Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.

1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.

Sasa swali la msingi mtu aliyehitimu kozi ya udereva Vets au NIT anaruhusiwa kuendesha gari bila Leseni?

Kuna marubani wa ndege hivi hawa nao wanaruhusiwa kurusha ndege tu Kwa kuwa wamesomea kazi hiyo bila Leseni?

Swali la msingi kama TFF ni mwanachama wa CAF na iliendesha hizo kozi hizo tatizo liko wapi Kwa wahitimu kupatiwa Leseni?

Bila shaka TFF kuna kitu wanatuficha au kutudanganya, lakini nyeti za Kuku kikija kimbunga lazima zionekane, ujanja ujanja wa TFF unaelekea tamati yake muda si mrefu.

Walete walete Scars Tate Mkuu , Shadeeya

FB_IMG_1662712858272.jpg
 
Yanga bana sijui mkoje yani vitu vidogo tu lakini mnaviundia bunge

Halafu unatumia kanuni za Veta kwenye soka kuonesha tatizo

Sasa vipi na mwingine akija kusema kuna uwezekano mtu asipewe cheti cha ukocha ila akatumia results slip yake kwasbabu tayari taarifa zake za kitaaluma zipo kwenye record ya CAF na kwamba CAF imetoa utatlratibu wa kuwaruhusu watambulike kama watu waliofuzu mafunzo?
 
Na ww tumia akili mtu anahoji ishu ya vyeti vya makocha na ufafanuzi wa TFF, unaleta ngonjera za simba na Yanga, kweli hiz clubs zimeharibu akili za watu
 
Sasa swali la msingi mtu aliyehitimu kozi ya udereva Vets au NIT anaruhusiwa kuendesha gari bila Leseni?

Niliposoma tu hilo swala la udereva kuhusianishwa na soka, nikajua kuwa aliyeandika hapo ni TUTUSA.
Fani yoyote inayohusisha Leseni hutambuliki bila Leseni, waulize madaktari watakwambia, waulize Engineer's watakwambia.

Nb; Tutusa Baba'ko, kolongwee wahed
 
Ma Utopolo yamepanick.
Wana mechi kesho ambayo wanacheza kimataifa hapo kwa Mkapa dhidi ya timu mbovu ya Zalan

Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi.

Ila trust me favour hii ingemkuta Simba saizi kila mtu angekuwa anahubiri kuwa Simba inapendelewa

Watu sheria za mpira tu hawazijui, ajabu wanataka kujadili level ambayo hawajawahi hata kujua ina operate kwa sheria zipi

Mtu anatumia vigezo vya udereva na ukondakta kutafuta justification kwenye ishu ya Mgunda.

Nyinyi madereva wa Uber na Bolt, zile sheria mlizokutana nazo pale Chang'ombe ni tofauti na CAF

Kule Chang'ombe ni cause ya siku mbili, siku ya tatu upo road unabeba abiria na ndio maana ajili zimekuwa nyingi.

Cheti cha Veta kinapatikana hata kwa connection ya 50k, kule CAF ni mpaka uingine darasani ufaulu viwango walivyoweka.

Mmeelewa?
 
Wana mechi kesho ambayo wanacheza kimataifa hapo kwa Mkapa dhidi ya timu mbovu ya Zalan

Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi...
Hakuna jipya Kwa Yanga, Namungo international games zao mechi mbili na wale Waangola zote zilichezwa Dar

Wale Asec Mimosa mechi yao na Simba ambayo ilibidi ichezwe kwao haikufanyika kwao walichezea nchi ya ugenini, kina bonus hang a za wewe Kwa Zolan ni kipi?

Kimbunga kimeshuka Sasa nyeti za Kuku zinaonekana.

Hivi yule kocha wa Simba queen humu kwenye orodha yumo?

Mfanye uhakiki wenyewe mkikabidhi akili zenu yule ponjoro Barbara demu wa Mwamedi atazidi kuwatia shimoni.
 
Simba wote mbumbumbu, mnapelekwa kama gari bovu na demu wa Mwamedi.
Siku ukipata jibu kwani MaCCm yalikuwa yanataka Mbowe aondoke CDM ndio utafahamu kwani Utopolo wanamuogopa Babra kama ukoma na wanashinikiza aondoke...

Ahsanta
 
Back
Top Bottom