Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

Khaaaaaaaaaa!!!! Huyu jamaa nilikuwa Nampa salute nyingi Sana kumbe nilikuwa namheshimu mbumbumbu kiasi hiki? Kwani Yanga ndo imeomba Zolan atumie uwanja wa taifa Kwa mechi zake?

Koloboy mbumbumbu,kolowizard wa viwango vya juu.
Hujaelewa maana ya mimi kuandika hivyo nililenga nini

Sio wewe tu kuna wenzako nao wamewaza hivyo hivyo.

Nafahamu kuwa Zolan ndio walioomba kuchezea hapa na Yanga haihusiki ila nimeandika hivyo nikiwa najua rekodi yenu ya kushupalia vitu vidogo

Mfano ishu ya Yanga kutoalikwa kwenye kikao cha CAF inafahamika wazi kuwa huandaliwa na CAF na wao ndio husimamia kila kitu lakini bado Yanga mlilalamika kutoalikwa na kuwa TFF inachuki na Yanga.

Pointi yangu ilikuwa ni hii sasa

Kama kitu kidogo hicho ambacho hakika msingi wowote bado mlikaa kitako kuisema vibaya TFF unafikiri ingeshindikana vipi kutoa malalamiko kwa ishu ya Simba kupata favour kama hii yenu??
 
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali...
Usanii tu wa TIFUATIFUA ya Karia. Kwanza Sylvester Marsh alishafariki toka mwaka 2015 yumo kwenye orodha, ndo ujue hapo full kupikwa.

Pili huyo kocha wa Simba Queens Nkoma kaenda fanza nini dakika za majeruhi kama siyo kuokoa jahazi CAF? Tuwage tunatuliza mbongo zetu wajamani. Mikia FC alishachemka kwa hili.

Letee mdhunguu...
 
Orodha ya mwanzo namba 6.
Orodha ya mwanzo si ndio orodha ya makocha waliotambulika kuwa na CAF A diploma baada ya kupata mafunzo. sasa mleta uzi anasema kamuona tena Mgunda kwenye orodha ya makocha 21 kitu ambacho mimi sijaliona hilo
 
Benchi ikikaliwa na watu watatu yaani Matola + Mgunda + kocha wa Simba queens basi jibu itakuwa rahisi tu kuwa ni kweli Mgunda hana sifa ya kuiongoza timu inayoshiriki michuano ya kimataifa kama ilivyokuwa kipindi cha Gomez
 
Tatizo lako ni ujuaji mwingi mwisho unaonekana fala hapa swala sio Simba na Yanga issue ni kwamba unawezaje kufanya kazi pasipokua na leseni na cheti chukulika professionals zingine mfano Dakitari, Mwanasheria, Accountant and so on unless kama football ni genge la wahuni
 
Hao Zolan wanacheza na nyie sisi tunacheza na Zalan
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Aliyemuelewa huyu mbumbumbu aje anieleweshe na mimi nielewe.
 
Una hoja ya msingi kwa sehemu fulani.
 
Level ya vitu msivyovijua ni bora mkauliza kwa wanaojua muelewe ili kuepuka kupotosha.

Usi jaji jambo usilolijua kwa kutumia mazoea ya mazingira mengine ambayo jambo hilo haliwezekani ilihali unajua hizo ni department mbili tofauti.

Kama mngetaka kulijadili hili jambo rational bila kuweka speculations zenu mngehoji kama kuna sheria inayo kataza hilo jambo kufanyika.

Na hii sio mara ya kwanza nyinyi kuleta jambo kama hili kwa lengo la kuonesha kuna ukiukwaji wa sheria halafu mwisho wa siku ikija sheria inayo support mnakuwa kimya.

Kufananisha mpira na leseni ya udereva hiyo inaonesha ni kiasi gani watu hamna weledi wa kufanya comparison ya vitu, yani bora mngekuja na references zinazo relate mngesema jambo kama hilo liliwahi kutokea kwenye Club fulani ya mpira na sheria ikambana huyo kocha na ndio mana hapa tunasema hili haliwezekani, sasa mnasema haliwezekani kwasababu ya leseni ya udereva hiki ni kichekesho
 
Somalia wenyewe walicheza hapa mechi zao mbili haka ka jamaa hua dish lake ni E-32
Nyinyi uwezo wenu wa kuelewa ni mdogo sana

Kama hili jambo nilimelitolea ufafanuzi zaidi ya mara moja hujaelewa unafikiri itakuwa ni rahisi wewe kuelewa sheria za CAF?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Aliyemuelewa huyu mbumbumbu aje anieleweshe na mimi nielewe.
Haujaelewa, na hao unaowaita nao hawajaelewa na hata mjikusanye muwe kundi napo hamtaelewa

Mmeshindwa kuelewa hoja ndogo kama hiyo afu bado mnakomalia vitu vikubwa vya CAF mnafikiri mtaweza?
 
Ume andika uharo tupu
 
Mleete Mgundaa
Mletee mgundaa
 
Umeongea vitu ambavyo havuhusiani kabisa mpira ni tofauti na hvyo vikoro koro vyote ulivyo vitaja hapo juu.
 
Fani yoyote inayohusisha Leseni hutambuliki bila Leseni, waulize madaktari watakwambia, waulize Engineer's watakwambia.

Nb; Tutusa Baba'ko, kolongwee wahed
Una panick nini sasa, ukiandika utumbo ni lazima uelezwe.

Kubali tu kuwa wewe ni TUTUSA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…