Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

Mbinu hizi za kutufanya tuache kujadili mauzo ya ardhi na raslimali zetu zitashindwa kabisa!! Spinning zako za kipumbavu peleka jalalani. Bandari zetu haziuzwi hapa!!
 
Hawa wanawafundisha uadilifu nyie wezi na mafisadi wakubwa. Mnajidai kulalamika eti bandari inabinafsishwa kumbe mnalilia maslahi yenu yanayoenda kukatwa kule bandarini.
Kwanini wasikodishe milele bandari yenu ya Zanzibar au nyie hamtaki faida?
 
Siyo kweli. Nyie watu wa bara wengi wenu ni wezi na mafisadi wakubwa sana. Mnawaza kuiba tu na kujaza matumbo yenu. Kinachofuatia ni kubinafsisha hadi TRA na mashirika mengine.
Na mwinyi anavyouza visiwa vyenu mmemuibia nini?
 
Pale bandari kumejaa wazanzibar tupu, kwahiyo wanzazibar ni majizi, kwanza ondokeni huku kwetu hatuwataki
Siyo kweli. Wamejaa Sukuma Gang na majizi mengine kutoka Bara huku. Sisi huku Bara hatuondoki. Tumeoa dada zenu na tumezaa watoto kibao tuondoke twende wapi? Pia tunamiliki ardhi kubwa na mali kibao. Sisi ni shemeji zenu na ndugu zenu mtake msitake. Tupo sana tu.
 
Dada angu hawezi kuolewa na mzanzibar watu wavivu, ardhi tutawanyang'anya kwa nguvu
 
Dada angu hawezi kuolewa na mzanzibar watu wavivu, ardhi tutawanyang'anya kwa nguvu
Wewe Luza huna ubavu huo wa kutunyang'anya ardhi jidanganye tu. Pili, hakuna mwenye shida ya kumuoa dada yako yule uso wa mbuzi. Sisi Wazanzibari tunachagua wanawake warembo tu. Mmekalia chuki na udini tu huku mkipewa nafasi kazi yenu kuitafuna nchi kwa ufisadi na wizi. Kwa taarifa yenu hata TRA tutabinafsisha kwa maslahi mapana ya nchi hii.
 
Mimi ni pro Mkataba. Aliyetoa kauli ya ubaguzi ni Tundu Lisu. Unaowashutumu ni Watanzania wa Bara ambao umewaita Watanganyika. Kwa nini na wewe usiwekwe kwenye kundi la Wabaguzi?
 
wavivu wakubwa nyie, nani anawataka huku kwetu?
 
wavivu wakubwa nyie, nani anawataka huku kwetu?
 
Mbinu hizi za kutufanya tuache kujadili mauzo ya ardhi na raslimali zetu zitashindwa kabisa!! Spinning zako za kipumbavu peleka jalalani. Bandari zetu haziuzwi hapa!!
Licha ya bandari hata wewe tunauwezo wa kukuuza
 
Kwanini wasikodishe milele bandari yenu ya Zanzibar au nyie hamtaki faida?
Narejea tena tatizo lenu ni wapigaji Sana jiulizeni toka 61 MNA nini cha maana ni rasilimali yenu gani mpaka SASA hivi iliyo wanyanyua KAZI wizi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…