Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

Tumbili abiria wa Jajazi la TIPPU TIPP nani kakupa huo uzanzibar kama sio Tanganyika walipokuja kumuondoa mmiliki wenu wacongo mliokosa soko?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hii Wazanzibar ni watumwa waliokosa soko.,πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa wewe bwashee unawalaumu watanganyika kwa kuonyesha chuki dhidi ya wazanzibara, lakini wakati huo huo wewe huyo huyo unaporomosha mitusi na kejeli dhidi ya watanganyika; sasa hapo mwenye nafuu ni nani?
Ulichoandika kinaonyesha wazi kuwa wewe pia una chuki dhidi ya watanganyika ila ulikuwa hujapata nafasi ya kutema nyongo yako. Umeshindwa kuonyesha ubora wowote wa wazanzibari!
 
Dogo acha kashfa. Ukirudia tena maneno yako ya kiwaki waki tutawakatia umeme
 
Punguza mihemko. Serikali isaini mkataba wa kijinga halafu wananchi ndio watoe ufafanuzi. Ujinga ni pale mzanzibari anapouza bandari za bara halafu za kwake hauzi.
 
Hapo wanajifichia tu kwenye uzanzibari, lengo lao hasa ni uislamu, hivi unadhani angekuwa ni mzungu anapewa wangepiga kelele? Never
Hawa ni wadini sanaaa
Bado mdogo Sana, unakumbuka sakata la karamagi kusaini mkataba uingereza? Je mbona kelele zilipigwa na mnufaika alikuwa mzungu. Acha unafiki na udinj.
 
Poa faida zingine tutazopata kwa mktba

-Madini yatapelekwa nje

-Wanyamapori watapandameli

-Kuingiza magari bei itapanda zaid

-Ulinzi na usalm wa zan za kivita dun

-Uwizi wa kutisha wa mali bandarn

- Ukigomban na arab umegomban na
Ndugu zake wote walipo

-Mkataba hauna kuvunjwa hata kama hawatekelz matakwa ya mktb

-Ajira kuu ngoz nyeupe kulko sis

- Uchumi wet kudorora

-Ports zote kuwa chini ya Arabs

Nimechoka ku-type
 
Tanganyika ina watu milioni 55, Zanj mpo milioni 6, kama idadi ya watu wa Dar, hao wanaokuja kuuza ugoro na shanga, hawafiki hata 1000, asilimia 0.000018! Sasa cheki wazenj waliojaa Tanganyika, mnapewa mpaka kuongoza wilaya zetu.

Kwa ufupi tunachukiana, nyie akili kubwa mbona mnakwepa kumpa Mwarabu bandari zenu?

Kitu usichokijua, Rais wa Zanj anateuliwa Dodoma na Watanganyika, Zanj inakaliwa kimabavu na vibaraka wa Tanganyika.

Juzi mtoto wa Karume amekili, kwa uchaguzi wa haki, CCM haishindi Zanj.

Adui yenu sio Watanganyika, ni CCM.

Kindani ndani sana, huu muungano hautavunjika, utadumu kwa lazima, Zanj kwa TZ ni sawa na Hong Kong kwa China, au Catalonia kwa Spain, mtabaki kwa lazima, hata ilibidi Jwatz iue watu wote.
 
Kwa hii Wazanzibar ni watumwa waliokosa soko.,πŸ˜„πŸ˜„
Kabsaaaa, Watumwa waliokosa soko, Mwalimu akawaundia chama 1955 cha African Association tawi la Tanganyika African Association, mwaka 1957 akawaumbia tena chama cha ASP.

Mwaka 1964 angalia mziki waki kina Oscar Kambona, Edington Kisassi, John Okello wa kuwakomboa watumwa.
Watumwa ambao leo wanatubania pua eti sie WACHACHIBALI WAALABU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo wanajifichia tu kwenye uzanzibari, lengo lao hasa ni uislamu, hivi unadhani angekuwa ni mzungu anapewa wangepiga kelele? Never
Hawa ni wadini sanaaa
Unacheza kete adimu sana nchi hii ili kujipatia watetezi.
Sio muda mrefu utawapata wengi sana.

Hata hivyo kama unawaunga mkono kwa vile ni wa dini yako, basi hilo ndilo kosa kubwa sana unalofanya.

Binafsi naamini serikali itakuwa imefanikiwa kwani ikiandamwa sana, itauhamishia ugomvi huu kwenye dini. Hapa ndipo ninaona tumejipalia mkaa. Vita isiyo na mwisho ndio imeanza.

Najua hawa DP world ndio watajenga misikiti, watalipa mishahara mashehe na huenda hata mkapata mikopo huko msikitini. Hakuna kinachozuia hilo. Hakuna anayeweza kuwapangia watumieje pesa wanazovuna bandarini.
 
Nyamazaa lazima mtawaliwe na AKILI KUBWA tuna wajibuka kuwasimamia UCHUMI wenu ili kupunguza zigo lakuwabebeni HUKU
 
Tumbili abiria wa Jajazi la TIPPU TIPP nani kakupa huo uzanzibar kama sio Tanganyika walipokuja kumuondoa mmiliki wenu wacongo mliokosa soko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TULia mmatumbiii historia ya ZANZIBAR nikubwa Sana rejea historia
Vitabu vipo karee MMATUMBI ZANZIBAR itabaki ya Wazanzibar full stop
 
Hapo wanajifichia tu kwenye uzanzibari, lengo lao hasa ni uislamu, hivi unadhani angekuwa ni mzungu anapewa wangepiga kelele? Never
Hawa ni wadini sanaaa
Kuna kosa GN? Mbona nyinyi mna balozi VATICAN Sisi hatusemi??
 
Hizi chuki dhidi ya Wazanzibari zitapelekea tuanze kulogana.
 
Ndio maana mkapinga sana?
Bila kuangalia wala kujali tanzania itafaidikaje?
 
Bado mdogo Sana, unakumbuka sakata la karamagi kusaini mkataba uingereza? Je mbona kelele zilipigwa na mnufaika alikuwa mzungu. Acha unafiki na udinj.
Faida ya mkataba wa karamagi haikuwepo, ila huu wa waarabu tuna uhakika wa faida 200%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…