mdembwedo sanaaaa
Mtihani ukifika ni kutetemeka mikono na jasho Hadi kwenye meno
Njoo uone wanyamwezi walivyojazana huku washamba wakubwa wanashangaa kila kitu hawajawahi kuona wauza ugoro mnatusumbua sanaZanzibar kuna uchumi gani wa watu kukimbilia watu ma mwinyi kama nyinyi kazi yenu kuvizia wazungu tu kuomba omba hela na kutaka kulelewa.