Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni Mzani wa kupima nani mbaguzi Kati ya Mtg na mzenj
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Umejaa chuki🤮Watanganyika mtachelewa Sana kuendelea.... akili hamna
Bila ya muungano iyo mishahara yenu mutalipana vipi? Zanzibar ndio nchi pekee duniani inayolipa kodi mara mbili, Wazanzibar wanalipa ZRB kwa maendeleo ya Zanzibar lakini pia wanalipa TRA ni hela inayoenda Tanganyika kufanya maendeleo yenu huko bara mukajenga na barabara na mishahara yenuUvunjwe haraka bara tunaumia
Zanzibar ndio inaipushi Tanganyika mika yote, Zanzibar wanalipa kodi mara 2, moja ya ZRB kwa maendeleo ya Zanzibar lakini hela zinazokusanywa za TRA zinaletwa Bara kwa maendeleo ya Tanzania bara mishahara yenu na hizo barabara na flyover ni fedha kutoka ZanzibarMjinga mkubwa wewe mapato ya bara ndiyo yanalipa mishahara Zanzibar na kila kitu
Kilichodhihirishwa siyo chuki, kwa sababu Watanganyika hawawachukii Wazanzibari.Hii issue imedhihirisha chuki waliokua nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya Kwa nini
Tulitegemea unge dadavuliwa Mkataba na mapungufu yake lkn la ajabu matusi Kwa MAMA ndio ilikua pumulio la watanganyika dhidi ya Mkataba haikutukanwa Serikali halikutukanwa Bunge matusi yoooote Kwa mama na Uzanzibar wake
Watanganyika wamesahau kama uraisi NI TAASISI wamesahau kwamba kuna Baraza la mawaziri wamesahau kwamba issue ilienda Bungeni na Bunge limeamua Kwa mujibu WA Sheria
Lkn tujiulize Mama hakuna Jambo aliowafanyia watanganyika? Mbona mama aliwakita taabani Kwa kila kitu si kiuchumi kisiasa kijamii nk hata wale aloelewana NAO wameropokwa na wakatishia kuingia mabarabarani
Watanganyika mtachelewa Sana kuendelea akili hamna NDIO Maana pamoja na utajiri mlonao kila Leo Kwa maelfu mnakimbilia ZANZIBAR kuja kuuza shanga kahawa magazeti na kufanya ukahaba hivi wamasai na rasilimali zote walizonaxo NI wakija kuuza ugoro ZANZIBAR??
Dhahabu yenu inafanya nini?
Almasi mwaifanya nini?
Gesi jee mwaipeleka wapi?
Tanzanait IPO wapi?
Makaa ya mawe hamna?
Mbuga zenu mnazifanyia nini
Mapori ya hakiba jee?
Maziwa ?
Mito ?
Ngombe nasikia Kwa Afrika hampo nambari ya mbali
Nini milchokua hamna?
Jee vyote hivyo mbona vimeshindwa kuwatoa ktk umasikini ?
Huko bandarini si miaka yote kunaneemesha matumbo ya wachache tuonesheni manufaa mliyopata katika kuendesha bandari zenu,?
Mwacheni MAMA awakombowe na hamtojkuja msahau mshasahau mlivyokuwa mkitumbwikizwa ktk Mto msimbaz ?
Au mumemiss kuibiwa fedha zenu kwenye akaunti zenu?
Au mumemiss kutekwa?
WAZANZIBAR NI AKILI KUBWA
Bila ya Zanzibar Tanganyika inaweza kuanguka, Tanganyika inakusanya kodi za TRA kule Zanzibar na kuna maofisi kibao ya TRA wala wazanzibar hawanufaiki na hizi kodi za TRA, Tanganyika hajawahi kupeleka maendeleo yoyote Zanzibar kupitia kodi zao za TRA ambazo wazanzibari wanalipishwa, ndio manaa Tanganyika mnangangania muungano kuinyonya ZanzibarOndokeni hatuwataki mrudi kwenu Zanzibar
Wabara wakipewa ardhi Zanzibar wanajenga makanisa ndio upuuuzi mkubwa wanaowapelekea wazanzibari, Zanzibar ni kisiwa na sasa wazanzibari wenyewe ardhi iliyoko haiwatoshi hao watanganyika wanataka waendeleze makanisa na ushoga tu,Kwahiyo wabara kuona kuzuiliwa kumiliki ardhi Zanzibar Ni Negative siyo? Kuwa na akili Pana.
Huko zanzibar kumejaa makanisa, watanganyika wakipewa ardhi wanajenga mikanisa na kueneza ushogaNi wapuuzi sana Watu wa Bara,mie Sio Mzanzibari ila upuuzi Huwa sipendi..
Harafu wanavyowasema utadhani huo Muungano Wazanzibar ndio walilazimisha wakati ni Tanganyika
Vipi wale wauza sumu za panya dawa za mende, sumu za viroboto kule Zanzibar nao wale jaramba warudishwe kwao Kahama wakalime viazi vitamu?Ondokeni hatuwataki mrudi kwenu Zanzibar
Wanatucheka tu
Isije Ikawa wao kwa Mujibu wa maelekezo ya deen yao lazima watuchukie ili wafuzu!Suala la ubaguzi kwa baadhi ya Watanzania halitaisha, mtu anamchukia mwarabu bila sababu, anamchukia mzanzibari bila sababu, udini ndio usiseme.
Nachukia mno ubaguzi na kukashifu dini za wengine
Nije mara ngapi sasa wakati ndio ruti zangu huko mtu akiwa na mjomba Oman familia nzima haifanyi kazi yaani nyinyi kama taifa basi uchumi una dorora ndio maana vijana wengi wa zanzibar wanapasuliwa marinda kwasababu hawataki kazi.Njoo uone wanyamwezi walivyojazana huku washamba wakubwa wanashangaa kila kitu hawajawahi kuona wauza ugoro mnatusumbua sana