Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji!
Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi kuvunjika kwa kuchelewesha malipo kwa siku 5!
Icho kitu akipo popote ata fifa, na mbaya zaidi wakamuuza Tena mchezaji kwa klabu nyingine na mchezaji uyo uyo akasaini Tena mkataba mwingine!
Fountain gate ni Bora wachutame wasiendelee kukuza mambo kama iyo ndio hoja yao kuu wanayoishikilia itawacost wawaache yanga waendelee kudili na kagoma binafsi ambaye alisaini mikataba miwili (double signing) akiwa na akili zake timamu!
Kucheleweshewa malipo Tena kwa siku 5 akuondoi uhalali wala kuvunjika kwa mkataba aliousaini kagoma kisheria, hapo ndipo nguvu ya yanga ilipo wao sio wajinga kulivalia njuga suala ilo!
Soma Pia: Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga
Tunaweza kurudi kwenye suala la Simba na lamek lawi, alinukuliwa magori akisema kuchelewesha malipo ya lawi akuondoi uhalali wa mkataba aliousaini kati yake na Simba na alikuwa sahihi lakini waliamua kumalizana wao uko kwa busara!
Sasa kwa hili la kagoma kamati isipepese macho itoe maamuzi kwa kufata kanuni na taratibu zilizowekwa mwenye makosa aadhibiwe na sio vinginevyo!