Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hilo sifahamu, Najua tu Emirates ni sponsor wa Baadhi ya timu.Gsm ni shareholder wa team gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sifahamu, Najua tu Emirates ni sponsor wa Baadhi ya timu.Gsm ni shareholder wa team gani?
Simba ndio ilikua timu ya kwanza kutoka hadharani na kupinga wakati GSM alipotaka kudhamini timu zote zinazoshiriki NBC premier league.Gsm ni shareholder wa team gani?
Ficha ujinga wako. Babra hakushinda kuizuia GSM kudhamini ligi nzima, alishinda Simba isiweke nembo za gsm kwenye matambala yake. Kwa kuwa gsm alitaka timu zote zimtangaze simba ikagoma, hivyo deal likafa maana haitakuwa ligi tena.Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo.
Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana.
Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali professionalism hili suala halina shida kabisa.
Lakini hapa kwetu hao wanaodhaminiwa wana mikakati mingi dhidi ya timu hasimu na Yanga hasa Simba.
Msimu ulioisha timu zilizovaa jezi za GSm ziliikazia sana Simba, mfano Namungo na Singida na hata Coastal kama sio bao la Onana dakika za mwisho ingekula kwetu.
Hatujui hizi timu kwenye udhamini wao zimewekeana terms gani pindi zikicheza na Simba.
Simba imesajili vizuri sana msimu huu lkn ninahofia tunaweza kuvurugana kutokana na mipango na mikakati michafu iliyopo kwenye udhamini.
Kama Mp dewji akiingia naye kudhamini baadhi ya timu itakuwaje.
TFF waliangalie hili jambo ama uongozi wa Simba uliangalie hili jambo vinginevyo hawa nzi wa kijani watachukua ubingwa tena kwa hila.
Ligi ya bongo inachezwa sana nje kuliko ndani, usipokuwa makini nje umeliwa.
Hana hisa hata moja, ana mkataba wa kuwa kit supplier na kutangaza godolo za gsm foam tuGsm ni shareholder wa team gani?