Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Sep 9, 2022 #61 Matola said: Fani yoyote inayohusisha Leseni hutambuliki bila Leseni, waulize madaktari watakwambia, waulize Engineer's watakwambia. Nb; Tutusa Baba'ko, kolongwee wahed Click to expand... Mkuu kama vile umepanic ghafla mbona?
Matola said: Fani yoyote inayohusisha Leseni hutambuliki bila Leseni, waulize madaktari watakwambia, waulize Engineer's watakwambia. Nb; Tutusa Baba'ko, kolongwee wahed Click to expand... Mkuu kama vile umepanic ghafla mbona?
K K2S7J3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 449 Reaction score 332 Sep 11, 2022 #62 Otorong'ong'o said: Siku ukipata jibu kwani MaCCm yalikuwa yanataka Mbowe aondoke CDM ndio utafahamu kwani Utopolo wanamuogopa Babra kama ukoma na wanashinikiza aondoke... Ahsanta Click to expand... Hapa nimepata mada ya kufanyia utafiti, huenda kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Otorong'ong'o said: Siku ukipata jibu kwani MaCCm yalikuwa yanataka Mbowe aondoke CDM ndio utafahamu kwani Utopolo wanamuogopa Babra kama ukoma na wanashinikiza aondoke... Ahsanta Click to expand... Hapa nimepata mada ya kufanyia utafiti, huenda kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
K K2S7J3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 449 Reaction score 332 Sep 11, 2022 #63 rolla said: Uhalali wa result slip unaisha pale tu matokeo yanapotangazwa na necta. Matokeo yakishatoka tunataka cheti na sio result slip Click to expand... Ulichoandika unakijua? Sitaki kukutukana maana mimi nina akili zangu timamu Yaan "uhalali wa result slip unaishia pale tu matokeo yanapotangazwa na necta" unajua result ni nini kwa kiswahili? Unajua result slip ni kitu gani? Nakushauri vitu vya kitaalamu usiwe unaviongelea maana unajivua nguo, tafadhali chutama kama wewe ni muungwana.
rolla said: Uhalali wa result slip unaisha pale tu matokeo yanapotangazwa na necta. Matokeo yakishatoka tunataka cheti na sio result slip Click to expand... Ulichoandika unakijua? Sitaki kukutukana maana mimi nina akili zangu timamu Yaan "uhalali wa result slip unaishia pale tu matokeo yanapotangazwa na necta" unajua result ni nini kwa kiswahili? Unajua result slip ni kitu gani? Nakushauri vitu vya kitaalamu usiwe unaviongelea maana unajivua nguo, tafadhali chutama kama wewe ni muungwana.